IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Golder Meir aliwaua wote waliohusika na Black Sept, japo alirisk assets wake ambao walifungwa Norway
Himars,
Hakuna aliyesalimika katika wale walioua Wayahudi Munich 1972.

Spielberg katengeneza filamu inaitwa ''Munich.''

Katika movie hii kachero wa Kijerumani anazungumza na kiongozi wa Black September anamtisha anamwambia, ''Mkiwaua hawa sisi tutakuueni na nyie.''

Jibu lililotoka lilikuwa, ''Sisi hatukuja hapa kuishi tumekuja hapa kufa.''

Hii movie ipo YouTube nilitaka kukuwekeeni link lakini kuna mambo ya ziada inabidi nifanye.

Itafuteni hapo.
Nakumbuka siku tarifa zilipofika.

Ilikuwa asubuhi niko kituo cha UDA wanauza magazeti.
Daily News wameweke stori hiyo mbele.

Dunia yote ilisimama.
 
Sikuchimbi ila huu uzi ni wa kijeshi zaidi wewe mwanasiasa wa vitabuni hujawahi kwenda frontline!!!!Au umewahi mzee wangu kuonja adha za uwanja wa mapambano popote pale duniani???
Nelson...
Unajuaje kama sijapita huko ndugu yangu.
Haya ni mambo binafsi sana kaka.

Achana na hayo nipe nafasi nichangie ninayoyajua.

Mimi si mwanasiasa ila hilo la vitabu naam mimi ni ''scholar'' ingawa huwa sijisikii raha kujitambulisha hivyo mbele za watu.

Maana yake ni kama kuwaambia watu mimi nimesoma vizuri najua mengi.
Haya ni majigambo.

Kama mimi msomi watu watajua wenyewe.
 
ITR
Dalili za kuanza kuanguka kwa IDF ilianza kuonekana toka Vita Vya Yom Kippur mwaka wa 1973.

Nakuwekea hapo chini sehemu ya mada niliyowasilisha State University of Zanzibar (SUZA) mwaka wa 2017:

''Katika kitabu chake, ‘’The Road to Ramadan,’’ Mohamed Heikal anaeleza barua aliyoandika Hafiz Al Asad kwenda kwa Sadat akimsihi kuendelea na mapambano.

Hii ilikuwa baada ya Misri kusimamisha majeshi yake kusonga mbele baada ya Sadat kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Henry Kissinger.

Barua hii Hafiz Al Asad aliiandika kwa mkono.
Barua hii haikumbadilisha Sadat.

Kwa kitendo hiki cha kuacha mashambulizi dhidi ya Israel, majeshi ya Syria yakalazimika kupigana na Israel bila ya mshirika wake Misri na hii ikatoa ahueni kubwa kwa Wayahudi na matokeo yake ikawa Israel kunusurika.

Inasemekana kwa usaliti huu ndipo vijana wa Ikhwan Egyptian Islamic Jihad ndani ya jeshi la Misri wakampitishia fatwa ya Sadat kuuawa na hakika hilo likafanyika mwaka wa 1981.

Mwaka wa 1991 nikiwa ''transit'' Cairo nikielekea London, nilifika Heliopolis moja ya vitongoji vya mji nikaona kuna mnara kajengewe Sadat kama shujaa wa Vita Vya 1973.

Kitu muhimu kilichojitokeza katika Vita Vya Yom Kippur ilikuwa kule kujitokeza kwa mara ya kwanza udhaifu katika jeshi la Israel kuwa linaweza kushindika.

Baada ya vita hizi mbili (1967 na 1973) Wapalestina walifanya kile kilichokuja kujulikana kama Intifada kati ya mwaka 1987 – 1993 kisha mwaka wa 2000 – 2005.

Intifada ilidhihirisha kwa Wayahudi kuwa mapambano dhidi yao kutoka kwa Wapestina bado yangalipo na hayatakoma.

Vita iliyokuja kumaliza kile kilichokuwa kimeaaminika na dunia kuwa Wayahudi hawawezi kushindwa katika vita, ni vita vya mwaka wa 2006 kati ya Hizbullah na Wayahudi.

Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel.

Hili halikutokea.

Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.

Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.

Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita.

Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.

Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.

Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita, ‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?

Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’

Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani Israel ikiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.''

20170618_112606.jpg

Wanafunzi wa SUZA wakifuatilia mhadhara​
Mzee Mohamed Said kama ni kweli Israel ilishindwa na Hizboullah mwaka 2006 unadhani ingeendelea kuwepo kama taifa ?....au kushindwa huko unamaanisha walishindwa kufikia malengo yao yaani kuwamaliza Hizboullah ?

