Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Smart...Umeanza tena kurudi kwenye kichaka chako cha "frontline".
IDF wamefanya military operations nyingi kwa mafanikio, zikiwemo daredevil rescue missions. Kwa upande wangu, hiki ni kipande kidogo kwenye kuamua ubora wao.
To become the best, lazima tuangalie utafanya nini endapo ukipambana na big boys wenzio. Ndio hapo ninapopata mashaka.
Kupima ubora wa IDF kwa Hezbollah na waarabu wa kipindi kile, tutakua tunafanya makosa. Ndio maana hata wewe umepata mashaka kusema Israel itaishinda Iran.
Tukisema nani anashinda kati ya Marekani na Iran, obviously tutakubaliana Marekani anashinda. Ila kwa Israel Vs Iran, sote tunapata mashaka. Huo ndio ubora ninaouzungumzia mimi brother!
Sijui umetumia vigezo vipi kusema Marekani ikiingia vitani ni Iran itashinda vita.
Marekani walishindwa vita na Vietnam 1975.
Kipi kitakachowafanya washinde vita na Iran?
Kuhusu vita vya Israel na Iran Mungu apishie mbali madhara yake yatakuwa makubwa sana.
Israel haiwezi kuhimili vita vya muda mrefu hata kama itasaidiwa na Marekani.