BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Oya FaizaFoxy unaweka nini hiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya FaizaFoxy unaweka nini hiki
Usikimbilie ukristu au dini yoyote.Kwani mtu hana uchaguzi wa upande autakao?Ni lazima wote muwe na akili,mawazo na maamuzi mfanano kama panya?Nafkiri hujui unachokiongea, wayahudi wanauwa watoto wachanga na wanawake Gaza, ni ujinga uliopitilia kudhani Wayahudi ni wakiristo na hivyo unapaswa kuwanga mkono
FaizaFoxy umesema?na kuwabaka wanawake wa kiyahudi,
Sinwar ni mwanamke na mtoto mchanga? Aliuawa akiwa wapi?Nafkiri hujui unachokiongea, wayahudi wanauwa watoto wachanga na wanawake Gaza, ni ujinga uliopitilia kudhani Wayahudi ni wakiristo na hivyo unapaswa kuwanga mkono
Hawa jamaa wanafanya nini hapo?Wanapulizana mchanga machoni?
Akiwa Lodge anamalizia bikra wa mwishoSinwar ni mwanamke na mtoto mchanga? Aliuawa akiwa wapi?
Wanapakazana midomo baada ya kula aya kadhaaHawa jamaa wanafanya nini hapo?Wanapulizana mchanga machoni?
Huyo ni khamenei and the late president of IranHawa jamaa wanafanya nini hapo?Wanapulizana mchanga machoni?
Acha upumbavuWayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima.
Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi, lakini siku ya kufa kwake hawakuburuza mwili wake kama Hamas walivyofanya na miili ya victims wa October 7th.
Hawakumkata kichwa kama Hamas walivyowafanyia waisraeli October 7th.
Hawakuburuza mwili wake kama wengine walivyofanya kwa Gaddafi.
Hawakuikanyaga maiti yake kwa miguu kama baadhi ya Wairaqi walivyofanya kwa Saddam, wala hawakumtemea mate mwili wake licha ya hali na udhoofu aliokutwa nao kiumbe huyu.
Badala yake, waliuweka mwili huo kwenye mfuko mweusi na kuusafirisha kwa heshima kamili.
Hii ndiyo tofauti kati ya ushenzi na ustaarabu, tofauti kati ya watoto wa giza na watoto wa nuru, ndio tofauti kati ya wale wanaowaheshimu walio hai na wafu, na wale wasioheshimu walio hai na wafu, Hii ndio tofauti kati ya maadili ya shujaa, na maadili ya mkimbizi mwoga ambaye mwisho wake ulikuja, kama panya aliyeoza, akaangamia.
Hii ndio tofauti kati ya Nuru na Giza
View attachment 3129502
Swali:
Tumeona IDF ikionesha heshima kwa adui zake, Je, wangekuwa wao wangeonesha heshima hii?
Wote siyo wanaume hao?Mbona kama wananyonyana denda?Wanapakazana midomo baada ya kula aya kadhaa
IDF-Jeshi la Israel ndio jeshi la kwanza duniani kudhamini utu, kupenda maadui na kulinda utu wao. Wamesitiri mwili wa Gaidi na kuubeba kiheshma.Wayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima.
Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi, lakini siku ya kufa kwake hawakuburuza mwili wake kama Hamas walivyofanya na miili ya victims wa October 7th.
Hawakumkata kichwa kama Hamas walivyowafanyia waisraeli October 7th.
Hawakuburuza mwili wake kama wengine walivyofanya kwa Gaddafi.
Hawakuikanyaga maiti yake kwa miguu kama baadhi ya Wairaqi walivyofanya kwa Saddam, wala hawakumtemea mate mwili wake licha ya hali na udhoofu aliokutwa nao kiumbe huyu.
Badala yake, waliuweka mwili huo kwenye mfuko mweusi na kuusafirisha kwa heshima kamili.
Hii ndiyo tofauti kati ya ushenzi na ustaarabu, tofauti kati ya watoto wa giza na watoto wa nuru, ndio tofauti kati ya wale wanaowaheshimu walio hai na wafu, na wale wasioheshimu walio hai na wafu, Hii ndio tofauti kati ya maadili ya shujaa, na maadili ya mkimbizi mwoga ambaye mwisho wake ulikuja, kama panya aliyeoza, akaangamia.
Hii ndio tofauti kati ya Nuru na Giza
View attachment 3129502
Swali:
Tumeona IDF ikionesha heshima kwa adui zake, Je, wangekuwa wao wangeonesha heshima hii?
Ndio mana nimesema wewe ni kichwa kigumu, Wayahudi wameuwa watu zaidi ya 40,000 je Sinwar ndio idadi hiyo ya 40,000 elfu?Sinwar ni mwanamke na mtoto mchanga? Aliuawa akiwa wapi?
