IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Kiboko yao ni Hizibullah.
Tuzungumzie vita vya kusini mwa lebanon ila kwa mtazamo wa kijeshi sio ushabiki!!!Haya tuanzie vita vya mwaka gani kati ya IDF na wanamgambo wa hezbolah!!!Tuangalie tactics za majeshi yote mawili na objectives achieved katika vita vyao!!!Nani aliweza kuingia ndani ya eneo la mwenzie na kuachive millitary goals!!!Karibu kaka nakusikiliza
 
Tuanze na vita ya 2006 na kumbuka kipindi hicho ndo Hizibullah ilikuwa imeanzishwa hivyo ilikuwa dhaifu ukilinganisha na sasa.
 
Hivi bila mikataba ya kubadilishana taarifa (Intelligence Sharing Agreements) na mataifa ya kizungu (Anglo-Saxons States/5 Intelligence Eyes ) Israel inaweza kuwa na nguvu hii-hii kijeshi na kijasusi ??? Hebu tuwe wakweli kidogo.

Pia, kila mwaka Israel anapewa msaada wa kijeshi kutoka Marekani, dola za Kimarekani bilioni 3.3, ambazo ni sawa na trilioni 7 za Kitanzania. Mahela yote haya ya kununulia vifaa, kufanya tafiti na kufanyia oparesheni za kijeshi na kijasusi, unadhani watakuwa wa kawaida kweli ???

Leo hii hata sisi Tanzania tupewe trilioni 7 kama bajeti ya jeshi kila mwaka, unadhani TPDF itakuwa ya mchezo mchezo ??? (Japo nina wasiwasi sisi Tanzania tukipewa msaada kama huu, lazima tutaiba tu)
 
Wanapewa msaada na US hakuna Cha zaidi ya hapo. Wangekua na ability hiyo mnayoisema hapa wasingechinjwa kiasi kile na Hitler
 
safi sana
 
IDF ni jeshi la nchi gani?
Mossad ni majasusi wa nchi gani?
 
Mna stori za kisengerema nyie, ndege ikiwa kwenye runway inajiandaa kuruka unaweza ikimbilia?
 
Kwani kuna Mpuuzi yoyote alikuwa analikataa au analibishia kabisa hili?
 
Mpaka leo kwa mashariki ya kati ni iran,lebanon na syria tu ndio sio washirika wa Israeli!!!!Saudi arabia wananunua technology ya ulinzi wa anga toka kwenye makampuni ya mossad duniani!!!
Iran wewe jamaa utakuwa kichaa

USSR
 
Algeria hawaahirikiani na Israel sasa wataanzaje
Amechanganya hapo nadhani ni kitu kisichowezekana ugomvi wa Algeria na Morocco ni hawa Morocco kuwa upande wa Israel na Algeria kuwa upande wa Palestina na ni mahasimu kweli sasa hivi wanataka kwenda sawa baada ya Morocco kuondoa Ubalozi wao Israel...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…