T14 Armata HIMARS
 
Siwadharau maana kama unazijua Celebrate na Pegasus ya NSO utawaamini IDF maana moja wapo wa Unit yake ndo iliunda hizo spyware
Iran,north Korea wameunda spywares na wakaiba banks za USA,urusi waliingilia simu ya Obama..unakuja sifu watu kutengeneza spyware za kuingilia simu za raia!?
 
De
Sasa maneno kama ""wayahudi wako""inaonyesha wewe sio mchambuzi wa medani za kivita bali unaleta udini na kutoka nje ya mada mzee wangu!!!Soma mada inasemaje mzee wangu Said Mohamed!!!
Nelson...
Nimeandika "Wayahudi wako," kwa maana, "Wayahudi are in..." si maana ya, "Your Wayahudi..." "possessive."

Umetia Uislam mahali haupo.
Unajua kwa nini huwa nakuambia nakuelewa zaidi ukiandika Kiswahili?

Ni kutaka kuepuka haya.
 
Mzee said nina wasiwasi unaleta siasa na maneno na udini katika vita vya hezbollah na majeshi ya IDF chini ya General Herzi Halevi!!!Je tactics za uwanja wa mapambano zilikuaje na udhaifu wa Hezbollah na udhaifu wa IDF ndio vitu vya kujadili!!!Toka mwanzo nilikuambia hii mada sio ya siasa bali ya wanajeshi waliokwenda uwanja wa mapambano tunajadili matukio!!!Siasa na udini kwa sisi wachambuzi wa kijeshi hapa sio mahali pake!!Rudi kwenye mada mzee wangu
Nelson....
Unatupa majina.
Huu ni ujanja wa kizamani sana.

Unaitwa "throwing names."
Unakuja na yale yale ya Uislam na mimi nitakupa majibu yale yale.

Hakuna Uislam.
 
ITR
Dalili za kuanza kuanguka kwa IDF ilianza kuonekana toka Vita Vya Yom Kippur mwaka wa 1973.

Nakuwekea hapo chini sehemu ya mada niliyowasilisha State University of Zanzibar (SUZA) mwaka wa 2017:

''Katika kitabu chake, ‘’The Road to Ramadan,’’ Mohamed Heikal anaeleza barua aliyoandika Hafiz Al Asad kwenda kwa Sadat akimsihi kuendelea na mapambano.

Hii ilikuwa baada ya Misri kusimamisha majeshi yake kusonga mbele baada ya Sadat kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Henry Kissinger.

Barua hii Hafiz Al Asad aliiandika kwa mkono.
Barua hii haikumbadilisha Sadat.

Kwa kitendo hiki cha kuacha mashambulizi dhidi ya Israel, majeshi ya Syria yakalazimika kupigana na Israel bila ya mshirika wake Misri na hii ikatoa ahueni kubwa kwa Wayahudi na matokeo yake ikawa Israel kunusurika.

Inasemekana kwa usaliti huu ndipo vijana wa Ikhwan Egyptian Islamic Jihad ndani ya jeshi la Misri wakampitishia fatwa ya Sadat kuuawa na hakika hilo likafanyika mwaka wa 1981.

Mwaka wa 1991 nikiwa ''transit'' Cairo nikielekea London, nilifika Heliopolis moja ya vitongoji vya mji nikaona kuna mnara kajengewe Sadat kama shujaa wa Vita Vya 1973.

Kitu muhimu kilichojitokeza katika Vita Vya Yom Kippur ilikuwa kule kujitokeza kwa mara ya kwanza udhaifu katika jeshi la Israel kuwa linaweza kushindika.

Baada ya vita hizi mbili (1967 na 1973) Wapalestina walifanya kile kilichokuja kujulikana kama Intifada kati ya mwaka 1987 – 1993 kisha mwaka wa 2000 – 2005.

Intifada ilidhihirisha kwa Wayahudi kuwa mapambano dhidi yao kutoka kwa Wapestina bado yangalipo na hayatakoma.

Vita iliyokuja kumaliza kile kilichokuwa kimeaaminika na dunia kuwa Wayahudi hawawezi kushindwa katika vita, ni vita vya mwaka wa 2006 kati ya Hizbullah na Wayahudi.

Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel.

Hili halikutokea.

Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.

Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.

Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita.

Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.

Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.

Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita, ‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?

Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’

Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani Israel ikiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.''

20170618_112606.jpg

Wanafunzi wa SUZA wakifuatilia mhadhara​
Mzee wangu Mohamed Said napingana na wewe hapa. Unasema Israel ilionyesha udhaifu tangu Yom Kippur mwaka 1973 kwa sababu zipi. Iipigwa surprise invasion na majeshi ya Egypt na Syria, Syria wakachukua Golan heights na Egypt wakachukua Sinai kwenye battle za mwanzo. Israel ikapiga counterattack ikaichukua Golan heights nzima na hata eneo ambalo hawakuwahi kuwa nalo na mpaka leo ni lao. Udhaifu wao uko wapi, kama ni dhaifu si Syria ingeteka Golan heights ikabaki nayo, mpaka leo inadai lile eneo.

