IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Nimeuliza kuhusu vita vya mwaka 2006 kati ya IDF na wanamgambo wa Hezbollah!!!Tunazungumzia 2HP ground marks,Red line,s coverages of turning in and turning out,Shield marks na Air and ground offensive postive marks na Spy mobilization,mistakes and weakness na metal storage out come in targets!!!!Sasa wadau wote wanapozungumzia vita hii ya 2006 wanatoa story za kwenye vitabu au za waandishi wa habari hawana uzoefu na uwanja wa mapambano kuzungumzia udhaifu au ubora wa IDF
Mkuu hapo kwa upande wangu unakosea kwanini? Naimani unaelewa uhalisia kuna watu wamemaliza RTS na kufanya hadi level 3 course ila bado hawajawahi kushiriki angalau OP yoyote iliyo na uhalisia kamili wa battle. Ila haiondoi uhalisia kuwa Battlefield wanaielewa.

Tukirudi katika mada husika sidhani kama wengi wetu tumeshiriki hiyo Yom kippur au Six days war au hiyo vita ya Hizbollar ni lazima tulifuatilia katika vyombo vya habari au kupitia katika vitabu ili kujua ABC ya nini kiliendelea pale. Bila kufuatilia ni ngumu kujua tactics, strategy n.k zilizopelekea IDF kubaki na eneo lao hadi leo.

Hivyo mnapopishana na Mzee ni padogo sana unaweza ukawa PVT wa hapa hapa kwetu ila usiijue IDF kwa undani na walikopitia ila battlefield ukawa fit kweli kweli.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Baba...
Inabidi niseme kitu.

Nimefika Ismailia, Suez na Port Said na nimeona yote yaliyotendeka katika vita ya Wayahudi na Waarabu.

Nimeona ilipokuwa Bar Lev Line.

Nimesafiri Desert Road kutoka Cairo hadi Alexandria na nimerudi Cairo kwa njia ya kawaida kupitia Port Said na Damieta.

Jangwa zima kati ya Cairo na Alexandria ni kambi za jeshi.
Hii Damieta ilikuwa bandari mpya inajengwa jangwani lakini imeanza kazi.

Nimefika kwingi Misri - Tanta, Mehalla El Kubra hadi vijiji vidogo ndani ndani.

Baada ya safari hii nikatembelea Sudan na nikafika Haj Yusuf nikapiga kambi muda mrefu kisha nikaenda Jazeera katikakati ya Sudan.

Hapa ndipo Mahdi alipoongoza vita dhidi ya majeshi ya Gordon Pasha na kuiteka Khartoum miaka ya mwishoni 1800.

Nelson ajifunze kuwa na heshima kama yeye kapita jeshini katika ngazi zenyewe lazima atazijua sehemu hizi nilizotaja Misri na Sudan.

Ajiulize kote huko nani kanifikisha na kwa sababu zipi.

Nimefika pia na Zero Ground (Twin Towers), New York baada ya 9/11.

Nimehudhuria mkutano mkubwa wa kimataifa Tehran.

Katika moja ya agenda iliyokuwa nzito ilikuwa haki ya Iran kutumia nguvu za nuklia kwa maendeleo.

Bahati mbaya Marekani na marafiki wa Israel hawakuwapo katika mkutano huu.
Sasa mzee wangu hata 2HP,SPH,CDO na tactics zingine za frontline hujui!!Afu unataka kweli mdau kama mimi tujadiliane medani za vita na ubora wa majeshi????
 
Kufika Bar lev sio tatizo mzee wangu ila huna uzoefu wa uwanja wa mapambano kuweza kuelewa napozungumzia ubora wa IDF!!!!Au unao huo uzoefu mzee wangu nijuze tuanze mada kuzungumzia ubora wa majeshi na mashirika ya kijasusi kwenye uwanja wa mapambano????
Nimeufuatilia mjadala kuanzia mwanzo kabisa mpaka hapa ulipofikia. Kuna kosa unalifanya ndugu mleta mada. Wape watu uhuru wa kujadili hii mada. Unapoanza kuweka limits, kwamba wachangie watu waliofika battlefield pekee, unakua huwatendei haki wana JF.

Mimi sio kuku, lakini nikiliona yai nitalitambua. Tena ninaweza mpaka kukutajia nutritional contents zilizomo. Sasa ukileta mada kuhusu yai, sidhani kama utaweka limit kwamba wachangie wale tu ambao wamewahi kutaga!

