Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Mambo yanabadilika mkuu tokea 1940s hadi sasa utegemee hali iwe ileile? Nchi zingine zinapiga hatua kila baada ya miaka kadhaa.Wanapewa msaada na US hakuna Cha zaidi ya hapo. Wangekua na ability hiyo mnayoisema hapa wasingechinjwa kiasi kile na Hitler
Tanzania ndiyo nchi ambayo inadhani maendeleo ya vitendo ni adui kwake.