Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wewe

Sasa haya unayoyaeleza umeyatoa wapi?

Maana mshahara unategemea kiwango Cha elimu.
Na hizi shahada zimewagawanyika.

Jifunze uelimike hasa kwenye hivyo vyombo viwili
Acha kupiga kelele huko ni njaa tupu, kama luten wa jeshi analipwa 2.1M Mshahara ambao analipwa Eng ii wa dawasa, hayo majeshi mengine yatakuwaje?.
 
Mara niligoma kujiunga baada ya kumaliza kidato Cha sita, mara kote njaa tupu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Atakuja mtu hapa kulinganisha kati ya huyo Engineer na mtu aliyepo Mgodini mfano wenye sifa na uwezo sawa ila analipwa mara 10, zaidi yake itakuwaje?

Kama ukitaka pesa kachimbe madini au fanya biashara.

Kuna watu wanaanza na 1.6 au 1.8M ambayo siyo mbaya kwa viwango vya maisha kwa viwango vya Dunia ya tatu.

Muhimu una malengo gani, kwenye maisha yako.

Nitajie mfanyakazi Tajiri kwa mshahara, nami nitakuonyesha nzi anaye tengeneza asari
 
Ni lazima wabadilishe Mifumo yao yote kabisa, ikiwemo na kubadilisha utaratibu Wao wa RECRUITMENT ya Maafisa wao.

Hili ni jambo la lazima kabisa ambalo haliwezi kuepukika kwa Sasa katika Idara hiyo.
Ni Lazima Wabadilike ili kuendana na Mahitaji halisi ya Dunia ya dunia ya Sasa.

Mamlaka Kuu ya Ujasusi ya Marekani ya CIA Baada ya Mashambulizi makali Sana ya kigaidi yaliyofanyika katika Kituo Kikuu Cha Biashara Cha Dunia (WTC), Pentagon, n.k hapo tarehe 11 Septemba 2001, CIA walikiri kwamba kulikuwa na Mapungufu makubwa Sana kwenye Mifumo ya Utawala, Mifumo ya Kuajiri Maafisa wa Taasisi hiyo na kwenye Mifumo ya Kiutendaji ndani ya CIA hali ambayo ilisaidia Sana kutoa mwanya kwa Magaidi wa Al Qaeda chini ya Osama bin Laden kuweza kuishambulia Marekani kwa urahisi Sana.

Baada ya mashambulizi hayo ya kigaidi ya September Eleven, CIA ilifumuliwa na kisha kusukwa tena upya. Kwa sasa, Maafisa wa Idara hiyo ya CIA Wanaajiriwa kwa utaratibu wa kutoa Matangazo ya Ajira zao kwenye vyombo mbalimbali vya Habari. Hii inawasaidia kutoa wigo mpana zaidi wa kuwapata Watu/ Waajiriwa mbalimbali walio sahihi zaidi, wenye weredi katika fani tofaufi tofaufi wakiwa na mitazamo tofaufi tofauti kinyume na hali ilivyokuwa hapo awali kabla ya mashambulizi ya 'September Eleven.'
Hii (Bongo bongo bahati ) mbaya hata ukisema wapite wakitangaza na vispika Mtaani, bado wataingiza watu wa ovyo maana userious ni Empty Kila kitu siasa.
 
Mara niligoma kujiunga baada ya kumaliza kidato Cha sita, mara kote njaa tupu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Atakuja mtu hapa kulinganisha kati ya huyo Engineer na mtu aliyepo Mgodini mfano wenye sifa na uwezo sawa ila analipwa mara 10, zaidi yake itakuwaje?

Kama ukitaka pesa kachimbe madini au fanya biashara.

Kuna watu wanaanza na 1.6 au 1.8M ambayo siyo mbaya kwa viwango vya maisha kwa viwango vya Dunia ya tatu.

Muhimu una malengo gani, kwenye maisha yako.

Nitajie mfanyakazi Tajiri kwa mshahara, nami nitakuonyesha nzi anaye tengeneza asari
Sasa usikatate uhamiaji/police Kote huko njaa tupu, ndio maana nakuambia wengi hukimbilia huko kama option no 2 baada ya kukosa TPDF. Na hata huko TPDF wenye uafadhari nihao officers lkn private nao njaa tupu. Hakuna askari anaeanza kazi uhamiaji/police wa kawaida anaeweza kulipwa mil 1.6 hayupo.

Hapa hatuzungumzii utajiri tunazungumzia maslahi ya askali wa uhamiaji kua Wana maisha duni, na kupata nafasi zao sio lazima uwe na connection.

Yes na hoja yako yakwanza nikweli niligoma na Kote huko Kuna njaa tupu, nazungumza Kuna njaa tupu kwa sababu nikitu ambacho nakielewa nje ndani.

Kuhusu mfanyakaz Tajiri au si Tajiri inategemeana na unaupiima utajiri kwa kiwango gani, lakini wapo wafanyakazi wengi wenye uhaueni Tena mara kumi ya hao police wa uhamiaji na police wa kawaida.

BTW Engineer aliepo mgodini hawezi kupokea mshahara mara 10 ya engineer aliepo dawasa.
 
Waliopo huko wanakucheka 🤣🤣🤣🤣🤣.
Kuna watu wanaanza na hiyo salary scale.
Sasa unabisha nini mjelajela.

Sehemu iwe ngumu kuingia, halafu ikose maslahi?
Unatumia nini kufikili?
 
Hakuna wakunicheka huko wote wananjaa hao, na kama unabisha kwamba wananjaa karibu inbox na salary slip yako maana na wewe unaonekana ni miongoni mwao, then mimi ntakuonyesha yangu, mshahara wako/wenu wa mwezi kwa hivyo vitengo vyenu vya police/tpdf wengine ndio tumepewa kama house allowance ya mwezi.
 
Mimi ni mchimba chunvi
Twende inbox ila naomba usifiche check number yako, Vote na subvote tunapokuwa huko inbox.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom