Idea 3 za Biashara zinazoenda kuniweka kundi la Milionea by 2025

Akimiliki boti itapendeza ila akiingia kichwakichwa kwenye hiyo biashara atakiwa harudi na samaki kila akienda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka huu mpaka ni wa Holili/Tarakea
 
Kwa hiyo haya matejesho ya 50-60K per day ni kuwanufaisha madereva na makomda??
Normally mahesabu kwa siku ni 80k kwa gari ambayo ni mpya. Trip za 50 to 60k ni kama za mburahati.. na mwananyamala buguruni.. huko watu wanakimbizia gari zilizochoma.. tena 50 to 60k ni kwa tajiri ambaye hana njaa sana.. au ana mikangafu mingi
 
Kwahiyo unaaminisha uma kwamba milioni 30 ni pesa ndefu?[emoji276]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah nchi hii buana
 
Uganda mbona mbali sana, Zamani Arusha walikua vizuri sana lakini IRINGA kwa mikate Tanzania nzima hawana mpinzani wana kitu cha Tosti hatari tupu, Dar hakuna mkate mzuri tunateseka tu

Tosti ya iringa nimekula,ni mizuri sana ila hata dar kuna superloaf ni slices ni nzuri,ila ni kweli iringa wako juu kwa kuoka mikate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…