IDF ni Jeshi lenye maadili, utu na heshima, hongereni kwa kuonesha maturity

NI MAPUMBAVU
 
YES, Hamas hawajawahi kuua mtu labda wanajeshi wanaopigana nao wakiwa kwenye mapambano, na ndio maana mpaka sasa Hamas, Iran na Hizbollah mashambulizi yote waliyofanya hawajalenga watu wanapiga vituo vya kijeshi na miundombinu za Israel
Dini imekufanya zombie weee qumer watanzania wenzetu kina Clemence na Molel wameuwawa mchana kweupe bado unaongea as if wewe peke yako ndo GT humu ndani.
Mapenzi kwa dini ya kigaidi yamekuzidi hadi unaamua kutenda dhambi ya kusema uongo.
Kuitetea hiyo dini ni kazi sana ila endelea kupambana
 
Myahudi yupo kuwasaidia kupata malipo yenu.
Hapoi,haboi!
 
Ndio mana nimesema wewe ni kichwa kigumu, Wayahudi wameuwa watu zaidi ya 40,000 je Sinwar ndio idadi hiyo ya 40,000 elfu?
Sinwar ameuawa, je ni mwanamke au ni mtoto?
Hiyo idadi ya waliouawa ndiyo matokeo ya mafundisho yenu kwamba either mjitoe muhanga ili muwaue wengi au ili kujiokoa kajichanganyeni na raia, vaeni kiraia, jificheni mashuleni na mahospitalini ili wakijaribu kuwaua waue watu wengi
 
Mpaka sasa hakuna maiti iliyothibitika kwenye hayo mauaji kwamba Hamas alijichanganya na raia, kule ICC mashtaka yashaendela na kutolewa maamuzi na kutakiwa netanyahu akamatwe kwa mauaji ya halaiki mbona hawakupeleka kidhibiti kama ushahidi Hamas walijichanganya na ria?
 
Wavaa kobasi ,,hawanaga heshima nimajitu yahovyoo sana ingekuwa hapo ni yahudi angechakazwa kwa risasi nyingi hata kama amekufa kichwa ingekatwa na makelele kwenye vyombo vya habari wange jimwambafai mwezi mzma
 
Hata Israel ikipeleka Mashitaka itaamriwa vivyo hivyo. Kuhusu Israel kupeleka au kutopeleka hilo siyo issue sababu ushahidi upo na kila mmoja anajua, kuanzia ngome za hamas na silaha zao zilizokutwa mahospitalini na mashuleni.
Misaada na miundombinu ya kiraia wanayopora ili kutengeneza silaha.
Mahandaki yaliyoungsnishwa na nyumba za raia, hospitali ma shule
 
Quran 2:154 INATUMIKA VIBAYA YAHYA SINWAR WALA HA FOLLOW KWENYE HIYO AYA.....ALLAH SIO MJINGA KIASI HICHO. FUASI WAKE WALIPOKUWA WAKIBAKA TAREHE 7/10 WAKISHAKOJOA WALIKUWA WANASEMA "ALLAH AKBAR"?
 
Kwani Hamasi wanapigania njia ya Mungu au wanapigania ukombozi wa Taifa lao la Palistina?
naona unachanganya mambo ya dini kwenye ukombozi wa Taifa.
Hiyo vita ya Israeli na Palestina sio ya kidini bali wapalestina wanapigania nchi yao sio dini.
 
Usishangae mkuu, mahubiri ya Zakir Naik, Zakir naik anakuambia hiyo Okotoba 7 Hamas hakuua hata Mu-Israel mmoja, na kabla mtu hajatekwa walikua wanamuambia kwakini anatekwa na kuomba msamaha wa kuwateka.
Duh!...wale 1200 walijiua ?
 


 
Punguzeni ujinga wamembeba huyo sio sababu wanampenda, walikuwa hawana uhakika ni yeye mpaa apimwe DNA, ukristo ni lana aisay vitoto vinauliwa Gaza vingine mpaa kichwa kama kimechinjwa mnasema gaidi, poleni sana hio yote ni laana kabla hamjafika kaburini.
 
Nafkiri hujui unachokiongea, wayahudi wanauwa watoto wachanga na wanawake Gaza, ni ujinga uliopitilia kudhani Wayahudi ni wakiristo na hivyo unapaswa kuwanga mkono
Acha ulevi wa Quran yenu ya shetan kaalah. Hakuja jeshi lolote hapa duniani ambalo kabla halija fanya shambulizi hutoa kwanza warning ili watu waondoke eneo la tukio. Na hii inafanya hata wabiganaji wa Hamas mara nyingi wasiuawe. Lengo la Israel linakuwa kuangamiza silaha ambazo Hamas wameficha majumbani mwa raia. Yes wanatokea raia kuuawa, hii ni kwa sababu Kamasi zenu wanawazuia kwa nguvu wasiondoke. Wakati mwingine hayo Makamasi yenu wanapokuwa wanapigana na IDF, wakizidiwa hukimbilia kwenye nyumba za raia. Sunni wenzio huko Uarabuni na Gaza wanamshukuru Netanyahu kwa kuwaondolea Sinwar. Utajikuta umebaki wewe pekeyako kuendeleza Agenda za MASHIA Iran za kutaka kuuwa wayahudi

View: https://x.com/AzatAlsalim/status/1847395554453536901
View: https://x.com/MahyarTousi/status/1847205926123507734
View: https://x.com/Osint613/status/1847055502351782132
 
Una elim kiwango gani shehe? DNA haihitaji mwili mzima hata unywele tu unatosha
 
Una elim kiwango gani shehe? DNA haihitaji mwili mzima hata unywele tu unatosha
Mimi nimeongelea wapi DNA ina hitaji mwili mzima? Nilicho ongelea wameuchukua mwili wakapime DNA habari ndio zimesema vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…