PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran.
Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya kuharibu Rada zote Syria pamoja na vituo vyote vya makombora ya Masafa marefu na mafupi pamoja laboratory zote za kutengeneza ballistic missile, IDF wanaamini ANGA la Iran ni halina ulinzi kutokea Syria na Iraq hivyo itakuwa rahisi kuvunja site zote za nuclear nchini Iran.
Wengi tumejiuliza kwanini Israel yupo Syria kushambulia vituo vya kijeshi kumbe jibu ni maandalizi ya kupiga Iran!!
Acha tusubiri mechi nyingine ya mashambulizi tuone Iran watachukua hatua gani