Idara ya ujasusi ya Burkina Faso yagundua njama za kumuwekea sumu Rais Traore

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
649
Reaction score
903
Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais ,

Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.

Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.

Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kunywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandalizi wa chai hiyo.
 
Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.

Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?

Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!

Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?

This is Africa my friend!
 
Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliokua apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais , Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.
Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.
Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kjnywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandaliizi wa chai hiyo.
Mwisho ilikuwaje?
 
Traore pia ana propaganda zimepitiliza sasa...anajifanya one man army..watamla kichwa...
 
hujamalizia stori kama huyo afisa mwandamizi aliinywa hiyo chai na kipi kilitokea baada ya hapo?
Hakunywa bila shaka na hawakumlazimisha kwa nguvu anywe ili asaidie wapate kumuhoji na kujua wauhusika wote wa uhaini huo.
Ukimuua kabla ya kuwajua waliomtuma na mtandao wao wote watarudia tena jaribio lao la kukuuwa.
 
Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliokua apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais , Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.
Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.
Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kjnywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandaliizi wa chai hiyo.
Hivi kuna watu bado wanakunywa chai?
 
Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.

Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?

Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!

Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?

This is Africa my friend!
Njia peke ya kufanikiwa kuondoa ufisadi kaenye nchi yako kwa nia ya dhati ni weww kuwa dictator...as long as unaendeleza democracy ujue itakula kwako.

Alafu lazima ukubali wewe kuua yoyote anayeenda kinyume na yale unayotaka. Yaani mtu akiiba ata shilling 500 wee mnyonge na kamba ya gita kama hitler. Na aishi kama fidel castro, yaani kimachale machale tuu
 
Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliokua apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais , Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.
Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.
Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kjnywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandaliizi wa chai hiyo.
Jamaa wanamtafuta sana baada ya kufeli jaribio la mapinduzi, wanataka kudeal naye privately.
 
Back
Top Bottom