IDF: tunajiandaa kupiga tena Iran kwenye nuclear site zote

Huwa nashangaa na kucheka mnavyokaza vichwa kutumia nguvu nyingi kuwathibitishai watu shambulizi la Israel nchini Iran lilikuwa kubwa, Israel hana uwezo huo na ukweli mnaufahamu, Iran sio sawa kuilinganisha na Israel kijeshi.

Ukwelini kwamba hadi leo Israel haiamini ingekutana na kilichomkuta, covert ops za Israel kuingia kinyemela kuua wanasayansi na viongozi wa Iran akahisi anaweza kuimudu Iran, Iran ilipojidhihirisha inaweza kuiadhibu Israel dunia haikuamini.

Wengi wenu mnaleta propaganda za uongo uongo kwamba Israel ilifanya mashabulizi ya siri ambayo hayakudhihirika mbele ya vyombo vya habari, Iran ilimpiga Israel na dunia ikashuhudia missiles zikitua Israel kama mvua.

Israel na western kwa wanavyopenda sifa walitaka kuionyesha dunia wana uwezo kuimudu Iran lakini wakafeli, tena walifeli vibaya, hivyo kwa aibu ndipo mmebaki na hizo propaganda kwamba kuna mashambulizi ya siri yaliyoleta hasara kubwa Iran.

Nikuambie tu Israel ingefanya hivyo ingechakazwa vibaya.
 
Shambulio la irani la October mosi .kwenye taswira ya dunia lilipeleka ujumbe huu
1. Isreaeli defence force ni ya kawaida sana kwa nchi zenye miliatary za kisasa tofauti na mbwembwe za magharibi na misifa kedekede kuhusu isreli na wao wakavimba kichwa
2.Mifumo ya isreli sio ya kuminika tena na hivyo soko lake litadorora has kwa waarabu
3.waarabu wajitafarik kwenye kutoa mabillion ya hela kununua hiyo mifumo kuwa ndo kinga pekee ya ulizni wao
4.waaribu hawanaulinzi kama blinken alovyo waambiwa eti usa itawalinda tena kwa nchi ziliyoko kilometa 150 karibu na iran kama wameweza kulenga shabaha mbali wa kilometa 1500 na 2000
5.ulinzi wa isreli sio wa kuaminika na hivyo mabillioni ya uwekezJi hayawezi kuplekwa isreli kufunga viwanda vyenye high tech maan ni riski hamana billioneor atakayekubali kupeleka uwekezaji wa mana kwenye hali kama hii iliyopo isreli
6.Soko la Iran la slaa limepaa na heshima yao imekuwa kubwa dunia japo cnn na fox hawawezi kulisema hili
 
Khaa! Hata satelite images zimetoa propaganda za uongo-uongo ?
Inashangaza.
 
Hii Tathmini 👆 👆 imetoka Rau madukani.
 
Taarifa za kijasusi zinathibitisha kuwa shambulio lililopita Israel ilipiga vituo kadhaa vya kinuklia, lakini kwa sababu Iran ilikiwa imefanya jitohada kubwa ya kuvificha, na Israel ikatumia huo mwanaya kuvishambulia, ikijua kuwa Iran haitaweza kusema kuwa vituo vyake vya nuklia vimeshambuliwa.

Shambulio lile moja tu, limeinyong'onyesha sana Iran. Iran inatakiwa iwe makini sana na Russia. Russia ina uhusiano usiotetereka na Israel, wa kutopigana wala kushambuliana. Uhusiano huo sijui unaishia wapi!! Isije ikawa Russ ina-passover siri zote za usalama za Iran kwa Israel, halafu yeye anakaa pembeni na kujifanya hajui kinachoendelea.
Mpaka wajue Hilo ganzi itakua imeshikwa miguu yote na kushindwa kukanyaga
 
Huwa nashangaa na kucheka mnavyokaza vichwa kutumia nguvu nyingi kuwathibitishai watu shambulizi la Israel nchini Iran lilikuwa kubwa, Israel hana uwezo huo na ukweli mnaufahamu, Iran sio sawa kuilinganisha na Israel kijeshi.

Ukwelini kwamba hadi leo Israel haiamini ingekutana na kilichomkuta, covert ops za Israel kuingia kinyemela kuua wanasayansi na viongozi wa Iran akahisi anaweza kuimudu Iran, Iran ilipojidhihirisha inaweza kuiadhibu Israel dunia haikuamini.

Wengi wenu mnaleta propaganda za uongo uongo kwamba Israel ilifanya mashabulizi ya siri ambayo hayakudhihirika mbele ya vyombo vya habari, Iran ilimpiga Israel na dunia ikashuhudia missiles zikitua Israel kama mvua.

