IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Mambo yanabadilika mkuu tokea 1940s hadi sasa utegemee hali iwe ileile? Nchi zingine zinapiga hatua kila baada ya miaka kadhaa.
Tanzania ndiyo nchi ambayo inadhani maendeleo ya vitendo ni adui kwake.
Tanzania tumebarikiwa kupata viongozi wa ovyo sana. Mungu inusuru Tanzania yetu na vizazi vijavyo
 
Binafsi kwa uelewa wangu mdogo na nnavyofahamu ni kwamba IDF inafanya kazi kwa ukaribu sana na MOSSAD ikishirikiana na akina CIA. Kuna operations nyingi sana MOSSAD imefanya na kufanikiwa kwa asilimia zote. Kuna vita ya ujasusi iliwahi kuwepo baina ya israel na misri pia israel na syria ambapo israel waliukwaa eneo la golan heights na ndio sababu kwann syria haipatani na israel mpaka leo na hata ktk vita vya syria MOSSAD iliendesha operation ya kimya sana ndani ya ardhi ya syria kwa kupandikiza mamluki wao ambae ni mwanamke makazi yake yalikuwa ramda nchini syria na huyu mwanamke ndie alikuwa akinasa taarifa la kundi linalodhaminiwa na ASSAD na HASSAN ROUHANI na kijana wao alipewa jina GHOST huyu ndie aliekuwa intelligent soldier na aliwahi kumshika mateka mwanajeshi wa IDF mwenye uraia wa marekani pia alikuwa kwenye airforce ya marekani kabla kujiunga na IDF na kuwa ktk kikosi cha anga cha IDF pia huyu mwanajeshi alitekeleza order nyingi za kuishambulia SYRIA kwa anga
 
Nyamizi,
Nimechangia kile ninachokijua.
Nimeweka na ''notes'' za muhadhara wangu.

Ikiwa sikueleza kila kitu au unaona kuwa Hizbullah hawakushinda hakuna tatizo.

Ikiwa wewe una habari zaidi katika haya tuwekee hapa naamini wengi tutapenda kusoma.
 
Kuna operation nyingine kwa sababu za kiusalama na kulinda taarifa na maadili ya tasnia ya kijasusi siwezi kuzielezea ila nitakua nazielezea kwa kufupi ubora wa jeshi la IDF na MOSSAD kama mwangaza wa majeshi na mashirika mengine ya kijasusi kujifunza kupitia wao
 
Atakaejibu hii hoja yako kwa ufasaha kabisa atakuwa ameitendea haki hii mada.
Hakuna alieweza kujibu wote wanazungimzia vita kama hoja na simulizi za kisiasa ila sio wachambuzi na watafiti wa kinachotokea uwanja wa mapambano
 
Kuna operation nyingine kwa sababu za kiusalama na kulinda taarifa na maadili ya tasnia ya kijasusi siwezi kuzielezea ila nitakua nazielezea kwa kufupi
Nelson...
Ikiwa wewe unazo hizo taarifa sasa kinacholindwa ambacho ni siri ni kipi?

Wewe utakuaje na taarifa hizo kisha ujinadi hadharani kuwa unazo.

Unataka kutuaminisha kuwa wewe una mawasiliano na MOSSAD?

Nelson unajua maradhi yanayoitwa, ''grandiose delusional disorder?''

Unakumbuka nilikwambia kuwa una tatizo la kichwa?

Iko tiba.

Mtu anatibiwa na anapona anarejea katika hali yake ya kawaida.

Jasusi na watu katika tasnia hiyo hawajitangazi.

Mmoja katika wazee wangu ndani ya TANU yeye ndiye alikuwa mtu wake David Kimche Tanganyika wakati wa kupanga mapinduzi ya Zanzibar.

Kama nitakutajia Kimche ni nani katika MOSSAD nitakupunguzia utamu wa haya ninayokueleza.

Yumo katika kitabu cha Harith Ghassany, ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru,'' ingia kwenye faharasha mtafute Kimche utastarehe.

Kisha mtafute Kimche Google.

Kwa kuwa unayapenda haya mambo nikipata wasaa nitakupa stori yangu na Wayahudi katika blog yangu.

Nini kilikuwa kinatokea kila ninapowataja.

Ajabu ya rahmani.

Kuna vitabu vingi vimeandikwa kuhusu Mossad na shughuli zake na vinauzwa madukani.

Hicho kitabu hapo chini nimekinunua Muscat Airport.