Dunia ya leo utandawazi umetamalaki. Niko Namtumbo huku, ila nafuatilia kwa ukaribu kabisa yanayojili pale Bakhmut. Sihitaji kuwepo frontline ndio nifahamu Urussi wameachieve nini pale Ukraine na kipi hawaja-achieve!

Tunao makocha na wachambuzi wazuri wa mpira ambao hawajawahi kucheza mpira. Na tunaona wachezaji wazuri wa mpira wakifeli kwenye ukocha na uchambuzi. Hata jeshini pia, kuwepo battlefield hakukufanyi uwe mchambuzi mzuri wa masuala ya kijeshi. It's a matter of interest and research!

Sikubaliani na hoja nyingi za mzee Said, ila sioni kama ni sahihi kumuwekea mipaka ya kujadili, eti kisa unahisi hajawahi kufika battlefield. Wekeni hoja, kisha zipingwe kwa hoja. Mwageni references na links zenye maelezo ya ziada ili tujifunze.

Suala la "umewahi kufika battlefield" ni personal issue, let's keep it that way.

NB: binafsi naunga mkono, MOSSAD ndio shirika bora la kijasusi duniani. Ila kuhusu IDF kuwa jeshi bora, i have doubts!
 
Mkuu hapo kwa upande wangu unakosea kwanini? Naimani unaelewa uhalisia kuna watu wamemaliza RTS na kufanya hadi level 3 course ila bado hawajawahi kushiriki angalau OP yoyote iliyo na uhalisia kamili wa battle. Ila haiondoi uhalisia kuwa Battlefield wanaielewa.

Tukirudi katika mada husika sidhani kama wengi wetu tumeshiriki hiyo Yom kippur au Six days war au hiyo vita ya Hizbollar ni lazima tulifuatilia katika vyombo vya habari au kupitia katika vitabu ili kujua ABC ya nini kiliendelea pale. Bila kufuatilia ni ngumu kujua tactics, strategy n.k zilizopelekea IDF kubaki na eneo lao hadi leo.

Hivyo mnapopishana na Mzee ni padogo sana unaweza ukawa PVT wa hapa hapa kwetu ila usiijue IDF kwa undani na walikopitia ila battlefield ukawa fit kweli kweli.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Upo sahii kaka!!!Mada ni ubora wa jeshi husika kwenye uwanja wa mapambano!!!Napishana na mzee sababu anatoka nje ya mada
 
Sawa Mkuu nimekuelewa
 
Mkuu hapo kwa upande wangu unakosea kwanini? Naimani unaelewa uhalisia kuna watu wamemaliza RTS na kufanya hadi level 3 course ila bado hawajawahi kushiriki angalau OP yoyote iliyo na uhalisia kamili wa battle. Ila haiondoi uhalisia kuwa Battlefield wanaielewa.

Tukirudi katika mada husika sidhani kama wengi wetu tumeshiriki hiyo Yom kippur au Six days war au hiyo vita ya Hizbollar ni lazima tulifuatilia katika vyombo vya habari au kupitia katika vitabu ili kujua ABC ya nini kiliendelea pale. Bila kufuatilia ni ngumu kujua tactics, strategy n.k zilizopelekea IDF kubaki na eneo lao hadi leo.

Hivyo mnapopishana na Mzee ni padogo sana unaweza ukawa PVT wa hapa hapa kwetu ila usiijue IDF kwa undani na walikopitia ila battlefield ukawa fit kweli kweli.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa mkuu
 
Pamoja mkuu.

Naomba maoni yako, ikitokea vita kati ya Israel na Iran, tutegemee kuona nini kikitokea? Siongelei some kind of a military operation, naongelea an all-out war!
Ni swali gumu kidogo sababu majeshi yote yapo vizuri both Iran national guard and IDF ila kila moja kwa sehemu yake!!!Ngoja tuangalie mambo machache kama man power in both side's,Latest weapon's,Intelligence tactics,Number,s of allies,Weapons of mass destruction in both sides!!Na cha msingi kabisa ni Air coverage to avoid long range strike's in both side's!!!!Kwenye ground offensive atakae mfuata mwenzake atakua na risk zaidi!!!!!Ikitokea all out war itahusisha zaidi allies wa pande zote mbili sio hizo nchi mbili pekee kwa sababu za kijiografia na ni vigumu kutabiri mshindi!!!!!
 
