IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Katika lipi kaka tufafanulie ila mada tunazungumzia ubora wa majeshi katika viwanja vya mapambano na ubora wa mashirika ya kijasusi!!!Unaweza kutuletea ubora wa jeshi la ulinzi la iran na combat na military assignment walizocover kwa mafanikio makubwa duniani!!!Tutajie hata tano tuendeleze mjadala ndugu yangu @ Dronedrake
R&D ya Nyuklia ikiisha tu, target ya kwanza kuwa levelled ni Tel Aviv

kaeni chonjo Jews wa Homboza
 
Ndani ya serikali ya Syria mOSSAD walipandikiza mamluki wao (wakimlea kuanzia Argentina, German) kisha akaja kuwamalizia Damascus.
Ila kuna mmoja alikamatwa nadhani Cohen na yule wa kike alifungwa maisha ila baadae walibadilishana nae kama mateka wa kivita!!!MOSSAD wapo vizuri
 
Iran wewe jamaa utakuwa kichaa

USSR
Kaka weka ushabiki pembeni tuzungumze military issues hapa kiuchambuzi kama wasomi!!!Kama maafisa wa Mossad kila siku wapo Riyadh kukutana na MBS au wapo Algeria kukutana counter part wenzao kwenye mambo ya kijasusi unategemea nini kaka!!!Mimi ni mchambuzi wa mambo ya kijeshi sio shabiki wa mambo ya kisiasa au udini au kimtazamo kaka
 
We talk about underground projects za ujasusi Mossad wanashirikiana na mashirika ya kijasusi ya Morroco na Algeria na wanawafundisha makachero wa nchi zote mbili jinsi ya kupambana na wapinzani wao kisiasa ndani na nje ya nchi zao hasa wale wenye siasa kali wanaotaka kuchukua madaraka!!!Tofautisha kati ya siasa za majukwaani na kwenye television na underground project,s za mashirika ya kijasusi ya nchi husika!!!
Hakuna kitu kama hicho wanachukuianq kuliko unavyodhania nishawahi kuwa huko juu sikuwahi jua kama hizo Nchi zina chuki kiasi hicho baina yao na usipojua hiyo mambo utaandika chochote tuu...mwaka jana tuu truck la Algeria lilipigwa Bomu lilikua linaenda kwenye ile Nchi ambayo wao wanaisapoti nadereva wa Algeria huwa wanatekwa harafu unakuja kuongea sijui underground project hizi hadithi simulianeni huko huko...
 
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi????
Wauaji tu hao. Ni sawa na manazi wa ujerumani. Wameiga kila mbinu za waliyokua watesi wao.
 
Back
Top Bottom