Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwanini unaukimbia ukiristo? au kwa sababu mayahudi wanawauwa wakiristo wa walioko jerusalem na palestine je na wao ni magaidiPunguza wenge, wapi kwenye andiko la mtoa mada kazungumzia ukristo ?
Mashekhe wanapigana mate masabauni mubashara mbele ya waumini eehMsifia mvua imemnyea.
Elewa kuwa mleta mada ni walewale.
Hakuna mtu aliyeuliwa october 7 mateka wote walioshikwa walipewa mkate na chai ya maziwa, na kama utafuatilia vizuri waliowahi kuachiliwa walisimulia ukarimu waliokuwa nao Hamas huko walikokuwa kizuizini.Kwahyo Hamas wao waliuwa wanyama hiyo October 7
Kwahyo IDF iliwauwa raia wao wenyewe 1200+ hiyo October 7Hakuna mtu aliyeuliwa october 7 mateka wote walioshikwa walipewa mkate na chai ya maziwa, na kama utafuatilia vizuri waliowahi kuachiliwa walisimulia ukarimu waliokuwa nao Hamas huko walikokuwa kizuizini.
Mateka waliokufa nwaliuliwa ni wenyewe mayahudi kwa kuwapiga mabomu wakidhani wanawapiga Hamas. waliwauwa wenyewe.
Hata papa hawajamwacha:Mashekhe wanapigana mate masabauni mubashara mbele ya waumini eeh
Hata papa hawajamwacha:Mashekhe wanapigana mate masabauni mubashara mbele ya waumini eeh
Kwa maelezo haya katika picha,ambaye hataelewa tumsamehe,akili imeathirika.Ushabiki na upumbavu uliojaa kichwani kwako unasikitisha, wapi nimesema wayahudi ni wakristo?
View attachment 3129519
BIBI YAKE MZAA BABA YAKO ALIOLEWA AKIWA NA MIAKA MINGAP?Kama kwenu maadili ni mtume wa miaka 53 kuoa katoto cha miaka sita na kukapiga pumbu kalipofikisha miaka tisa bac hatushangai.
Kama kwenu maadili ni kuwaweka wanawake na watoto hatarini kwa kuweka bases karibu na kindergarten na hospitali bac hatushangai.
Kama kwenu maadili ni kuua watoto wadogo, kubaka na kunjinja wanawake, kuwaburuza mitaani, kuua wazee na raia kwa kushtukiza bac hatushangai.
Kuna swali gumu, Israel iufanyie Nini mwili wa Sinwar.Yaani ofa km ofa ya bia au sijaelewa?
Ukweli usemwe. Wale watu wanajitahidi kuonyesha utu sana. Ni ujinga tu wa binadamu kutokutambua hilo. Hebu pata picha leo hezbola au Hamas waupate mwili hata wa mswmaji tu wa jeshi. Dunia inaweza sinyaa kwa kitakachotokea.Wayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima.
Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi, lakini siku ya kufa kwake hawakuburuza mwili wake kama Hamas walivyofanya na miili ya victims wa October 7th.
Hawakumkata kichwa kama Hamas walivyowafanyia waisraeli October 7th.
Hawakuburuza mwili wake kama wengine walivyofanya kwa Gaddafi.
Hawakuikanyaga maiti yake kwa miguu kama baadhi ya Wairaqi walivyofanya kwa Saddam, wala hawakumtemea mate mwili wake licha ya hali na udhoofu aliokutwa nao kiumbe huyu.
Badala yake, waliuweka mwili huo kwenye mfuko mweusi na kuusafirisha kwa heshima kamili.
Hii ndiyo tofauti kati ya ushenzi na ustaarabu, tofauti kati ya watoto wa giza na watoto wa nuru, ndio tofauti kati ya wale wanaowaheshimu walio hai na wafu, na wale wasioheshimu walio hai na wafu, Hii ndio tofauti kati ya maadili ya shujaa, na maadili ya mkimbizi mwoga ambaye mwisho wake ulikuja, kama panya aliyeoza, akaangamia.
Hii ndio tofauti kati ya Nuru na Giza
View attachment 3129502
Swali:
Tumeona IDF ikionesha heshima kwa adui zake, Je, wangekuwa wao wangeonesha heshima hii?
Hicho kitu hakipoKuna swali gumu, Israel iufanyie Nini mwili wa Sinwar.
Yapo mapendekezo kadhaa.
1. Watumie kama njia majadiliano na Hamas.
2. Wauchome moto na kutupa majivu baharini.
Israel ni wayahudi na wanataratibu zao za mazishi na kwao ni muhimu sana kumzika mtu kwa heshima za Kiyahudi, hivyo basi wanaweza kuzungumza na Wapalestina ili Sinwar apate heshima zote za mazishi ya Kiislam, swali la Msingi linakuwa wapi azikwe kwa heshima.
Watu wote wanaokaa Israel ni ndoto yao kuzikwa Jerusalem, sababu kubwa ni kuwa kwa tamaduni zao wanaamini siku ya Kiyama Watu Waliozikwa Jerusalem Ndio watafufuka Kwanza 😂
Wataunyea kabisa na kuukojolea kisha watapiga picha na video wengine wataupigia mpaka nyeto walivyo vichaaUkweli usemwe. Wale watu wanajitahidi kuonyesha utu sana. Ni ujinga tu wa binadamu kutokutambua hilo. Hebu pata picha leo hezbola au Hamas waupate mwili hata wa mswmaji tu wa jeshi. Dunia inaweza sinyaa kwa kitakachotokea.
YES, Hamas hawajawahi kuua mtu labda wanajeshi wanaopigana nao wakiwa kwenye mapambano, na ndio maana mpaka sasa Hamas, Iran na Hizbollah mashambulizi yote waliyofanya hawajalenga watu wanapiga vituo vya kijeshi na miundombinu za IsraelKwahyo IDF iliwauwa raia wao wenyewe 1200+ hiyo October 7
BRAIN ROTHakuna mtu aliyeuliwa october 7 mateka wote walioshikwa walipewa mkate na chai ya maziwa
Kwani amekuambia ni Mkristo? Mbona mm msukuma wa Simiyu( lalago) sina dini ila siwapendi Hezbollah sababu hawana faida yoyote popote chini ya jua.Nafkiri hujui unachokiongea, wayahudi wanauwa watoto wachanga na wanawake Gaza, ni ujinga uliopitilia kudhani Wayahudi ni wakiristo na hivyo unapaswa kuwanga mkono
Daaah! Hivi upo serious?YES, Hamas hawajawahi kuua mtu labda wanajeshi wanaopigana nao wakiwa kwenye mapambano, na ndio maana mpaka sasa Hamas, Iran na Hizbollah mashambulizi yote waliyofanya hawajalenga watu wanapiga vituo vya kijeshi na miundombinu za Israel
Pole na msiba ustaadhat!Kqama kwenu udhoga ni maadili hatukushangai.
Tumeona jeshi la kuvaa nepi. Kama kwenu wanume watu wazima wanavaa nepi kwa kuujinyea hivyo, tubber band na seal zote zimekwisha, sikushangai.
Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154Pole na msiba ustaadhat!