Kwani gaidi ni nani? naomba tafsiri ya neno gaidi halafu tutaendeleaWewe sasa ni mwehu. Kuna mahali kwenye hiyo mada, mleta mada amesema Wayahudi ni wakristo?
Halafu ni uongo kudai IDF inaua watoto. Tofautisha ku-target na kuuawa katikati ya mashambulio wakati hukuwa target. Kwa kiingereza, kuna tofauti kuuawa, ukiwa:
1) targeted
2) caught in fire
3) friendly fire
IDF wamewahi kuwaua hata wanajeshi wao, lakini huwezi kusema wanauana wenyewe kwa wenyewe.
Watoto, wanawake na hata baadhi ya wanaume wasiowapiganaji, huko Gaza na Lebanon, wanauawa wakiwa wamekutwa katikati ya mashambulizi, lakini siyo target. Na yote inasababishwa na magaidi wa Hamas na Hezbollah kuwashambulia wayahudi kutokea kwenye makazi ya watu. Fikiria mahandaki ya wapiganaji wa Hamas na Hezbollah yamejengwa chini ya nyumba za raia, hao wapiganaji wakipigwa huko kwenye mahandaki, hawa raia wanaoishi kwenye nyumba zilizo juu ya mahandaki, watakuwa salama? Au kombora linarushwa tokea kwenye shule ambako kuna watu wamejihifadhi, hao IDF wakitrack back na kuamua kupiga kombora lilikorushiwa, walio karibu na eneo hilo watakuwa salama?
Kwa ujumla hawa magaidi wa Hamas na Hezbollah ni mashetani. Hao ndio wanawaua watoto, wanawake na raia wema, maana wanapoenda kujificha kwenye makazi ya raia au kuwashambulia maadui zao kwa kutokea maeneo ya raia, wanajua madhara yake, wanajua kitakachotokea. Hawa ni mashetani wasioona thamani ya uhai wa binadamu. Wanapowatumia raia kama ngao yao, maana yake wanawatoa kafara raia ili kuokoa maisha yao.
Kwa mbinu hizi wanazotumia magaidi wa Hamas na Hezibollah, za kuwatumia raia kama ngao, hakuna anayeweza kupambana nao bila ya kusababisha maafa ya raia.
Msifia mvua imemnyea.MAADILI KUTIFUANA MITARO AU?
Kwahyo Hamas wao waliuwa wanyama hiyo October 7Nafkiri hujui unachokiongea, wayahudi wanauwa watoto wachanga na wanawake Gaza, ni ujinga uliopitilia kudhani Wayahudi ni wakiristo na hivyo unapaswa kuwanga mkono
Yaani ofa km ofa ya bia au sijaelewa?kuwapa hata offer ya kumzika
Waliwabaka sana wanawake wa kiyahudi sikuhio yaan ndio maana wayahudi wana hasira sana hamas walikua wanawalenga mabikra tupu ndio wanawakamuaKwahyo Hamas wao waliuwa wanyama hiyo October 7
Wauaji tu hawaWayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima.
Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi, lakini siku ya kufa kwake hawakuburuza mwili wake kama Hamas walivyofanya na miili ya victims wa October 7th.
Hawakumkata kichwa kama Hamas walivyowafanyia waisraeli October 7th.
Hawakuburuza mwili wake kama wengine walivyofanya kwa Gaddafi.
Hawakuikanyaga maiti yake kwa miguu kama baadhi ya Wairaqi walivyofanya kwa Saddam, wala hawakumtemea mate mwili wake licha ya hali na udhoofu aliokutwa nao kiumbe huyu.
Badala yake, waliuweka mwili huo kwenye mfuko mweusi na kuusafirisha kwa heshima kamili.
Hii ndiyo tofauti kati ya ushenzi na ustaarabu, tofauti kati ya watoto wa giza na watoto wa nuru, ndio tofauti kati ya wale wanaowaheshimu walio hai na wafu, na wale wasioheshimu walio hai na wafu, Hii ndio tofauti kati ya maadili ya shujaa, na maadili ya mkimbizi mwoga ambaye mwisho wake ulikuja, kama panya aliyeoza, akaangamia.
Hii ndio tofauti kati ya Nuru na Giza
View attachment 3129502
Swali:
Tumeona IDF ikionesha heshima kwa adui zake, Je, wangekuwa wao wangeonesha heshima hii?
Wanawake mkikosa hoja za kujibu huwa mnakimbilia kweny insults, innuendos and reputation destruction, kwaio sishangai.Msifia mvua imemnyea.
Elewa kuwa mleta mada ni walewale.