Taarifa za kijasusi zinathibitisha kuwa shambulio lililopita Israel ilipiga vituo kadhaa vya kinuklia, lakini kwa sababu Iran ilikiwa imefanya jitohada kubwa ya kuvificha, na Israel ikatumia huo mwanaya kuvishambulia, ikijua kuwa Iran haitaweza kusema kuwa vituo vyake vya nuklia vimeshambuliwa.
Shambulio lile moja tu, limeinyong'onyesha sana Iran. Iran inatakiwa iwe makini sana na Russia. Russia ina uhusiano usiotetereka na Israel, wa kutopigana wala kushambuliana. Uhusiano huo sijui unaishia wapi!! Isije ikawa Russ ina-passover siri zote za usalama za Iran kwa Israel, halafu yeye anakaa pembeni na kujifanya hajui kinachoendelea.