Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wewe

Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wew wowote kwa Sababu kulinda kuzuia Mamluki Tofauuti na Idara na majeshi Mengine
Kwahiyo unashauri Nini mkuu?
 
Hiyo IPO, ila sidhani Kama ni saana.
Binafsi Nina ndugu na watu walipata Kazi kupitia their struggle tuu na qualification.

Chamsingi kikubwa pambana saana uwe na vigezo na kushinda ushindani kwenye interviews.

N.b kwenye usalama nakumbuka wakati tupo chuoni mwaka wamwisho watu waliitwa kwenye ofic ya Waziri mkuu wakadharau wengine wengine wakaenda walio enda, wengi wao ni mashushu
 
Wapo aina tatu za usalama
Watajua wenyewe.
Kuna wale wapo wilayani wanajulikana kabisa. Na hao wanaotakiwa kuwa undercover lakini wanakuwa public cover nadhani wengine unaosemea ni wale wanaozunguka na Mama au?
Educate me.
 
Hiyo IPO, ila sidhani Kama ni saana.
Binafsi Nina ndugu na watu walipata Kazi kupitia their struggle tuu na qualification.

Chamsingi kikubwa pambana saana uwe na vigezo na kushinda ushindani kwenye interviews.

N.b kwenye usalama nakumbuka wakati tupo chuoni mwaka wamwisho watu waliitwa kwenye ofic ya Waziri mkuu wakadharau wengine wengine wakaenda walio enda, wengi wao ni mashushu
Ni lazima Kuna mtu kamuunganisha
 
Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wew wowote kwa Sababu kulinda kuzuia Mamluki Tofauuti na Idara na majeshi Mengine
Usalama sijui, lakini uhamiaji sio kweli watu wengi wanapata kazi tu bila kufahamiana na mtu. Lakini pia uhamiaji maisha yao wengi wao ni magumu hawana utofauti sana na jeshi la police/ffu/traffic.
 
Sio kweli
 
Usifananishe Uhamiaji na hao Civo pol.
Ni sawa na kulinganisha mbingu na Ardhi
 
Back
Top Bottom