Idara ya ujasusi ya Burkina Faso yagundua njama za kumuwekea sumu Rais Traore

Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais ,

Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.

Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.

Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kunywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandalizi wa chai hiyo.
Aisee wanaweza kutumia mbinu ya hata drone ajiimarishe na huko,
Au washezi wale wanaweza hata kutuma makomando,
Ajipange kwa kila mbinu,
Ila kuna mambo mengine Utawala wa Traore haupaswi kuweka public,
Kama hilo la sumu kwenye chai ni la kudeal nalo kimya kimya.
 
Loooh hatari kumbe masikini Papa hakuyajua hayo yote maana hana elements za intellijensia angehisi tu kwamba anatumika, basi mwache aende maana ndio maana wale wadudu wa maambukizi ya mapafu walichachamaa sana kjmbe walikua wana hamu na Master Putin amechelewesha wadudu wamemvuruga mapafu
papa amekufa kwasababu sku za miaka yake zimetimia 88 (70 - 80) ndo life span ya wengi.......hakuna beberu wa kumtumia papa na hakuna aliyejuu ya POPE kiutawala ............inaonekana hili n grup la watoto wasioijua Vatican vizur.
 
View: https://www.facebook.com/share/v/1ACjpesyTR/
Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais ,

Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.

Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.

Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kunywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandalizi wa chai hiyo.
 
papa amekufa kwasababu sku za miaka yake zimetimia 88 (70 - 80) ndo life span ya wengi.......hakuna beberu wa kumtumia papa na hakuna aliyejuu ya POPE kiutawala ............inaonekana hili n grup la watoto wasioijua Vatican vizur.
Sawa unakumbuka papa Yohanne alishawahi kupigwa risasi? Je unajua kwann alipigwa risasi? kama unaosema ni kweli
 
Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.

Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?

Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!

Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?

This is Africa my friend!
Labda haupo TZ....Magufuli anakunbukwa sana kila Kona...juhudi na propaganda za kumpaka matope zinazidi kumpandisha chati...Magufuli was a visionary leader and cared about the havenots...His spirit lives..
 
Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.

Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?

Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!

Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?

This is Africa my friend!
Mimi namkumbuka na kumjali
 
Kwahiyo wewe unatakaje? Unataka ashindwe ili useme waafrika hutuwezi?
Maelezo mareefu yamejaa upumbavu mtupu + uchawa na akili za kitumwa.
 
Hata ukipaniki na kuporomosha matusi haisaidii cho chote mbali tu na kuonyesha low emotional intelligence uliyonayo. Mtu anayejitambua kamwe hawezi kupaniki na kuanza kutukana hovyo kisa tu kakutana na mawazo kinzani asiyokubaliana nayo!

Ukweli hata hivyo ni kwamba viongozi wa Kiafrika hawana umoja. Hata sisi raia wa kawaida. Leo hii mabeberu wakiamua kumshughulikia huyu dogo hakuna hata kiongozi mmoja wa Kiafrika atakayenyanyua kichwa kuungana naye. Kila mtu ataufyata.

Na mabeberu hawa kupambana nao inahitaji mbinu nyingi mchanganyiko. Maguvu peke yake hayatoshi. Na hicho ndicho hata Magufuli wetu alikosea. Hawa unawachachafya kimaguvu huku na diplomasia unapiga nao - migogoro si migogoro, urafiki si urafiki...huyoo unasonga. Lakini maguvu peke yake aisee hutoboi. Na uzoefu unaonyesha hivyo!

Dogo huyu amefanikiwa kujenga cult personality na kama ana wafuasi walio tayari kufa kwa ajili yake pengine hiyo itamsaidia. Na atafanikiwa tu akiwa na nguvu ya umma nyuma yake maana hiyo ndiyo itakuwa kama deterrent kwa kibaraka ye yote atakayejaribu kuja pale. Atajua kwamba anaweza asitawale maana umma hautamkubali. Gen Z wakivuvumka kumlinda itamsaidia sana!

Ndiyo. Anafanya vyema japo inasemekana mengi yanayoripotiwa mitandaoni humu kuhusu mafanikio yake ni propaganda tu, lakini yumo katika vita. Na vita dhidi ya mabeberu siyo lelemama hasa ukiwa peke yako kama alivyokuwa Magufuli!

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Back
Top Bottom