Ok mkuu ..na mfano umeshanunua bonds za serikali kwa miaka kadhaa, unaruhusiwa katikati ya mkataba ukaongezea mtaji labda kama.ulianza na 100, huko.katikati ukapata ka 50, ukawekamo inaruhusiwa..na kama.inafaa it means haitakua tena tuseme 1.3m kwa mwezi itaongezekaInategemea na asilimia ya faida siku anayonunua, say kama ni 13% kwa mwaka maana yake aliweka 100m maana yake anakunja 1.3m kila mwezi chukulia ana mshahara au ana biashara zingine! Ni ndogo kwa mfanyabishara (assuming that %ge) ila kwa mtu muoga na anayetunza pesa zake inamtosha sana anaona!
Unanunua mpya tu kwa sababu unaweza kukuta faida imepanda kwa nini utumie mkataba wa zamani? Unafungua account mpya tu kwa rate mpya iliyopo, kumbuka serikali inatangaza kutokana na uhaba wa pesa iliyonayo, so wakiwa na ukata sana wanapandisha riba na unapotaka zaidi unanunua tu zingine! Kupanda lazima itapanda na hata ile ya awali ukiacha kuchukua inakuwa compounded so riba uliyopata inazaa riba piaOk mkuu ..na mfano umeshanunua bonds za serikali kwa miaka kadhaa, unaruhusiwa katikati ya mkataba ukaongezea mtaji labda kama.ulianza na 100, huko.katikati ukapata ka 50, ukawekamo inaruhusiwa..na kama.inafaa it means haitakua tena tuseme 1.3m kwa mwezi itaongezeka
Ok mkuu kwa ambaye ana hio 250m akawekeza huko, atarudisha mtaj wake ndani ya muda gani na ka ruti.kusafirisha mizigo, wanachaji kiasi gani kwa trip..je hakuna ada za serikali hapoWekeza baharini, nunua meli ndogo ya uvuvi au mizigo. Kwa zilizotumika nchini Ugiriki na Cyprus unapata kuanzia 250million.
Meli ya mizigo route ya Dar kwenda Comoro mizigo ni mingi sana.Pia unaweza ukaleta meli ya kubeba mifugo (Livestock Carrier) kutoka Tanzania kwenda Comoro.
Halafu watakuja wakupinge na kukuita muongoBiashara yoyote unaweza kuifanya kwa mtaji wowote ni inshu ya diversification tu hata kuuza karanga unaweza kukufanya kwa mtaji wa bilion
Mimi mwenyewe nauza mitumba kwa mtaji wa 800mil
Mkuu mim sina huo mtaji tajwa hapo juu ila.naamin kupitia michango mbalimbali hapa namin itamnufaisha mwingine, pia ni wazo ambalo nimekua nalo ..hio tunaita funeral services na sio majeneza tu, nimewaza pia unawwza kuweka na magari maalum ya kubeba/kusafirisha maiti kwenda kuzika,Mkuu njooo tuwekeze kwenye biashara ya majeneza inalipa sana hautojuta!
Jamii forum wengi wao ni masikini na WA daraja la kati wenye uwezo wa kumiliki vi ist na wachache sana prado landcruser.Maana wengi Huwa wanalalamika usafiri dar Kwa maana wanapanda daladala,Hivyo,mtu anayepanda daladala ni ngumu sana kuwa na pesa milioni Miatano never
Sasa si utakua na account nyingi , zinaweza kua manageable kweli uweze kuzimonita sehem moja..? Manakwa.mtu anaepata kihela chake baada ya mda flan kwa mda mfup mfup hapo si atakua na akaunt nyingi ...Unanunua mpya tu kwa sababu unaweza kukuta faida imepanda kwa nini utumie mkataba wa zamani? Unafungua account mpya tu kwa rate mpya iliyopo, kumbuka serikali inatangaza kutokana na uhaba wa pesa iliyonayo, so wakiwa na ukata sana wanapandisha riba na unapotaka zaidi unanunua tu zingine! Kupata lazima itapanda na hata ile ya awali ukiacha kuchukua inakuwa compounded so riba uliyopata inazaa riba pia
Serious huwa tuna magodown ya mitumba mikoa mi5 nchini mzigo ukishuka hapo bandari tunapeleka mikoani kwa ajili ya kuwauzia wauzaji wa baro moja mojaHalafu watakuja wakupinge na kukuita muongo
Mimi najua wafanyabiashara wengi humu wa aina nyingi tu
Ni kweli unachosema
Kuna idea pia ya kutengeneza biodiesel (ethanol) nzito kama mbadala wa ,mafuta mazito ya diesel haya yanayotumika kuendesha heavy machines na engines za magari makubwa kwa kutumia malighafi za takataka zitokanazo na mazao kama makapi ya mahindi , mchele ,miwa nkAhsante.
Huwa ninafuatilia mambo ya biofuel ndio maana.
Sasa si utakua na account nyingi , zinaweza kua manageable kweli uweze kuzimonita sehem moja..? Manakwa.mtu anaepata kihela chake baada ya mda flan kwa mda mfup mfup hapo si atakua na akaunt nyingi ...
Au uwe na akaunti nyingi ila riba iwe inaingia sehem moja tu
Wala siwezi kukubishia kwa sababu mamjua mwanamama mmoja anashusha mpaka zaidi ya containers 10 yuko vizuriSerious huwa tuna magodown ya mitumba mikoa mi5 nchini mzigo ukishuka hapo bandari tunapeleka mikoani kwa ajili ya kuwauzia wauzaji wa baro moja moja
Kwa anaetaka kufahamu zaidi na aulize swali lolote nitamjibu kiufasaha
Atakwambia 500m ni pesa ya nyanya tu hiyo watu wanamiliki mabilionkwani Iyo 500m haikutoshi kula mpaka siku unakufa au unataka uiongeze ili iweje?