Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hanu ubavu huo, hizo ni kelele tu, mimi navyo sikia Iran atamfanyia suprise kumpiga hawata sahau Israel maisha yao. Lazima muweke akilini Iran wao hawapigi kelele sana kama Israel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nashangaa na kucheka mnavyokaza vichwa kutumia nguvu nyingi kuwathibitishai watu shambulizi la Israel nchini Iran lilikuwa kubwa, Israel hana uwezo huo na ukweli mnaufahamu, Iran sio sawa kuilinganisha na Israel kijeshi.Taarifa za kijasusi zinathibitisha kuwa shambulio lililopita Israel ilipiga vituo kadhaa vya kinuklia, lakini kwa sababu Iran ilikiwa imefanya jitohada kubwa ya kuvificha, na Israel ikatumia huo mwanaya kuvishambulia, ikijua kuwa Iran haitaweza kusema kuwa vituo vyake vya nuklia vimeshambuliwa.
Shambulio lile moja tu, limeinyong'onyesha sana Iran. Iran inatakiwa iwe makini sana na Russia. Russia ina uhusiano usiotetereka na Israel, wa kutopigana wala kushambuliana. Uhusiano huo sijui unaishia wapi!! Isije ikawa Russ ina-passover siri zote za usalama za Iran kwa Israel, halafu yeye anakaa pembeni na kujifanya hajui kinachoendelea.
Kipigo cha mwisho walichopokea kutoka Israel ktk bandari yao muhimu ya Hadoida na maeneo mengine, hawatathubutu kunyanyua pua. Majuzi wamejaribu bila mafanikioYale ma-Houthi yamepotelea wapi? Yalisumbua kwa kiwango chake! Bwana wao kanyamazishwa na yenyewe yameyeyuka kama umande wa asubuhi!
Hadi raha watoto wao wa Houthi wanalia tu huko Yemen baba yao kubwa la magaidi wanataka kumnyoa nywele za siri kwa nguvu kwa kutumia chupaKwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran.
Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya kuharibu Rada zote Syria pamoja na vituo vyote vya makombora ya Masafa marefu na mafupi pamoja laboratory zote za kutengeneza ballistic missile, IDF wanaamini ANGA la Iran ni halina ulinzi kutokea Syria na Iraq hivyo itakuwa rahisi kuvunja site zote za nuclear nchini Iran.
Wengi tumejiuliza kwanini Israel yupo Syria kushambulia vituo vya kijeshi kumbe jibu ni maandalizi ya kupiga Iran!!
Acha tusubiri mechi nyingine ya mashambulizi tuone Iran watachukua hatua gani
Vipi yeye Israel Kambi zake kupoteza F35 Zaid ya 18 hivi unajua gharama zake izo ndege ni Zaid ya bajet ya nchi yetuTaarifa za kijasusi zinathibitisha kuwa shambulio lililopita Israel ilipiga vituo kadhaa vya kinuklia, lakini kwa sababu Iran ilikiwa imefanya jitohada kubwa ya kuvificha, na Israel ikatumia huo mwanaya kuvishambulia, ikijua kuwa Iran haitaweza kusema kuwa vituo vyake vya nuklia vimeshambuliwa.
Shambulio lile moja tu, limeinyong'onyesha sana Iran. Iran inatakiwa iwe makini sana na Russia. Russia ina uhusiano usiotetereka na Israel, wa kutopigana wala kushambuliana. Uhusiano huo sijui unaishia wapi!! Isije ikawa Russ ina-passover siri zote za usalama za Iran kwa Israel, halafu yeye anakaa pembeni na kujifanya hajui kinachoendelea.
Ndege itakuwaSijajua safari wanatumia midege au mashambulizi kama yale ya Walk talk na pagers
Kaka hiii milokole ni mzigo kwa Taifa mbaya zaid AIbu awana kabisa.Huwa nashangaa na kucheka mnavyokaza vichwa kutumia nguvu nyingi kuwathibitishai watu shambulizi la Israel nchini Iran lilikuwa kubwa, Israel hana uwezo huo na ukweli mnaufahamu, Iran sio sawa kuilinganisha na Israel kijeshi.
Ukwelini kwamba hadi leo Israel haiamini ingekutana na kilichomkuta, covert ops za Israel kuingia kinyemela kuua wanasayansi na viongozi wa Iran akahisi anaweza kuimudu Iran, Iran ilipojidhihirisha inaweza kuiadhibu Israel dunia haikuamini.
