Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wewe

Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wewe

Usijaribu kuelezea kitu usicho kijua.
Huo mfumo upo Magereza na sio kwingine
Sawa mjelajela
Siwezi kua police, mm kipindi namalizia form six nilienda chuo na nikapiga chini TPDF tena kwenda TMA, na mpaka sasa sijutii. Maana mimi kazi ya jeshi/Police haipo kwenye damu.
 
Hizo kiwi nazo inategemea na mahala ulipo, ukipangiwa nyumbani kwetu kule Kilimapanda utalia mkuu.
Isitoshe vijana wengi walioingia majeshini miaka hii wanasema hata kujiendeleza kielimu hawana mpango wao wanatafuta mitaji tu
 
Siwezi kua police, mm kipindi namalizia form six nilienda chuo na nikapiga chini TPDF tena kwenda TMA, na mpaka sasa sijutii. Maana mimi kazi ya jeshi/Police haipo kwenye damu.
Sasa haya unayoyaeleza umeyatoa wapi?

Maana mshahara unategemea kiwango Cha elimu.
Na hizi shahada zimewagawanyika.

Jifunze uelimike hasa kwenye hivyo vyombo viwili
 
Kuna usalama Aina Tatu yaani

Acha uwongo wew uhamiaji ipi iyo
Posho ya askari 300 , Vinywaji 300 mshahara 500common Elimu 200 kwa form four yaan Constable
Acha uongo 🤣🤣🤣🤣🤣😭
 
Watu wengi hamujui Hali halisi ya mambo ya kazi hizi. Wengi mnazipenda Ili mpate Sifa na kuvimba mitaani.

Sawa mashushu🤝
 
Ndio maana zamani weledi ulikuwa mkubwa.
Sasa ni ujinga TU. Unakuta usalama anatamba baa au anajulikana mtaani. Sasa ni usalama Gani????
🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Asilimia kubwa siku hizi ni connection kwa hizo sehemu ulizotaja. Mambo ya connection yakiwa mengi sana weledi unapungua kabisa kama tunavyoona Sasa hivi, wako watu Hadi unajiuliza huyu amefikaje hapa?...
 
Back
Top Bottom