IDF ni Jeshi lenye maadili, utu na heshima, hongereni kwa kuonesha maturity

Viongozi wa hamas wanakufa kama kuku wenye videri,waachane na hio vita tu,hawaiwezi tena,miaka yote mnatembezewa kichapo,bado wanajifanya wagumu tu
 
Kwahyo Hamas wao waliuwa wanyama hiyo October 7
Hakuna mtu aliyeuliwa october 7 mateka wote walioshikwa walipewa mkate na chai ya maziwa, na kama utafuatilia vizuri waliowahi kuachiliwa walisimulia ukarimu waliokuwa nao Hamas huko walikokuwa kizuizini.

Mateka waliokufa nwaliuliwa ni wenyewe mayahudi kwa kuwapiga mabomu wakidhani wanawapiga Hamas. waliwauwa wenyewe.
 
Kwahyo IDF iliwauwa raia wao wenyewe 1200+ hiyo October 7
 
BIBI YAKE MZAA BABA YAKO ALIOLEWA AKIWA NA MIAKA MINGAP?
 
Yaani ofa km ofa ya bia au sijaelewa?
Kuna swali gumu, Israel iufanyie Nini mwili wa Sinwar.
Yapo mapendekezo kadhaa.
1. Watumie kama njia majadiliano na Hamas.
2. Wauchome moto na kutupa majivu baharini.

Israel ni wayahudi na wanataratibu zao za mazishi na kwao ni muhimu sana kumzika mtu kwa heshima za Kiyahudi, hivyo basi wanaweza kuzungumza na Wapalestina ili Sinwar apate heshima zote za mazishi ya Kiislam, swali la Msingi linakuwa wapi azikwe kwa heshima.

Watu wote wanaokaa Israel ni ndoto yao kuzikwa Jerusalem, sababu kubwa ni kuwa kwa tamaduni zao wanaamini siku ya Kiyama Watu Waliozikwa Jerusalem Ndio watafufuka Kwanza 😂
 
Ukweli usemwe. Wale watu wanajitahidi kuonyesha utu sana. Ni ujinga tu wa binadamu kutokutambua hilo. Hebu pata picha leo hezbola au Hamas waupate mwili hata wa mswmaji tu wa jeshi. Dunia inaweza sinyaa kwa kitakachotokea.
 
Hicho kitu hakipo
 
Wataunyea kabisa na kuukojolea kisha watapiga picha na video wengine wataupigia mpaka nyeto walivyo vichaa
 
Kwahyo IDF iliwauwa raia wao wenyewe 1200+ hiyo October 7
YES, Hamas hawajawahi kuua mtu labda wanajeshi wanaopigana nao wakiwa kwenye mapambano, na ndio maana mpaka sasa Hamas, Iran na Hizbollah mashambulizi yote waliyofanya hawajalenga watu wanapiga vituo vya kijeshi na miundombinu za Israel
 
Nafkiri hujui unachokiongea, wayahudi wanauwa watoto wachanga na wanawake Gaza, ni ujinga uliopitilia kudhani Wayahudi ni wakiristo na hivyo unapaswa kuwanga mkono
Kwani amekuambia ni Mkristo? Mbona mm msukuma wa Simiyu( lalago) sina dini ila siwapendi Hezbollah sababu hawana faida yoyote popote chini ya jua.
 
YES, Hamas hawajawahi kuua mtu labda wanajeshi wanaopigana nao wakiwa kwenye mapambano, na ndio maana mpaka sasa Hamas, Iran na Hizbollah mashambulizi yote waliyofanya hawajalenga watu wanapiga vituo vya kijeshi na miundombinu za Israel
Daaah! Hivi upo serious?
 
Pole na msiba ustaadhat!
Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
155. Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri, 155
156. Wale ambao ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea. 156
157. Hao juu yao zitakuwa baraka zitokazo kwa Mola wao Mlezi na rehema. Nao ndio wenye kuongoka. 157
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…