Wengi wenu mnaleta propaganda za uongo uongo kwamba Israel ilifanya mashabulizi ya siri ambayo hayakudhihirika mbele ya vyombo vya habari, Iran ilimpiga Israel na dunia ikashuhudia missiles zikitua Israel kama mvua.
Israel na western kwa wanavyopenda sifa walitaka kuionyesha dunia wana uwezo kuimudu Iran lakini wakafeli, tena walifeli vibaya, hivyo kwa aibu ndipo mmebaki na hizo propaganda kwamba kuna mashambulizi ya siri yaliyoleta hasara kubwa Iran.
Nikuambie tu Israel ingefanya hivyo ingechakazwa vibaya.
Kwani kipindi cha nyuma kabla ya shambulio la Oktoba 26, 2024 napo si alisema? Au ilikuwa uongo?Mpigaji uwa asemi ukiona kelele nyingi kuna vitu Viwili kimoja ndio msingi wake mojawapo 1 uwoga 2 amegundua mwenzie yupo mbioni kumshambulia kwaiyo nayy nikama anasema anania pia kufanya kile mwenzie anajindaa Nacho lkn muIsrael muoga sana . Embu tujiulize wenye Akili kusema nataka kumshambulia frani kunafaida Gani.
Oya Gallant umerudi kazini?Israel hawapoi hawaboi
Nani kwao ulaya mashariki?!! Mbona umejibu kwa hasira?!Mavi hayo hana,labda kama wanataka kuishi kwenye mapango milele au kurudi kwao ulaya mashariki
Hahaha walisema Israel 🇮🇱 atapigwa na Hisbollah leo viongozi wa Hisbollah wote wamelambishwa udongo na Assad amepinduliwa iran hana mshirika jirani na Israel tenaKwani kipindi cha nyuma kabla ya shambulio la Oktoba 26, 2024 napo si alisema? Au ilikuwa uongo?
Usimpangie, yeye akitaka kupiga anatangaza, ana uhakika huna pa kujificha. Na anakwambia anapiga nini.
Hizbu alikuwa anawaambia hameni hapo nakuja kupiga, na anenda kupiga. Au ilikuwa ni uongo?
Habari njema hii kwetu wana wa israeli.Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran.
Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya kuharibu Rada zote Syria pamoja na vituo vyote vya makombora ya Masafa marefu na mafupi pamoja laboratory zote za kutengeneza ballistic missile, IDF wanaamini ANGA la Iran ni halina ulinzi kutokea Syria na Iraq hivyo itakuwa rahisi kuvunja site zote za nuclear nchini Iran.
Wengi tumejiuliza kwanini Israel yupo Syria kushambulia vituo vya kijeshi kumbe jibu ni maandalizi ya kupiga Iran!!
Acha tusubiri mechi nyingine ya mashambulizi tuone Iran watachukua hatua gani
Kwani ni uongo?Acha kudhalilisha majina ya Mungu na Mtume wake kijana. Kama huna hoja ni Bora ukae kimya. Upumbavu mwingine karibu kuuficha.
Viashiria vinaonesha safari hii watatumia vyote ili mwajemi achanganyikiwe mazima. Huenda Myahudi akapita na Ayatollah.Sijajua safari wanatumia midege au mashambulizi kama yale ya Walk talk na pagers
Yeah. Lakini mwisho wa siku wakainamisha vichwa na mashavu yakawashuka.Hahahaha 😆 😂 😂 😂 😂 😂
Toka enzi za yesu kuna wajinga walikuwa wabishi Sana wa kukubali matokeo
Yep! Na kwa namna (tabia) hiyo hiyo; safari hii kama lililosemwa ktk mada ni kweli, atapelekwa Golgota (fuvu la kichwa)ikawe ndo mwisho wake kwani makutano watauliza "Aliweza kuwasaidia wenzake a.k.a vikundi vya magaidi, sasa na ajitete mwenyewe nasi tupate kumwamini".Akawauliza; ubatizo wa Yohana ulitoka Mbinguni au kwa wanadamu? Wakahojiana wao kwa wao wakasema; tukisema ulitoka Mbinguni atatuuliza mbona hamkumwamini? Tukisema ulitoka kwa wanadamu; waliogopa kusanyiko maaana kila mmoja aliamini Yohana alikuwa nabii.
Alichofanya Iran kinasadifu muktadha wa andiko hilo. Akikiri kupigwa kwa vinu vyake vya nuclear, ataulizwa mbona mwanzoni ulikana kutengeneza nuclear? Hana namna zaidi ya kugugumia maumivu!