little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Mkuu hapo kwa upande wangu unakosea kwanini? Naimani unaelewa uhalisia kuna watu wamemaliza RTS na kufanya hadi level 3 course ila bado hawajawahi kushiriki angalau OP yoyote iliyo na uhalisia kamili wa battle. Ila haiondoi uhalisia kuwa Battlefield wanaielewa.Nimeuliza kuhusu vita vya mwaka 2006 kati ya IDF na wanamgambo wa Hezbollah!!!Tunazungumzia 2HP ground marks,Red line,s coverages of turning in and turning out,Shield marks na Air and ground offensive postive marks na Spy mobilization,mistakes and weakness na metal storage out come in targets!!!!Sasa wadau wote wanapozungumzia vita hii ya 2006 wanatoa story za kwenye vitabu au za waandishi wa habari hawana uzoefu na uwanja wa mapambano kuzungumzia udhaifu au ubora wa IDF
Tukirudi katika mada husika sidhani kama wengi wetu tumeshiriki hiyo Yom kippur au Six days war au hiyo vita ya Hizbollar ni lazima tulifuatilia katika vyombo vya habari au kupitia katika vitabu ili kujua ABC ya nini kiliendelea pale. Bila kufuatilia ni ngumu kujua tactics, strategy n.k zilizopelekea IDF kubaki na eneo lao hadi leo.
Hivyo mnapopishana na Mzee ni padogo sana unaweza ukawa PVT wa hapa hapa kwetu ila usiijue IDF kwa undani na walikopitia ila battlefield ukawa fit kweli kweli.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app