Idara ya ujasusi ya Burkina Faso yagundua njama za kumuwekea sumu Rais Traore

Idara ya ujasusi ya Burkina Faso yagundua njama za kumuwekea sumu Rais Traore

Kukwepa haya mambo unatakiwa uwe na element za ujasusi kama Putin
Putin alikataa kutembelewa na Papa na kilichomuondoa Papa ni bacteria kwenye mapafu
Tafakari chukua hatua
Kwahiyo papa alitwishwa zigo la mwizi kujaribu kumtest Masta Putin bahati mbaya hilo zigo limembeba peke yake
 
Aombe Jeshi la wenga kutok ŕussia
 
Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.

Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?

Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!

Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?

This is Africa my friend!
Chalii ana ushamba mwingi wa gwanda na kiti alichokalia ajifunze hata JK pamoja na usoja aliokuwa nao ila hakuwahi kuwa na ushamba uliopitiliza wa gwanda
 
Wakipita nae utafaidika nini?
 
Chalii ana ushamba mwingi wa gwanda na kiti alichokalia ajifunze hata JK pamoja na usoja aliokuwa nao ila hakuwahi kuwa na ushamba uliopitiliza wa gwanda
Yaani Traore ajifunze kwa JK? Kwamba kwako wewe unamuona huyo JK naye ni kiongozi wa kuigwa?

Haya Traore ajifunze nini hasa kwa huyo JK wako? Kuunda serikali mbovu inayofuga majizi na mafisadi bila kuyachukulia hatua yoyote au?

Eti mwanajeshi, huyo kikwete mwenyewe kwanza hana hata elements za kijeshi licha ya kukaa jeshini kwa miaka kibao, ndio maana yeye ndio raisi ambaye awamu yake ilichezewa sana na ilidhaurika sana kabla hatujapata awamu ya Samia.

Yaani kiongozi shupavu na mzalendo kama Traore unasema eti akajifunze kwa JK mtu ambaye ameweka rehani rasilimali za taifa kwa ajili ya maslahi ya familia yake? Aisee wewe dhairi utakuwa ni mnufaika wa tawala mbovu zilizojawa na ufisadi ndio maana unawapenda watu kama kikwete

Halafu sijui kwanin nyie machawa na mafisadi au vibaraka wa mafisadi huwa mnaumizwa sana na aina kiongozi kama Traore, mara nyungi mkimuongelea Traore mnakuwa mko too negative... angalia kama wewe hapa eti unamuita mshamba, kwa hiyo wewe na huyo kikwete ndio wajanja majizi tu nyie!?
 
Kwahiyo papa alitwishwa zigo la mwizi kujaribu kumtest Masta Putin bahati mbaya hilo zigo limembeba peke yake
Walianza kuropoka Babu Biden aliwaambia media kwamba Putin hana muda mrefu ,walimuuliza fafanua akashindwa kufafanua,wakati huohuo mualiko wa Papa ukawa Deleted
 
Mabeberu hawana huruma wanaweza hata kumtumia mtoto mchanga ili kukamilisha mambo yao
Loooh hatari kumbe masikini Papa hakuyajua hayo yote maana hana elements za intellijensia angehisi tu kwamba anatumika, basi mwache aende maana ndio maana wale wadudu wa maambukizi ya mapafu walichachamaa sana kjmbe walikua wana hamu na Master Putin amechelewesha wadudu wamemvuruga mapafu
 
Hivi wajameni kuna dunia nyingine tuhamie huko? Maana hii omejaa visasi, mauaji,dhuluma, tamaa na roho mbaya tuhamie wapi sasa?
 
Back
Top Bottom