Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 1,060
- 2,313
Aliepika hiyo Chai sio Mzungu, alie muua Kanali Gadafi sio mzungu, aliemuua Sokoine sio mzungu na aliemuua JPM sio mzungu.Wazungu hawatapumua mpaka wamuue huyu jamaa.
Na la kusikitisha zaidi watakaotumiwa kutekeleza mauaji yake ni weusi wenzie.
fanya marekebisho hapo kwenye 'hukunywa' waja hawakawii kusema mimi ndiyo afisa mwandamizi wa traore!!Hukunywa bila shaka na hawakumlazimisha kwa nguvu anywe ili aside wapate kumuhoji na kujua wauhusika wote wa uhaini huo.
Ukimuua kabla ya kuwajua waliomtuma na mtandao wao wote watarudia tena jaribio lao la kukuuwa.
Africa ya sasa inapenda viongozi wasanii na wapiga dili kama yule mzee aliyeenda na Janabi Burkina Faso.Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais ,
Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.
Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.
Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kunywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandalizi wa chai hiyo.
Ilitakiwa huyo aliyemwambia Traore kuwa chai ni salama alazimishwe kuinywa yeye kwanza kabla ya Raisihujamalizia stori kama huyo afisa mwandamizi aliinywa hiyo chai na kipi kilitokea baada ya hapo?
Hiwezi kuamini ndugu yangu, kwa hili wameungana na Iran wanatumia pia wanamgambo wa siasa kali wa kiislamu(Magaidi)wa kabila la fulani.Wazungu hawatapumua mpaka wamuue huyu jamaa.
Na la kusikitisha zaidi watakaotumiwa kutekeleza mauaji yake ni weusi wenzie.
Sasa na wewe unaona Ghadaff alikuwa kiongozi wa maana!? Alikiwa mwarabu mjinga kama wenzie tu wanaopenda kutawala kwa kutumia nguvu bila akili.Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.
Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?
Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!
Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?
This is Africa my friend!
This is so sad😔Wazungu hawatapumua mpaka wamuue huyu jamaa.
Na la kusikitisha zaidi watakaotumiwa kutekeleza mauaji yake ni weusi wenzie.
Dah we jamaa😂Awe anajibebea zake chupa la chai.
chai tu ndio inamaliza watu siku hizi inachanganywa na kitu kama chai haiina harufu wala ladha yoyote unakwenda udongoniChai tu
😁😁Dah we jamaa😂
Imeze tu na ujiNi kweli anawindwa ila hii stori ngumu kumeza
Mmh kwann mkuu unafukua kaburi tena hayo yalishapita tugange yajayo tumlimde Bimkulu wa sasa SirmiaNarudia Tena timu ya walinzi wa Magufuri wachunguzwe wote
mbona tunamkumbuka mkuu, au huoni comment za watanzania. au ulitaka watanzania wamkumbuke kwa kuandamana ndo ujue wanamkumbuka.Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.
Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?
Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!
Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?
This is Africa my friend!
Uliowataja ni hatari sanaAfrica ya sasa inapenda viongozi wasanii na wapiga dili kama yule mzee aliyeenda na Janabi Burkina Faso.
Huyu kijana anasalitiwa na watu wake mwenyewe kwa tamaa zao za kijinga za kutanguliza maslahi binafsi badala ya taifa.
Asipoeleza basi ni chai.hujamalizia stori kama huyo afisa mwandamizi aliinywa hiyo chai na kipi kilitokea baada ya hapo?