IDF ni Jeshi lenye maadili, utu na heshima, hongereni kwa kuonesha maturity

Nafkiri hujui unachokiongea, wayahudi wanauwa watoto wachanga na wanawake Gaza, ni ujinga uliopitilia kudhani Wayahudi ni wakiristo na hivyo unapaswa kuwanga mkono
Usikimbilie ukristu au dini yoyote.Kwani mtu hana uchaguzi wa upande autakao?Ni lazima wote muwe na akili,mawazo na maamuzi mfanano kama panya?
 
Acha upumbavu
 
IDF-Jeshi la Israel ndio jeshi la kwanza duniani kudhamini utu, kupenda maadui na kulinda utu wao. Wamesitiri mwili wa Gaidi na kuubeba kiheshma.
 
Sinwar ni mwanamke na mtoto mchanga? Aliuawa akiwa wapi?
Ndio mana nimesema wewe ni kichwa kigumu, Wayahudi wameuwa watu zaidi ya 40,000 je Sinwar ndio idadi hiyo ya 40,000 elfu?
 
Kwani gaidi ni nani? naomba tafsiri ya neno gaidi halafu tutaendelea
 
Sinwar alikuwa Kiongozi na Kiongozi wa Kijeshi.

Kama Ingetokea Palestina na Israel zikaungana basi Sinwar angekuwa Kiongozi mkubwa wa Serikali hivyo kupata heshima zote za Kijeshi.

Hamas ukitoa kuwa ni kikundi Cha Kigaidi, pia ni kikundi Cha Kisiasa chenye wafuasi. Hivyo basi mwili wa Sinwar utatumika kwenye mazungumzo yote yajayo Kati ya Hamas/Palestina na Israel. Israel inaweza kuwapa hata offer ya kumzika Sinwar Jerusalem
 
Wauaji tu hawa
 
Msifia mvua imemnyea.

Elewa kuwa mleta mada ni walewale.
Wanawake mkikosa hoja za kujibu huwa mnakimbilia kweny insults, innuendos and reputation destruction, kwaio sishangai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…