Eneo la Sinai ni la Egypt lilikuwa limekaliwa na Israel kimkakati kama ambavyo Golan heights ni ya Syria ingawa imekaliwa na Israel, Sinai ilirudishwa kwa Egypt ili Anwar Saddat aitambue Israel kama nchi halali. Ndio maana Egypt ikaondolewa kwenye Arab League. Win win situation kwa Israel na Egypt. Hata Syria inaweza rudishiwa milima yake inhabitable ikifikia makubaliano na Israel.

Saddat alisimamisha mapigano baada ya jeshi lake kuzingirwa na Israel. Hakulazimishwa kusimamisha mapigano, angeendelea ili jeshi lake lipigwe na mateka wawe wengi. 3rd Army ya Misri ilizingirwa na majeshi ya Israel yakiongozwa na General Adan na 401st Armoured Brigade. Wanajeshi 20,000 wa Misri wamewekwa katikati, Israel iko inafanya advancement kuitafuta Cairo iliyokuwa less than 40 miles. Ulitaka Anwar Saddat afanyeje, ujue Waarabu wanafiki kina Saudi Arabia na wenzake wametuma misaada kidogo wako wanakunywa kahawa uko Egypt na Syria zinateseka zenyewe.

Wakati huo pale Syria kama unavyojua Damascus ni mji uko located eneo baya huwa sipendi vile, Israel ilikuwa imepanga shambulizi na imebakiza 10 miles kuifikia Damascus na Al Assad yuko desperate anaomuomba Saddat apigane mpaka mwisho ili kuipa relief Syria. Ambacho hawa wakurupukaji hawakuzingatia ni kwamba kila mtu anapigana kwa interest zake, Egypt za kwake zikitimizwa Syria shauri yako.

USSR ikatishia kuingia vitani zaidi, kumbuka hapo walishatoa misaada wa kila aina. Marekani na Uingereza zimesaidia Israel na Arab League plus USSR zimesaidia Waarabu. Israel ikaachana na kuiteka Damascus ila ikabaki na Golan heights ili ifanye monitoring.

Hakuna aliyelazimishwa ceasefire. Wangeendelea kupigana waambulie kupoteza maeneo mengine.

Na hapo kwa Hezbollah. Hicho ni chama chenye military wing, wala Hezbollah haijawahi unda serikali ya Lebanon. Iko termed kama kundi la kigaidi na usijifanye hujui tofauti ya kupigana na magaidi na kupigana na nchi. Israel haikupigana na Lebanon mwaka 2006, walipigana na kundi la kigaidi. Ile vita ingekuwa ni dhidi ya Lebanon ingeisha mapema sana. Na hata hivyo Israel haikushindwa, iko palepale ilipokuwa hadi leo. Wewe mwenyewe unajua lengo la Hezbollah ni lipi, limekamilika?
 
Mzee Mohamed Said kama ni kweli Israel ilishindwa na Hizboullah mwaka 2006 unadhani ingeendelea kuwepo kama taifa ?....au kushindwa huko unamaanisha walishindwa kufikia malengo yao yaani kuwamaliza Hizboullah ?

T14 Armata HIMARS
Proved,
Hili suala la ushindi wa Hizbullah limezungumzwa sana.

Nami nimelieleza kwa kirefu katika mhadhara niliofanya State University of Zanzibar (SUZA) 2017.

Angalia post #189.
 
Angalia post #189:

''Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel.

Hili halikutokea.

Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.

Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.

Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita.
Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.

Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.

Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita, ‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?

Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’

Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani Israel ikiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.''
 
Tunazungumizia ubora wa wanajeshi vitani na uzoefu wao uwanja wa mapambano na shuruba za kua mstari wa mbele kama asikari wa miguu!!Hapa ndio ubora wa IDF unapoonekana,,wanajeshi sio watu wa vitabu ni watu wa kupokea amri!!!!Hivyo vitabu leo hapa sio mada yake mzee wangu
Ahsante,
Naendelea kujadili na wengine kama unavyoona wananiuliza maswali.
 
Ngoja nikamjibu palepale ila naona ananikwepa
T14,
Sijakukwepa ukiona kimya jua nimetingwa nami si kijana kama wewe.

Sikawii kusinzia.

Udhaifu wa Israel si katika Yom Kippur bali baada ya pale katika tathmini na walipoingia vitani na Hizboullah IDF haikuwa ile iliyozoeleka.

Israel haikutoka katika uwanja wa vita kama ilivyozoeleka.

Watangazaji wa CNN walikuwa wanasema Wayahudi wamerudi kwao vichwa chini wamejiinamia.

Haya yalikuwa matangazo mubashara.
Sasa hili ni suala la mtazamo wa kila mtu anavyoona.

Lakini nimependa sana hii ya Israel kupigana na Hizboullah kundi la kigaidi.

Iko siku ikipatikana nafasi nitakueleza matatizo makubwa yaliyonifika na serikali ya Marekani kwa kusema maneno kama yako katika mkutano wa kimataifa.

Niliwaita Marekani magaidi.

Pasi yangu ya kusafiria ikaorodheshwa "for Special Treatment," ikawa dunia nzima "Passport Control" na Airport Security hawakai mbali na mimi.

Hii kwa miaka mingi.
Nilipofika New York nikagundua pia hata banks zina taarifa zangu.

Lakini mimi sijui kama niko "under surveillance."
Sababu ya haya yote nimewaita Wamarekani magaidi.

Kisa kirefu.

Kuna mtu anaitwa Nelson kanitisha sana hapa kila saa ananiuliza kama nimewahi kujifunza silaha.
 
Mzee wangu Mohamed Said napingana na wewe hapa. Unasema Israel ilionyesha udhaifu tangu Yom Kippur mwaka 1973 kwa sababu zipi. Iipigwa surprise invasion na majeshi ya Egypt na Syria, Syria wakachukua Golan heights na Egypt wakachukua Sinai kwenye battle za mwanzo. Israel ikapiga counterattack ikaichukua Golan heights nzima na hata eneo ambalo hawakuwahi kuwa nalo na mpaka leo ni lao. Udhaifu wao uko wapi, kama ni dhaifu si Syria ingeteka Golan heights ikabaki nayo, mpaka leo inadai lile eneo.

Eneo la Sinai ni la Egypt lilikuwa limekaliwa na Israel kimkakati kama ambavyo Golan heights ni ya Syria ingawa imekaliwa na Israel, Sinai ilirudishwa kwa Egypt ili Anwar Saddat aitambue Israel kama nchi halali. Ndio maana Egypt ikaondolewa kwenye Arab League. Win win situation kwa Israel na Egypt. Hata Syria inaweza rudishiwa milima yake inhabitable ikifikia makubaliano na Israel.

Saddat alisimamisha mapigano baada ya jeshi lake kuzingirwa na Israel. Hakulazimishwa kusimamisha mapigano, angeendelea ili jeshi lake lipigwe na mateka wawe wengi. 3rd Army ya Misri ilizingirwa na majeshi ya Israel yakiongozwa na General Adan na 401st Armoured Brigade. Wanajeshi 20,000 wa Misri wamewekwa katikati, Israel iko inafanya advancement kuitafuta Cairo iliyokuwa less than 40 miles. Ulitaka Anwar Saddat afanyeje, ujue Waarabu wanafiki kina Saudi Arabia na wenzake wametuma misaada kidogo wako wanakunywa kahawa uko Egypt na Syria zinateseka zenyewe.

Wakati huo pale Syria kama unavyojua Damascus ni mji uko located eneo baya huwa sipendi vile, Israel ilikuwa imepanga shambulizi na imebakiza 10 miles kuifikia Damascus na Al Assad yuko desperate anaomuomba Saddat apigane mpaka mwisho ili kuipa relief Syria. Ambacho hawa wakurupukaji hawakuzingatia ni kwamba kila mtu anapigana kwa interest zake, Egypt za kwake zikitimizwa Syria shauri yako.

USSR ikatishia kuingia vitani zaidi, kumbuka hapo walishatoa misaada wa kila aina. Marekani na Uingereza zimesaidia Israel na Arab League plus USSR zimesaidia Waarabu. Israel ikaachana na kuiteka Damascus ila ikabaki na Golan heights ili ifanye monitoring.

Hakuna aliyelazimishwa ceasefire. Wangeendelea kupigana waambulie kupoteza maeneo mengine.

Na hapo kwa Hezbollah. Hicho ni chama chenye military wing, wala Hezbollah haijawahi unda serikali ya Lebanon. Iko termed kama kundi la kigaidi na usijifanye hujui tofauti ya kupigana na magaidi na kupigana na nchi. Israel haikupigana na Lebanon mwaka 2006, walipigana na kundi la kigaidi. Ile vita ingekuwa ni dhidi ya Lebanon ingeisha mapema sana. Na hata hivyo Israel haikushindwa, iko palepale ilipokuwa hadi leo. Wewe mwenyewe unajua lengo la Hezbollah ni lipi, limekamilika?
T14...
Uliyoandika ndivyo upande mmoja unavyosema.
Ukiangalia upande mwengine ni kinyume na hayo.
 
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
Ni wiki 2 tu zimepita iran wamemuua afisa mwandamizi wa Mossad ndani ya Israel we unasema nini
 
Back
Top Bottom