Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 649
- 903
- Thread starter
-
- #41
Kwahiyo papa alitwishwa zigo la mwizi kujaribu kumtest Masta Putin bahati mbaya hilo zigo limembeba peke yakeKukwepa haya mambo unatakiwa uwe na element za ujasusi kama Putin
Putin alikataa kutembelewa na Papa na kilichomuondoa Papa ni bacteria kwenye mapafu
Tafakari chukua hatua
Nimekupata.fanya marekebisho hapo kwenye 'hukunywa' waja hawakawii kusema mimi ndiyo afisa mwandamizi wa traore!!
Chalii ana ushamba mwingi wa gwanda na kiti alichokalia ajifunze hata JK pamoja na usoja aliokuwa nao ila hakuwahi kuwa na ushamba uliopitiliza wa gwandaHuyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.
Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?
Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!
Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?
This is Africa my friend!
Wakipita nae utafaidika nini?Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.
Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?
Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!
Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?
This is Africa my friend!
Yaani Traore ajifunze kwa JK? Kwamba kwako wewe unamuona huyo JK naye ni kiongozi wa kuigwa?Chalii ana ushamba mwingi wa gwanda na kiti alichokalia ajifunze hata JK pamoja na usoja aliokuwa nao ila hakuwahi kuwa na ushamba uliopitiliza wa gwanda
Walianza kuropoka Babu Biden aliwaambia media kwamba Putin hana muda mrefu ,walimuuliza fafanua akashindwa kufafanua,wakati huohuo mualiko wa Papa ukawa DeletedKwahiyo papa alitwishwa zigo la mwizi kujaribu kumtest Masta Putin bahati mbaya hilo zigo limembeba peke yake
Mabeberu hawana huruma wanaweza hata kumtumia mtoto mchanga ili kukamilisha mambo yaoKwahiyo papa alitwishwa zigo la mwizi kujaribu kumtest Masta Putin bahati mbaya hilo zigo limembeba peke yake
Loooh hatari kumbe masikini Papa hakuyajua hayo yote maana hana elements za intellijensia angehisi tu kwamba anatumika, basi mwache aende maana ndio maana wale wadudu wa maambukizi ya mapafu walichachamaa sana kjmbe walikua wana hamu na Master Putin amechelewesha wadudu wamemvuruga mapafuMabeberu hawana huruma wanaweza hata kumtumia mtoto mchanga ili kukamilisha mambo yao
Tujichange change tuhamie Mars mwaka 2030 tukiongozwa na Elon Musk.Hivi wajameni kuna dunia nyingine tuhamie huko? Maana hii omejaa visasi, mauaji,dhuluma, tamaa na roho mbaya tuhamie wapi sasa?
Wamuue magu kwa lipi hasa . Magu alijifia mwenyewe kwa ujuaji wake.And this is to say "Magufuli aliuwawa na mabeberu?"
Sitaki Mjadala mrefu na wewe kwa sababu unaonekana mjuaji usiyependa kujenga hoja.Wamuue magu kwa lipi hasa . Magu alijifia mwenyewe kwa ujuaji wake.
Huyo afisa kipenyo alitumiaje macho kumwambia Rais Traore ampe chai ile yule aliyeileta ainywe?Rais Traore akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.
. ..Kama jiweSasa na wewe unaona Ghadaff alikuwa kiongozi wa maana!? Alikiwa mwarabu mjinga kama wenzie tu wanaopenda kutawala kwa kutumia nguvu bila akili.