Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wewe

Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wewe

Nipo vitengo na section yangu Zanzibar
Kwanza huko unaposema hawana section au kokote Tanzania.

Acha uongo kijana, hauto kufaidisha kwa lolote.

Kwani ukisema mchumba chunvi unaathirika nini?
 
Mshahara kwa watu wanaoanza kazi wote wanafanana, lkn kunaongezoko la allowance kwa mtu Mwenye diploma na degree na kuendelea.
Usijaribu kuelezea kitu usicho kijua.
Huo mfumo upo Magereza na sio kwingine
Sawa mjelajela
 
Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wew wowote kwa Sababu kulinda kuzuia Mamluki Tofauuti na Idara na majeshi Mengine
Kazi nyingi tu mbona hata sector binafsi ukiomba lazima uweke referees watu wanaokujua wenye hadhi zao
Unashangaa nini?
 
Back
Top Bottom