Idea 3 za Biashara zinazoenda kuniweka kundi la Milionea by 2025

Hiyo namba 1 wachaga wanaiwezea sana,kuna wachaga fulani karibu na nyumbani kwangu wanaifanya hiyo ukiwaona wamezubaazubaa kama wajinga ila wanauza hatari.
Tena hiyo ukitaka uijulie unaweka kwenye kona inayotenganisha mji mpya wenye masaiti mapya na mji wa zamani hapo utauza sana.
 
Ww sasa ndo umejua pa kupigia pesa

Mm ninatarajia kuanza hiyo ya chakula soon

Then badae natafanya ya mavazi

Kikubwa ni kuifanya biashara yako iwe na utofauti kidogo..
 
Ivi kutuma hela toka mpesa kenya kwenda Tz makato ni bei gani?
 
Uganda mbona mbali sana, Zamani Arusha walikua vizuri sana lakini IRINGA kwa mikate Tanzania nzima hawana mpinzani wana kitu cha Tosti hatari tupu, Dar hakuna mkate mzuri tunateseka tu
Kwa tosti nakubal.naichkua sana hapa mionbon duka la asas.ule mkate hata kama chai haina sukar aloo.inaenda.
 
Issue sio kupata nahodha muzuri, kwenye huo msafara wa kwenda kuvua basi hakikisha anakuwapo mtu wako mmoja mwenye akili na mwaminifu, kuibiwa itakuwa ngumu sana. Mimi nimeifanya hiyo business pale Mwanza miaka fulani.
Wakimjua snitch watamzamisha baharin
Labda na yeye awe anashiriki.ni kaz ngumu na haina kusema leo mtapata kias gan cha samak maana ni kwenda mungu anajua.
 
Mpaka sasa biashara dume ni mgahawa.ingawa changamoto yake ni kuweza kuandaa malisho Dail ya misos
 
Wakimjua snitch watamzamisha baharin
Labda na yeye awe anashiriki.ni kaz ngumu na haina kusema leo mtapata kias gan cha samak maana ni kwenda mungu anajua.
Wakimzamisha wahakikishe na wao hawarudi, huweki mtu wako kwa kificho, unamuweka hata ndugu yako na wao wakiwa wanajua kabisa.
 
Mkuu kwa Hiyo 15M unaweza kuwa na machine pia ya Printing?
 
Kwenye Car accessories
 
Hii nzuri
 
Yote hayo ya kazi mkuu si bora niwe mganga mtaji usinga na kaniki. Mnapenda kumi stress nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…