MOSSAD waliitwa mpaka Kenya kuokoa jahazi enzi za Magaidi kulipua lipua Nairobi na Mombasa
Ile operation ilikua ngumu kidogo sababu mwanzoni Al shabab waliwazidi ujanja vikosi vya usalama vya KDF!!!!Lakini KDF baadae waliusoma mchezo kwa msaada wa makachero wa Mossad
 
Pamoja mkuu.

Naomba maoni yako, ikitokea vita kati ya Israel na Iran, tutegemee kuona nini kikitokea? Siongelei some kind of a military operation, naongelea an all-out war!
Iran ina jeshi dhabiti kuliko nchi nyingi pale middle east sio la kubeza!!!Sema tofauti yake na IDF ni kupata new advanced technology in military equipment,s especially in air coverage sababu ya issue za vikwazo na itikadi za siasa duniani kimaslahi!!!Lakini ni jeshi bora kabisa sema limeshiriki operation chache za undercover duniani kulinganisha na IDF ila Iran ina jeshi bora kabisa!!!!Wachambuzi wa medani za kijeshi wanaelewa hili
 
Ni swali gumu kidogo sababu majeshi yote yapo vizuri both Iran national guard and IDF ila kila moja kwa sehemu yake!!!Ngoja tuangalie mambo machache kama man power in both side's,Latest weapon's,Intelligence tactics,Number,s of allies,Weapons of mass destruction in both sides!!Na cha msingi kabisa ni Air coverage to avoid long range strike's in both side's!!!!Kwenye ground offensive atakae mfuata mwenzake atakua na risk zaidi!!!!!Ikitokea all out war itahusisha zaidi allies wa pande zote mbili sio hizo nchi mbili pekee kwa sababu za kijiografia na ni vigumu kutabiri mshindi!!!!!
Ok. Hiki ulichokiandika hapa, ndicho kinachonipa doubts kusema IDF ni jeshi bora duniani. Nadhani tukifanya ranking, hawatoboi top ten!

They can't go against the big boys on their own. Na hata wakiwa na allies wao, bado mambo yatakua magumu.

Kuhusu MOSSAD, no doubts. Wale jamaa ni mfano halisi wa binadamu wanaojua kutumia akili zao vizuri!
 
Ungekua mtu uliyepata nafasi ya kua frontline na vikosi vya kijeshi popote pale duniani utaelewa kwanini nasema IDF ni jeshi bora zaidi linapokuja suala la kupata 100+ marks katika uwanja wa mapambano!!!!!Kila nchi ina majeshi imara na madhubuti ila ubora wa jeshi husika katika uwanja wa mapambano(Mlango wa kifo) ni kitu kingine tofauti kabisa
 
Ok. Hiki ulichokiandika hapa, ndicho kinachonipa doubts kusema IDF ni jeshi bora duniani. Nadhani tukifanya ranking, hawatoboi top ten!

They can't go against the big boys on their own. Na hata wakiwa na allies wao, bado mambo yatakua magumu.

Kuhusu MOSSAD, no doubts. Wale jamaa ni mfano halisi wa binadamu wanaojua kutumia akili zao vizuri!
Nilijibu swali lako kama mtu mwenye uzoefu sio mwanasiasa au mshabiki wa itikadi flani!!!!Nadhani umenielewa kaka na mada ni ubora wa jeshi husika katika uwanja wa mapambano sehemu husika!!!
 
Ungekua mtu uliyepata nafasi ya kua frontline na vikosi vya IDF utaelewa kwanini nasema IDF ni jeshi bora zaidi linapokuja suala la kupata 100+ marks katika uwanja wa mapambano!!!!!Kila nchi ina majeshi imara na madhubuti ila ubora wa jeshi husika katika uwanja wa mapambano ni kitu kingine tofauti kabisa
Umeanza tena kurudi kwenye kichaka chako cha "frontline".

IDF wamefanya military operations nyingi kwa mafanikio, zikiwemo daredevil rescue missions. Kwa upande wangu, hiki ni kipande kidogo kwenye kuamua ubora wao.

To become the best, lazima tuangalie utafanya nini endapo ukipambana na big boys wenzio. Ndio hapo ninapopata mashaka.

Kupima ubora wa IDF kwa Hezbollah na waarabu wa kipindi kile, tutakua tunafanya makosa. Ndio maana hata wewe umepata mashaka kusema Israel itaishinda Iran.

