RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Siwezi kua police, mm kipindi namalizia form six nilienda chuo na nikapiga chini TPDF tena kwenda TMA, na mpaka sasa sijutii. Maana mimi kazi ya jeshi/Police haipo kwenye damu.Usijaribu kuelezea kitu usicho kijua.
Huo mfumo upo Magereza na sio kwingine
Sawa mjelajela
Ukitaka uhuru kwa Nchi Changa kam Tanzania yanatokea kama ya Congo,Kenya na SudanMimi sio mpenda siasa na wala si mwna chadema, lakini nimezungmza kwa ujumla kwa nchi za kiafrika idara hazipo huru..
Isitoshe vijana wengi walioingia majeshini miaka hii wanasema hata kujiendeleza kielimu hawana mpango wao wanatafuta mitaji tuHizo kiwi nazo inategemea na mahala ulipo, ukipangiwa nyumbani kwetu kule Kilimapanda utalia mkuu.
Sasa haya unayoyaeleza umeyatoa wapi?Siwezi kua police, mm kipindi namalizia form six nilienda chuo na nikapiga chini TPDF tena kwenda TMA, na mpaka sasa sijutii. Maana mimi kazi ya jeshi/Police haipo kwenye damu.
Mzee wa section 🤣🤣🤣🤣🤣Ukitaka uhuru kwa Nchi Changa kam Tanzania yanatokea kama ya Congo,Kenya na Sudan
Afande wanguMzee wa section 🤣🤣🤣🤣🤣
Ni I.o au I.I 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Afande wangu
nchi ngapi zilikuwa zinaminya demokrasia na sasa zimeanguka?Ukitaka uhuru kwa Nchi Changa kam Tanzania yanatokea kama ya Congo,Kenya na Sudan
Taja nchi gani ? .akuna upinzani utakushika mamlakanchi ngapi zilikuwa zinaminya demokrasia na sasa zimeanguka?
Naomba ajira na connection mkuu Bichwa ninechoka UjoblessHata BICHWA KOMWE ni TISS
Cc: GENTAMYCINE Nyani Ngabu Ghayo TheMongo Barbarian The Mongolian Savage Maghayo adriz Mufti kuku The Infinity Extrovert Lamomy
uko tayari kunipa mimba?Naomba ajira na connection mkuu Bichwa ninechoka Ujobless
Acha uongo 🤣🤣🤣🤣🤣😭Kuna usalama Aina Tatu yaani
Acha uwongo wew uhamiaji ipi iyo
Posho ya askari 300 , Vinywaji 300 mshahara 500common Elimu 200 kwa form four yaan Constable
🤣🤣🤣Ndio maana zamani weledi ulikuwa mkubwa.
Sasa ni ujinga TU. Unakuta usalama anatamba baa au anajulikana mtaani. Sasa ni usalama Gani????
Libya, Tunisia n.kTaja nchi gani ? .akuna upinzani utakushika mamlaka
Duh! hapo kipengele halafu aatar yako inanitisha na Mimi ni Generation Z naogopa kuharibu ujana wangu kwa Mashangazi kama nyie ..uko tayari kunipa mimba?
Kama Gazza 😆😅🤣Nchi ambazo demokrasia ni duni ama haipo, idara za usalama huwa naona hamna kitu, idara hazipo huru, zipo chini ya wanasiasa, vyama tawala.
Sasa mimi uni ambie kamu execute fulani kisa kasema ukweli, kwanini nisi ku execute wewe!.Ni kweli, wanafanya kazi kwa interests za vyama na wanasiasa....