Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 649
- 903
Mwisho ilikuwaje?Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliokua apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais , Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.
Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.
Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kjnywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandaliizi wa chai hiyo.
Aliomba kuongezewa chai na vitumbua.hujamalizia stori kama huyo afisa mwandamizi aliinywa hiyo chai na kipi kilitokea baada ya hapo?
Traore pia ana propaganda zimepitiliza sasa...anajifanya one man army..watamla kichwa...Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.
Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?
Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!
Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?
This is Africa my friend!
Hakunywa bila shaka na hawakumlazimisha kwa nguvu anywe ili asaidie wapate kumuhoji na kujua wauhusika wote wa uhaini huo.hujamalizia stori kama huyo afisa mwandamizi aliinywa hiyo chai na kipi kilitokea baada ya hapo?
Hivi kuna watu bado wanakunywa chai?Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliokua apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais , Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.
Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.
Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kjnywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandaliizi wa chai hiyo.
Njia peke ya kufanikiwa kuondoa ufisadi kaenye nchi yako kwa nia ya dhati ni weww kuwa dictator...as long as unaendeleza democracy ujue itakula kwako.Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.
Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?
Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!
Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?
This is Africa my friend!
Jamaa wanamtafuta sana baada ya kufeli jaribio la mapinduzi, wanataka kudeal naye privately.Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliokua apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais , Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.
Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.
Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kjnywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandaliizi wa chai hiyo.
Hawakumruhusu anywe alikamatwa kwa mahojiano zaidi.hujamalizia stori kama huyo afisa mwandamizi aliinywa hiyo chai na kipi kilitokea baada ya hapo?
David Acha porojo za kindezi jamvini.Chai hiyo... Ishara ya macho siyo??!