Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,141
- 3,119
Pesa ndefu nikuanzia shiling ngapi?
Kuanzia Bilioni moja kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ndefu nikuanzia shiling ngapi?
Sasa hiyo nayo kuna watu wanaona ni pesa ya kawaida tuKuanzia Bilioni moja kiongozi
Kusimamia unamaanisha nini?Nunua coaster simamia mwenyewe utalaza mpaka 200000
Wanyiramba mnahisi pesa zote za nchi hii ni mali ya wanyiramba, kisa tu Madilu ndo waziri wizara ya fedha.Kwahiyo unaaminisha uma kwamba milioni 30 ni pesa ndefu?[emoji276]
Vip kuhusu risk?Kusimamia unamaanisha nini?
Mawazo mazuri;Habari Wakuu!
Sio kila mtu kwake mtaji ni tatizo, wengi wetu tuna pesa ndefu kiasi tu kwenye Acc, (20M+50M).
Personal, nilipanga kuanza kuwekeza kwenye biashara kwa Capital ya 30M, ambapo nashukuru mtandao wa JamiiForums chini ya Maxence Melo hatimaye nimeweza kuvuna idea 3 muhimu kupitia thread za humu JF.
Kwa miezi 2 nilijikita kufanya tafiti ya thread za zamani na mpya kuhusu aina ya uwekezaji naoweza kufanya kwa kiasi tajwa maxmum 30M. Ila busara ikanituma hiyo hela niwekeze kwenye biashara 2 tofauti kuliko kuwekeza mtaji wote kwenye single business ambapo ni risk.
Hivyo nimeamua rasmi kuwekeza kwenye biashara hizi,
1. Car accessories - 15M
2. Barbershop (Modern & Executive) - 13M
Idea iliyo pending mpaka sasa ni Bakery factory (Uokaji mikate), ambapo hii nitaanza baada ya hizo business 2 hapo juu kutake off.
Hali kadhalika, hizo business 2 nimeziweka kwa phase kiutekelezaji kwa miezi 3 kabla ya kuhamia uwekezaji mwingine. Hii yote ni control mechanism pia kuweka concentration ili kukuza biashara.
Nimeanza na bishara hizo sababu kwangu mimi zina low risk ya kupoteza mtaji pia hata margin profit yake ni nzuri, pia kwa kiusimamizi hazisumbui sana.
Asante JF, see you at the top.
JF imekuwa ya ajabu sana mkuu, mtu kaleta uzi wa maana lakini wanaibuka wauuzi wachache kuchepusha mada!uzi ushaharibika kwa wajuaji
Biashara hiyo nadhani inalipa ila shida ni kuwapata wavuvi waaminifuMawazo mazuri;
Naungana na wewe lkn kuna uchochoro fulani wa pesa ukifanikiwa kuwekeza kwenye uvuvi utapiga pesa zaidi.
Nunua fibre boat, nunua engine horse power 15, tafuta mpemba mpe mashine, awe anabeba wavuvi kwenda kuvua, kazi ifayike pwani ya Dar!
Utanishukuru baadae!!
Night club wadada warembo kibao uhakikaHizi biashara zinaweza kukufilisi vile vile, mi bado napambana saving angalau ifike 30m..
Akili inaniambia hela ipo kwenye night club/lounge au barbershop
Wanyiramba mnahisi pesa zote za nchi hii ni mali ya wanyiramba, kisa tu Madilu ndo waziri wizara ya fedha.
swaini kbs!
Kwa hiyo haya matejesho ya 50-60K per day ni kuwanufaisha madereva na makomda??Nunua coaster simamia mwenyewe utalaza mpaka 200000