Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

Bora nife kifuani mkuu...
😁😁😁 Unaujua mkongo weww
Ndugu nakupa ushauri wa last,iwe mkongo iwe Viagra,huwa hizo dawa zina mtindo wa ku-disturb systematic circulation kwa kuongeza kani umeme ya moyo,mwishowe unapata shinikizo la damu la ghafla na unadedi umedinda.
😂😂🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Babu yetu tunakupenda ila haupendeki unataka kututia aibu aiseee!!
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️ Embu nimuite Ms R aje aone babu yake alivyo wa hovyo.
 
Ndugu nakupa ushauri wa last,iwe mkongo iwe Viagra,huwa hizo dawa zina mtindo wa ku-disturb systematic circulation kwa kuongeza kani umeme ya moyo,mwishowe unapata shinikizo la damu la ghafla na unadedi umedinda.
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️ Embu nimuite Ms R aje aone babu yake alivyo wa hovyo.
😁😁😁😁🚬🚬 Nimaeanza kutumia hayo mazaga mda sana mkuu..

Na mpaka umri huu bado natumia sijaona hiyo effect unayosema wewe
 
download (4).jpeg
 
😁😁😁😁🚬🚬 Nimaeanza kutumia hayo mazaga mda sana mkuu..

Na mpaka umri huu bado natumia sijaona hiyo effect unayosema wewe
🙄🙄🙄Embu nitajie umetumia mazaga yapi na yapi?
Pia nikuoneshe dalili za kuanza hayo madhara,maana madhara yake huwa ni gradually ila ukifika kuwa mzee kuanzia 55+ yanakua rapid,maana kuanzia umri huo mara nyingi viungo vinapungua ufanisi kuanzia ndani mpaka nje.
 
Back
Top Bottom