Huwa nashangaa na kucheka mnavyokaza vichwa kutumia nguvu nyingi kuwathibitishai watu shambulizi la Israel nchini Iran lilikuwa kubwa, Israel hana uwezo huo na ukweli mnaufahamu, Iran sio sawa kuilinganisha na Israel kijeshi.
Ukwelini kwamba hadi leo Israel haiamini ingekutana na kilichomkuta, covert ops za Israel kuingia kinyemela kuua wanasayansi na viongozi wa Iran akahisi anaweza kuimudu Iran, Iran ilipojidhihirisha inaweza kuiadhibu Israel dunia haikuamini.
Wengi wenu mnaleta propaganda za uongo uongo kwamba Israel ilifanya mashabulizi ya siri ambayo hayakudhihirika mbele ya vyombo vya habari, Iran ilimpiga Israel na dunia ikashuhudia missiles zikitua Israel kama mvua.
Israel na western kwa wanavyopenda sifa walitaka kuionyesha dunia wana uwezo kuimudu Iran lakini wakafeli, tena walifeli vibaya, hivyo kwa aibu ndipo mmebaki na hizo propaganda kwamba kuna mashambulizi ya siri yaliyoleta hasara kubwa Iran.
Nikuambie tu Israel ingefanya hivyo ingechakazwa vibaya.