Israel na western kwa wanavyopenda sifa walitaka kuionyesha dunia wana uwezo kuimudu Iran lakini wakafeli, tena walifeli vibaya, hivyo kwa aibu ndipo mmebaki na hizo propaganda kwamba kuna mashambulizi ya siri yaliyoleta hasara kubwa Iran.

Nikuambie tu Israel ingefanya hivyo ingechakazwa vibaya.
Wewe unakaza nini Kama siyo fuvu pia?
 
Mpigaji uwa asemi ukiona kelele nyingi kuna vitu Viwili kimoja ndio msingi wake mojawapo 1 uwoga 2 amegundua mwenzie yupo mbioni kumshambulia kwaiyo nayy nikama anasema anania pia kufanya kile mwenzie anajindaa Nacho lkn muIsrael muoga sana . Embu tujiulize wenye Akili kusema nataka kumshambulia frani kunafaida Gani.
Anataka kukuonyesha kuwa anakudharau maana anakutaharifu ili ujiandaye alafu anakuja kukupiga saaafii. Kama alivyofanya alimwambia Iran nitalipiza na akalipiza saaafi
 
Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran.

Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya kuharibu Rada zote Syria pamoja na vituo vyote vya makombora ya Masafa marefu na mafupi pamoja laboratory zote za kutengeneza ballistic missile, IDF wanaamini ANGA la Iran ni halina ulinzi kutokea Syria na Iraq hivyo itakuwa rahisi kuvunja site zote za nuclear nchini Iran.

Wengi tumejiuliza kwanini Israel yupo Syria kushambulia vituo vya kijeshi kumbe jibu ni maandalizi ya kupiga Iran!!
Acha tusubiri mechi nyingine ya mashambulizi tuone Iran watachukua hatua gani
Safi sana
 
Hao waisrael feki, Benjamin mileikowsky benzion aliyejipachika netanyahu
Mbona ni kawaida mtu akiwa kwenye culture tofauti ku adopt cultures tofauti?
MICHEL Temer aliekuwa rais wa Brazil ni mwarabu hawasemi ni mtu wa middle east (Michel Miguel Elias Temer Lulia)
Carlos Saúl Menem rais wa Argentina 🇦🇷

Julio Teodoro Salem rais wa Ecuador 🇪🇨

Julio Samir Turbay rais Colombia 🇨🇴

Mario Abdo Benítez rais wa Paraguay

wote hao ni waarabu vipi warudi middle east?? Sababu Melinovky asili yake Poland?
 
vipi hawa warudi pia walikotoka?
1. Yitzhak Mordechai- Iraq 🇮🇶
2. Moshe Katsav - iran
3. Aryé Makhlouf Dery- Morocco 🇲🇦
4. Phina Tamano-Shata - Ethiopia 🇪🇹
5. Yaakov Margi.- Morocco 🇲🇦
6. Binyamin Ben-Eliezer - Iraq 🇮🇶
7. David Levy, Israeli politician - Morocco 🇲🇦
8. Mordechai Vanunu, - Morocco 🇲🇦
9.Silvan Shalom- Syria 🇸🇾
10.Eli Cohen- Egypt 🇪🇬
 
Taarifa za kijasusi zinathibitisha kuwa shambulio lililopita Israel ilipiga vituo kadhaa vya kinuklia, lakini kwa sababu Iran ilikiwa imefanya jitohada kubwa ya kuvificha, na Israel ikatumia huo mwanaya kuvishambulia, ikijua kuwa Iran haitaweza kusema kuwa vituo vyake vya nuklia vimeshambuliwa.

Shambulio lile moja tu, limeinyong'onyesha sana Iran. Iran inatakiwa iwe makini sana na Russia. Russia ina uhusiano usiotetereka na Israel, wa kutopigana wala kushambuliana. Uhusiano huo sijui unaishia wapi!! Isije ikawa Russ ina-passover siri zote za usalama za Iran kwa Israel, halafu yeye anakaa pembeni na kujifanya hajui kinachoendelea.
Hahaha mmeanza kuhisia hisia, juzi hapa Russia kampa Radar ya kisasa IRAN na Irana alitamba kweli kweli, na alimtishia kila mtu. Leo tena Russia kawa kibaraka wa Israel?

Jamani IRAN alikuwa anabebwa na Russia, na hata yale matamko alikuwa anaandikiwa na Russia anaambiwa nenda kaseme hivi naye anasema.

Juzi kaamka kutoka usingizini anaambiwa kule SYRIA, Asad mtoto mkubwa wa Russia kakimbizwa Russia kujisalimisha, kaiacha Syria mikononi mwa wenyenchi.

