Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wewe

Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wewe

Inaonekana watu mnapenda kazi za hatari mbona hamtaki upolisi au utpd?
 
Nawazungumza Hawa kwa sababu na ndugu na jamaa. Na wao kabla hawajaingia huko walikua na mawazo kama yako. Wananjaa, na wanaoanza kazi mshahara hata 1M Haifiki, sasa hio si njaa.
Mshahara kwa ngazi ipi ya elimu?
 
Hivi Kuna mtu anaijua hata anuani au tovuti ya tiss?ukiangalia nchi zilizoendelea idara hii unakuta hata tovuti ipo unaweza pata abc za idara.
 
Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wew wowote kwa Sababu kulinda kuzuia Mamluki Tofauuti na Idara na majeshi Mengine
Kwahiyo unashauri Nini mkuu?
Ni lazima wabadilishe Mifumo yao yote kabisa, ikiwemo na kubadilisha utaratibu Wao wa RECRUITMENT ya Maafisa wao.

Hili ni jambo la lazima kabisa ambalo haliwezi kuepukika kwa Sasa katika Idara hiyo.
Ni Lazima Wabadilike ili kuendana na Mahitaji halisi ya Dunia ya dunia ya Sasa.

Mamlaka Kuu ya Ujasusi ya Marekani ya CIA Baada ya Mashambulizi makali Sana ya kigaidi yaliyofanyika katika Kituo Kikuu Cha Biashara Cha Dunia (WTC), Pentagon, n.k hapo tarehe 11 Septemba 2001, CIA walikiri kwamba kulikuwa na Mapungufu makubwa Sana kwenye Mifumo ya Utawala, Mifumo ya Kuajiri Maafisa wa Taasisi hiyo na kwenye Mifumo ya Kiutendaji ndani ya CIA hali ambayo ilisaidia Sana kutoa mwanya kwa Magaidi wa Al Qaeda chini ya Osama bin Laden kuweza kuishambulia Marekani kwa urahisi Sana.

Baada ya mashambulizi hayo ya kigaidi ya September Eleven, CIA ilifumuliwa na kisha kusukwa tena upya. Kwa sasa, Maafisa wa Idara hiyo ya CIA Wanaajiriwa kwa utaratibu wa kutoa Matangazo ya Ajira zao kwenye vyombo mbalimbali vya Habari. Hii inawasaidia kutoa wigo mpana zaidi wa kuwapata Watu/ Waajiriwa mbalimbali walio sahihi zaidi, wenye weredi katika fani tofaufi tofaufi wakiwa na mitazamo tofaufi tofauti kinyume na hali ilivyokuwa hapo awali kabla ya mashambulizi ya 'September Eleven.'
 
Mkuu hata hawara ya bibi yako wa kambo naye anaweza kuwa TISS?

Nyau de adriz
Kuna usalama Aina Tatu yaani
Nawazungumza Hawa kwa sababu na ndugu na jamaa. Na wao kabla hawajaingia huko walikua na mawazo kama yako. Wananjaa, na wanaoanza kazi mshahara hata 1M Haifiki, sasa hio si njaa.
Acha uwongo wew uhamiaji ipi iyo
Posho ya askari 300 , Vinywaji 300 mshahara 500common Elimu 200 kwa form four yaan Constable
 
Usalama sijui, lakini uhamiaji sio kweli watu wengi wanapata kazi tu bila kufahamiana na mtu. Lakini pia uhamiaji maisha yao wengi wao ni magumu hawana utofauti sana na jeshi la police/ffu/traffic.
Polisi ugumu wao wa maisha upoje?
 
Back
Top Bottom