Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #201
Mnatoka nje ya mada wakuu!!!Hapa tunazungumzia ubora wa majeshi sio siasa au udini!!!Au hamkuielewa mada wakuu??Mzee unaweza kuelezea kidogo kuhusu Zionism/uzayoni naona huo ndio unaifanya Israel kuwa hivi ilivo
Hapo kwenye active duty soldier,s na commando's ndio napopazungumzia mimi ubora wa IDF kama mchambuzi wa kijeshiUSA anaongoza kwenye kila kitu kasoro active duty soldiers
Israel anategemea sana pesa za US kufanya tafiti na kuziuza.
Wanasema tafiti nyingi za Kijeshi huanzia Unit 8200
Achana na vitabu mzee wangu nazungumzia uzoefu wa wanajeshi uwanja wa mapambano kukabiliana iwe urban au mazingira mengine yoyote yale!!!IDF ni mfano wa kuigwa linspokuja suala la combat head to head,unit to unit,na eloctronical warfare,s!!!Nelson...
Nakuwekea hiyo picha hapo chini kutoka Maktaba yangu.
Picha inasema maneno 1000:
Kitabu cha Schindler kitakupa mateso waliyopitia Wayahudi katika Vita Vya Pili Vya Dunia.
Naelezea kitu ambacho ni true Jonathan Ntenyahu ni commando bora kabisa wa kizazi chake kwa hapa Tanzania kwa mfano wa haraka haraka namfananisha na General Mayunga mzee wa kazi kazi askari asiyeogopa kifo!!!!Naam hiyo spirit [emoji91]
Aliweza kuongoza ndege bila kuonekana kwenye rada za nchi za misri na sudan mpaka wanaingia anga la kenya upande wa ziwa victoria kuelekea Entebbe international airport!!!Jina la kibabe
Kina,Jonathan ni wababe
ITR sasa kama hujui Hezbollah ilianzishwa mwaka gani????Kweli utaweza kujadili vita vya IDF na wanamgambo wa Hezbollah?????Basi tuachane na kuanzushwa kwake tuje kwenye vita ya 2006 Israel alishindwa hiyo vita.
Mzee said nina wasiwasi unaleta siasa na maneno na udini katika vita vya hezbollah na majeshi ya IDF chini ya General Herzi Halevi!!!Je tactics za uwanja wa mapambano zilikuaje na udhaifu wa Hezbollah na udhaifu wa IDF ndio vitu vya kujadili!!!Toka mwanzo nilikuambia hii mada sio ya siasa bali ya wanajeshi waliokwenda uwanja wa mapambano tunajadili matukio!!!Siasa na udini kwa sisi wachambuzi wa kijeshi hapa sio mahali pake!!Rudi kwenye mada mzee wanguHimars,
Israel ilianza kudhoofika baada ya Vita Vya Yom Kippur 1973.
Katika vita na Hizbullah 2006 ndipo ile ''myth'' ya nguvu za Israel ilipovunjika hadi leo.
Nimepata kualikwa sehemu fulani mara mbili Zanzibar na Dar es Salaam kuzungumza kuhusu hili.
Speed ya ndege vs BinadamuMna stori za kisengerema nyie, ndege ikiwa kwenye runway inajiandaa kuruka unaweza ikimbilia?
Sasa unatoka nje ya mada mzee wangu!!!Mada ni ubora wa majeshi na pia wanajeshi wawe wa msiri au israel mada ni uzoefu wao uwanja wa vita!!!Sadat wa nini hapa?????Nelson...
Maneno hayo uliyosema Anwar Sadat alimwambia Mohamed Hassanain Heykal alipotaka kumhoji wakati wa Vita Vya Yom Kippur mwaka wa 1973.
Haikal alitoka Cairo kwenda kufanya mahojiano na Sadat akiwa Montaza Palace, Alexandria.
Nimefika Montaza Palace Alexandria:
Montaza Palace, Alexandria
Upo sahii kakaUbora wao unajulikana kuanzia 1948,1967, 1973
Hadi leo
Tunazungumzia ubora wa majeshi na uzoefu wa wanajeshi uwanja wa vita!!!Usitoke nje ya mada mzee wanguNelson...
Naona umepata hofu baada ya kuniona nimeingia kuchangia.
Allah ana maajabu yake.
Unadhani kuwa mimi siko katika club hii yako.
Kila utakavyonifikiria kuwa basi itakuwa siyo.
Hapa nilipoanza kuandika nikawa naitwa kwa kejeli, ''ustadh,'' ''mufti,'' ''sheikh.''
Nilipata sana tabu kuwafahamisha kuwa sinazo sifa hizo.
Baadae wakanijua kuwa siwezi kuwa na vyeo hivyo lakini kwa wao kuona picha nilizoweka nifahamike.
Nisome kwa makini kuna kitu utajifunza kutoka kwangu.
Ebu tuelezee kidogo kaka kumuhusu itakua njemaUnamfahamu léo major vizuri? Bado sijaona morden soldier anayekuta hata robo ya uthubutu wa huyu jamaa.
Mnatoka nje ya mada wadauDuc,
Unaweza kupata hayo yote katika Google.
Nelson...Sasa mzee wangu said mimi mada yangu sio kwenye vitabu!!!Mimi nazungumzia uzoefu wa ndani ya uwanja wa mapambano kupigana!!!Wanajeshi hatuhitaji vitabu kuelezea uzoefu wa vitani!!!Unatoka nje ya mada mzee wangu
Aaah mzee wangu mada nimeleta mimi kuhusu ubora wa majeshi na uzoefu wa vitani!!!Sasa wewe unahamishia kwenye vitabu na udini na siasa!!!Wanajeshi hatuna story za vitabu na udini au siasa sisi waga tunapokea order tu!!!Kama hujawahi kua kwenye uwanja wa mapambano sio lazima uchangie mzee wanguNelson...
Elimu gani ambayo leo haiko katika vitabu?
Mbona unahangaika hivi?
Mbona wenzio wote wananisoma na kufurahia kalamu yangu?
Nimeandika kuhusu vita na Wayahudi wako katikati ya hayo mapambano.
Unaona wivu jinsi ninavyoyajua mambo?
Hebu tulia mjadala uendelee.
Sasa maneno kama ""wayahudi wako""inaonyesha wewe sio mchambuzi wa medani za kivita bali unaleta udini na kutoka nje ya mada mzee wangu!!!Soma mada inasemaje mzee wangu Said Mohamed!!!Nelson...
Elimu gani ambayo leo haiko katika vitabu?
Mbona unahangaika hivi?
Mbona wenzio wote wananisoma na kufurahia kalamu yangu?
Nimeandika kuhusu vita na Wayahudi wako katikati ya hayo mapambano.
Unaona wivu jinsi ninavyoyajua mambo?
Hebu tulia mjadala uendelee.
Ndio maana wengi wanatoka nje ya mada mkuuHapa unabishana na mashabiki wa Simba na Yanga wasiojua chochote kuhusu ujasusi wanaishia kuangalia move tu kaka
Upo sahii kakaSasa brother unabishana na watu ambao hata kitabu cha Yerico nyerere wameshindwa kukilewa na neno ujasusi wamelijua jana si utasumbuka sana kiongoz
Nelson,Sasa unatoka nje ya mada mzee wangu!!!Mada ni ubora wa majeshi na pia wanajeshi wawe wa msiri au israel mada ni uzoefu wao uwanja wa vita!!!Sadat wa nini hapa?????