NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Hiyo nadharia ya putin na pope jamaa aliyoiandika inaiitwa kubwabwaja au logical fallacy.Kwahiyo papa alitwishwa zigo la mwizi kujaribu kumtest Masta Putin bahati mbaya hilo zigo limembeba peke yake
Aisee wanaweza kutumia mbinu ya hata drone ajiimarishe na huko,Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais ,
Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.
Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.
Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kunywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandalizi wa chai hiyo.
Kwani hicho kikundi bado kipo?Aombe Jeshi la wenga kutok Εussia
Traore anakunywa chai na kalimatiHivi kuna watu bado wanakunywa chai?
Na baada ya hapo watabakia kuwa kama Sudan,SyriaWazungu hawatapumua mpaka wamuue huyu jamaa.
Na la kusikitisha zaidi watakaotumiwa kutekeleza mauaji yake ni weusi wenzie.
papa amekufa kwasababu sku za miaka yake zimetimia 88 (70 - 80) ndo life span ya wengi.......hakuna beberu wa kumtumia papa na hakuna aliyejuu ya POPE kiutawala ............inaonekana hili n grup la watoto wasioijua Vatican vizur.Loooh hatari kumbe masikini Papa hakuyajua hayo yote maana hana elements za intellijensia angehisi tu kwamba anatumika, basi mwache aende maana ndio maana wale wadudu wa maambukizi ya mapafu walichachamaa sana kjmbe walikua wana hamu na Master Putin amechelewesha wadudu wamemvuruga mapafu
Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais ,
Sumu aina ya VXT- 42 yenye sifa ya kuua haraka mishipa ya fahamu na moyo iligundulika kabla Rais hajanywa hapo juzi.
Rais Traore tayari alishapokea kikombe cha chai hiyo lakini akapata onyo la alama ya macho kutoka kwa mtu mwaminifu wa idara asinywe chai hiyo na ampe Afisa mwandamizi alioileta ainywe.
Vilevile Afisa huyo mbele ya circle ya Mh Rais akasema hiyo chai iko salama Mh unaweza kunywa ndipo Mh Rais aliagiza akamatwe na apeleke kwa mahojiano zaidi na muandalizi wa chai hiyo.
Sawa unakumbuka papa Yohanne alishawahi kupigwa risasi? Je unajua kwann alipigwa risasi? kama unaosema ni kwelipapa amekufa kwasababu sku za miaka yake zimetimia 88 (70 - 80) ndo life span ya wengi.......hakuna beberu wa kumtumia papa na hakuna aliyejuu ya POPE kiutawala ............inaonekana hili n grup la watoto wasioijua Vatican vizur.
Hahaahaha duuh kali hiiMwanaume unaamka zako asubuhi unakunywa moto unaondoka zako kutafuta hela.
Sahih. Ukiona huelew unakunywa Bapa.Mwanaume unaamka zako asubuhi unakunywa moto unaondoka zako kutafuta hela.
Naanza kufikiria hivo hivo aise. Halafu yule wa Zambia nae alikuaga wa moto sana, sasa hvi simsikii tena; kakutwa na mabeberu nini?And this is to say "Magufuli aliuwawa na mabeberu?"
Labda haupo TZ....Magufuli anakunbukwa sana kila Kona...juhudi na propaganda za kumpaka matope zinazidi kumpandisha chati...Magufuli was a visionary leader and cared about the havenots...His spirit lives..Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.
Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?
Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!
Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?
This is Africa my friend!
Huyu itakua kalewa sana na kavuta na bangeHiyo nadharia ya putin na pope jamaa aliyoiandika inaiitwa kubwabwaja au logical fallacy.
Mimi namkumbuka na kumjaliHuyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.
Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?
Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!
Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?
This is Africa my friend!
Kwahiyo wewe unatakaje? Unataka ashindwe ili useme waafrika hutuwezi?Huyu dogo anatapatapa sana. Na ni kweli watamla kichwa. Inavyoonekana ana machawa wengi na kila kitu anachofanya lazima kiwekwe mtandaoni na wachunguzi wanasema mambo mengi ni uwongo tu Umwijaku mwingi mavideo yanakuwa AI - generated.
Suala kama hili kuna ulazima gani wa kulitangaza? Au kuna kitu kinaandaliwa?
Vita na mabeberu vinataka ujasiri sana hasa ukiwa Afrika ambako hakuna umoja. Wakati Gaddafi anapelekewa moto hakuna hata kiongozi mmoja wa Afrika aliyefungua mdomo kupinga. Imagine bara zima (AU) lingevuvumka na kusema hatutaki uonevu huu. Pengine akina Obama wangerudisha majeshi. Huyu dogo hata viongozi wenzake wa Afrika hawampendi kutokana na u celebrity wake. Ukijumlisha na vita vyake na mabeberu, ni suala la muda tu kabla hawajapita naye. Na hakuna atakayejali!
Wa kwetu alikuwa analia kila siku - Oooh nimesakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge. Nikiondoka mtanikumbuka. Kwani walimkawiza? Kuna anayemkumbuka? Kuna anayejali?
This is Africa my friend!
Hata ukipaniki na kuporomosha matusi haisaidii cho chote mbali tu na kuonyesha low emotional intelligence uliyonayo. Mtu anayejitambua kamwe hawezi kupaniki na kuanza kutukana hovyo kisa tu kakutana na mawazo kinzani asiyokubaliana nayo!Kwahiyo wewe unatakaje? Unataka ashindwe ili useme waafrika hutuwezi?
Maelezo mareefu yamejaa upumbavu mtupu + uchawa na akili za kitumwa.
Na wako ivory Coast hukoWazungu hawatapumua mpaka wamuue huyu jamaa.
Na la kusikitisha zaidi watakaotumiwa kutekeleza mauaji yake ni weusi wenzie.