Tukisema nani anashinda kati ya Marekani na Iran, obviously tutakubaliana Marekani anashinda. Ila kwa Israel Vs Iran, sote tunapata mashaka. Huo ndio ubora ninaouzungumzia mimi brother!
 
Nilijibu swali lako kama mtu mwenye uzoefu sio mwanasiasa au mshabiki wa itikadi flani!!!!Nadhani umenielewa kaka na mada ni ubora wa jeshi husika katika uwanja wa mapambano sehemu husika!!!
Title ya uzi wako inasema, "IDF jeshi bora kabisa duniani, na MOSSAD ni idara bora kabisa ya ujasusi duniani"

Kuhusu MOSSAD, nimekubaliana na wewe. Kuhusu IDF, sikubaliani na wewe. Ninayafahamu majeshi bora zaidi, na yenye uwezo mkubwa kuwazidi IDF.

Marekani, Urusi, China ni mifano kadhaa ya majeshi bora zaidi ya IDF!
 
Umeanza tena kurudi kwenye kichaka chako cha "frontline".

IDF wamefanya military operations nyingi kwa mafanikio, zikiwemo daredevil rescue missions. Kwa upande wangu, hiki ni kipande kidogo kwenye kuamua ubora wao.

To become the best, lazima tuangalie utafanya nini endapo ukipambana na big boys wenzio. Ndio hapo ninapopata mashaka.

Kupima ubora wa IDF kwa Hezbollah na waarabu wa kipindi kile, tutakua tunafanya makosa. Ndio maana hata wewe umepata mashaka kusema Israel itaishinda Iran.

Tukisema nani anashinda kati ya Marekani na Iran, obviously tutakubaliana marekanu anashinda. Huo ndio ubora ninaouzungumzia mimi brother!
Upo sahii kwa maoni yako ila kidogo naona hatuelewani maana neno ubora wa jeshi na ubora wa jeshi husika in frontline take to take slidings in every angle!!!Na hiki ndio kipimio cha output ya jeshi husika!!!Pia sisi wachambuzi wa medani hii hatupimi ubora wa IDF kwa Hezbollah au previous war,s!!!!Japokua previous war,s zinatengeneza future war skeleton,s!!!
 
Title ya uzi wako inasema, "IDF jeshi bora kabisa duniani, na MOSSAD ni idara bora kabisa ya ujasusi duniani"

Kuhusu MOSSAD, nimekubaliana na wewe. Kuhusu IDF, sikubaliani na wewe. Ninayafahamu majeshi bora zaidi, na yenye uwezo mkubwa kuwazidi IDF.

Marekani, Urusi, China ni mifano kadhaa ya majeshi bora zaidi ya IDF!
Leo nazungumzia IDF na siku nyingine nitazungumzia MARINE,S WA USA na siku nyingine nitazungumzia kuhusu ubora wa PLA na CMA wa Beijing au KRS na Special force,s wa Pyongyang na ect.....!!!Sio lazima ukubaliane na ninachosema upo sahii na endelea kutoa maoni kaka
 
Kufika Bar lev sio tatizo mzee wangu ila huna uzoefu wa uwanja wa mapambano kuweza kuelewa napozungumzia ubora wa IDF!!!!Au unao huo uzoefu mzee wangu nijuze tuanze mada kuzungumzia ubora wa majeshi na mashirika ya kijasusi kwenye uwanja wa mapambano????
Nelson,
Baadhi yetu tuko mbali tunazungumza kuhusu vita vya Israel na Waarabu.

Tumejadili vita vya Hizbullah na Israel na nimeulizwa maswali kwa nini nimesema Israel imeshindwa vita vile.

Tumejadili yaliyotokea Munich mwaka wa 1972 walipouliwa wanamichezo wa Israel na Black September na vipi majasusi wa MOSSAD walivyowatafuta wauaji wale na kuwaua wote.

Wewe endelea kusubiri kueleza ubora wa IDF.
Mimi sina tatizo na hilo.
 
Hapo sasa tunaelewana mzee wangu mimi mada yangu ni ubora wa IDF katika uwanja wa mapambano waasisi wa millitary tactics zenye matokeo chanya kabisa kwenye uwanja wa mapambano (Mlango wa kifo) kama 2PH,CDO,Red line,s coverage na nyinginezo nyingi katika operation zake duniani kwa miaka zaidi ya 30 kama jeshi bora zaidi!!!Hata mimi sina tatizo na hilo mzee wangu Said mohamed karibu sana!!!
 
Back
Top Bottom