Idara ya ujasusi ya Burkina Faso yagundua njama za kumuwekea sumu Rais Traore

Idara ya ujasusi ya Burkina Faso yagundua njama za kumuwekea sumu Rais Traore

Hukunywa bila shaka na hawakumlazimisha kwa nguvu anywe ili aside wapate kumuhoji na kujua wauhusika wote wa uhaini huo.
Ukimuua kabla ya kuwajua waliomtuma na mtandao wao wote watarudia tena jaribio lao la kukuuwa.
fanya marekebisho hapo kwenye 'hukunywa' waja hawakawii kusema mimi ndiyo afisa mwandamizi wa traore!!
 
Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais ,

Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.

Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.

Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kunywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandalizi wa chai hiyo.
Africa ya sasa inapenda viongozi wasanii na wapiga dili kama yule mzee aliyeenda na Janabi Burkina Faso.

Huyu kijana anasalitiwa na watu wake mwenyewe kwa tamaa zao za kijinga za kutanguliza maslahi binafsi badala ya taifa.
 
Wazungu hawatapumua mpaka wamuue huyu jamaa.

Na la kusikitisha zaidi watakaotumiwa kutekeleza mauaji yake ni weusi wenzie.
Hiwezi kuamini ndugu yangu, kwa hili wameungana na Iran wanatumia pia wanamgambo wa siasa kali wa kiislamu(Magaidi)wa kabila la fulani.

Watu weusi sisi hatuna mjomba huko nje, hawa watu weupe hakuna hata mmoja anayetutakia heri. Kenge hawa.
 
Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.

Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?

Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!

Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?

This is Africa my friend!
Sasa na wewe unaona Ghadaff alikuwa kiongozi wa maana!? Alikiwa mwarabu mjinga kama wenzie tu wanaopenda kutawala kwa kutumia nguvu bila akili.
 
Bahati mbaya upande wake kwa Afrika yupo peke yake peke yake wenzake jau karibia wote nao wanaogopa kufyatuliwa
 
Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.

Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?

Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!

Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?

This is Africa my friend!
mbona tunamkumbuka mkuu, au huoni comment za watanzania. au ulitaka watanzania wamkumbuke kwa kuandamana ndo ujue wanamkumbuka.

unaheshimika humu mkuu vitu kama hivi visivyo vya kufikilia havifai kuandikwa na wewe.
 
Africa ya sasa inapenda viongozi wasanii na wapiga dili kama yule mzee aliyeenda na Janabi Burkina Faso.

Huyu kijana anasalitiwa na watu wake mwenyewe kwa tamaa zao za kijinga za kutanguliza maslahi binafsi badala ya taifa.
Uliowataja ni hatari sana
 
Kukwepa haya mambo unatakiwa uwe na element za ujasusi kama Putin
Putin alikataa kutembelewa na Papa na kilichomuondoa Papa ni bacteria kwenye mapafu
Tafakari chukua hatua
 
Back
Top Bottom