Licha ya Asad kuhadaiwa na Russia angesalia madarakani milele. Hilo lilimshtua sana Iran, ikabidi abadili gia angani, sasa wana swali tu swala 10 kwa siku na lakaa za kutosha, hakuna plan ya vita tena, yale mafataki alikuwa ana yabeba kwa drone zake kaamini hayawezi kumsaidia hivyo njia sahihi ni kuufyata tu.

Kesha gundua akiendelea kucheza na Mayahudi iko siku atajikuta kabadiri dini anafundisha sunday-school huko Russia, na kawa jirani wa Asad.

Alipopigwa mara ya kwanza akaleta ununda wa kuongea saana na kujikaza kulia hadharani.
 
Taarifa za kijasusi zinathibitisha kuwa shambulio lililopita Israel ilipiga vituo kadhaa vya kinuklia, lakini kwa sababu Iran ilikiwa imefanya jitohada kubwa ya kuvificha, na Israel ikatumia huo mwanaya kuvishambulia, ikijua kuwa Iran haitaweza kusema kuwa vituo vyake vya nuklia vimeshambuliwa.

Shambulio lile moja tu, limeinyong'onyesha sana Iran. Iran inatakiwa iwe makini sana na Russia. Russia ina uhusiano usiotetereka na Israel, wa kutopigana wala kushambuliana. Uhusiano huo sijui unaishia wapi!! Isije ikawa Russ ina-passover siri zote za usalama za Iran kwa Israel, halafu yeye anakaa pembeni na kujifanya hajui kinachoendelea.
Na mimi simuanini sana putin .. tena kwa sasa hivi ndio amekuwa opportunist mkubwa.. we angalia uhusiano wake wa china na north korea unaona kabisa uko kimkakati.. same to Iran

Kipind kile Iran kalalamika Israel amehack mifumo ya ulinzi haraka haraka Russia akatoa ofa ya kutoa support bure kufanya demage control iran wakachomoa. Yaan alitaka apate access ya mifumo ya Iran

Haya akawaambia atawapa zile ndege na missile.. wakazichelewesha mno na hakupewa kwa idadi iran waliyotaka hadi Iran wakalalamika

Iran alilalamika wao wametoa sana drone kwa Urusi kumsaidia pale Ukraine ila upande wa pili wanajivuta sana linapokuja swala la wao kuwa bega kwa bega na Iran

Hata kauli za Urusi kuhusiana na mgogoro wa israel/iran na Gaza kauli zake za kuuma na kupuliza na mara nyingi wanakwepa kuongelea
 
Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran.

Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya kuharibu Rada zote Syria pamoja na vituo vyote vya makombora ya Masafa marefu na mafupi pamoja laboratory zote za kutengeneza ballistic missile, IDF wanaamini ANGA la Iran ni halina ulinzi kutokea Syria na Iraq hivyo itakuwa rahisi kuvunja site zote za nuclear nchini Iran.

Wengi tumejiuliza kwanini Israel yupo Syria kushambulia vituo vya kijeshi kumbe jibu ni maandalizi ya kupiga Iran!!
Acha tusubiri mechi nyingine ya mashambulizi tuone Iran watachukua hatua gani
Israel haitathubutu kuipiga iran,hizo ni propaganda za kijinga
 
Mbona ni kawaida mtu akiwa kwenye culture tofauti ku adopt cultures tofauti?
MICHEL Temer aliekuwa rais wa Brazil ni mwarabu hawasemi ni mtu wa middle east (Michel Miguel Elias Temer Lulia)
Carlos Saúl Menem rais wa Argentina 🇦🇷

Julio Teodoro Salem rais wa Ecuador 🇪🇨

Julio Samir Turbay rais Colombia 🇨🇴

Mario Abdo Benítez rais wa Paraguay

wote hao ni waarabu vipi warudi middle east?? Sababu Melinovky asili yake Poland?
Hao history yao ya karibuni,ukute babu/bibi ndiyo mwarabu,bwana benzion hana uhusiano wowote na 'israel' bali mababu zake kufuata imani ya kiyahudi
 
Hivi mkuu uko serious!!! Hawa ni wahamiaji wa late 1800's na early 1900's kama kina Melinoswky walivyoma toka Poland mkuki ni kwa nguruwe sio? Ha hao waarabu walikimbilia America wengi ni wakristu waliokimbia manyanyaso na ubaguzi wa waislamu
 
Hahaha walisema Israel 🇮🇱 atapigwa na Hisbollah leo viongozi wa Hisbollah wote wamelambishwa udongo na Assad amepinduliwa iran hana mshirika jirani na Israel tena
Ni kweli Israel ameua viongozi wengi wa Hezbollah kwa msaada wa US na EU, lakini hadi una compare Hezbolllah na Israel ambapo Hezbollah ni kikundi kinachodhaminiwa na Iran ni dalili tosha kwamba Iran sio levels za Israel.
 
Back
Top Bottom