Karibu uendelee kuchangia muendelezo wetu wa siku ya tatu ya vita vya Yom kippur tupo tunazungumzia kwa sasa makabiliano ya vifaru na wanajeshi wa miguu wa pande mbili zote husika katika eneo la kaskazini la vilima vya Golan saa 11 alfajiri pale ndugu zetu IDF,s na SDF,s walipokutana uso kwa uso kufa kupona!!!Karibu sana
 
Attachments

Nelson...
Ikiwa wewe unazo hizo taarifa sasa kinacholindwa ambacho ni siri ni kipi?
Wewe utakuaje na taarifa hizo kisha ujinadi hadharani kuwa unazo.

Unataka kutuaminisha kuwa wewe una mawasiliano na MOSSAD?
Nelson unajua maradhi yanayoitwa, ''grandiose delusional disorder?''

Unakumbuka nilikwambia kuwa una tatizo la kichwa?
Iko tiba.

Mtu anatibiwa na anapona anarejea katika hali yake ya kawaida.
Jasusi na watu katika tasnia hiyo hawajitangazi.

Mmoja katika wazee wangu ndani ya TANU yeye ndiye alikuwa mtu wake David Kimche Tanganyika wakati wa kupanga mapinduzi ya Zanzibar.

Kama nitakutajia Kimche ni nani katika MOSSAD nitakupunguzia utamu wa haya ninayokueleza.

Yumo katika kitabu cha Harith Ghassany, ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru,'' ingia kwenye faharasha mtafute Kimche utastarehe.

Kisha mtafute Kimche Google.

Kwa kuwa unayapenda haya mambo nikipata wasaa nitakupa stori yangu na Wayahudi katika blog yangu.

Nini kilikuwa kinatokea kila ninapowataja.
Ajabu ya rahmani.

Kuna vitabu vingi vimeandikwa kuhusu Mossad na shughuli zake na vinauzwa madukani.

Hicho kitabu hapo chini nimekinunua Muscat Airport.

Nelson,
Naamini umenisoma na umenielewa.
Uko kimya.

Umefanya vizuri sana kuwa kimya.
Unanikaribisha leo kusoma hayo?

Unasahau kuwa mwanzo wa mjadala nilikuandikia kuhusu Mohamed Heykal na Sadat Yom Kippur inaanza ukasema mjadala huu si wa vitabu?

Mimi nayajua hayo toka 1973 na nayasomesha hadi hivi sasa na wewe nimekuorodhesha kama mmoja wa wanafunzi wangu.
 
Mzee Mohamed Said kama ni kweli Israel ilishindwa na Hizboullah mwaka 2006 unadhani ingeendelea kuwepo kama taifa ?....au kushindwa huko unamaanisha walishindwa kufikia malengo yao yaani kuwamaliza Hizboullah ?

T14 Armata HIMARS
Mwaka 2006 Israel ilitwangwa sababu hata kuna maeneo kama sijakosea yanaitwa SHABAA ambayo ISRAEL walikua wanayakalia kabla ya ile vita

Ila baada ya ile vita walikimbizwa na wakakimbia HIZBU wakajitwalia maeneo yao

ISRAEL jeshi lakawaida sana wanapigwa na wanamgambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIZBU magaidi sababu wapo kinyume na Western nandio maana leo hata wagner wanatambulika magaidi sababu wapo kinyume na wester

HIZBU hawakua pale pale soma vyema hio vita kuna maeneo yalikua yanakaliwa na hao magaidi wa israel mashamba ya SHABAA ambayo baada ya vita yalirudi kwa HIZBULLAH

UGAIDI ninini !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakutana na kipigo zaidi ya kile cha 2006 hata wao wanajua hilo na hawata jaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana tuendelee kuchangia sehemu ya muendelezo wetu wa vita vya yom kippur pale uwanda wa Golan siku ya tatu ya mapigano saa 11 alfajiri.Karibu sana tuendelee mzee wangu
 
Atakutana na kipigo zaidi ya kile cha 2006 hata wao wanajua hilo na hawata jaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuchangia kitaalamu kwa jicho la kijeshi hii vita vya 2006 kati ya IDF na Hezbolah????Tuanzie kwanza na HATUA MBINU za majeshi yote mawili,tuzungumzie nguvu kazi za majeshi yote mawili,tuzungumzie aina za silaha zilizotumika pande zote mbili angani na ardhini na je zilisaidia kila upande kukamilisha HATUA MBINU ZAKE,tuzungumzie uharibifu wa maghala ya kijeshi,kambi,mji egemezi kwa kila upande,tuzungumzie wanajeshi wangapi walikufa kila upande na wanajeshi wangapi walitekwa kila upande.Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…