PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kosa kubwaKwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran.
Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya kuharibu Rada zote Syria pamoja na vituo vyote vya makombora ya Masafa marefu na mafupi pamoja laboratory zote za kutengeneza ballistic missile, IDF wanaamini ANGA la Iran ni halina ulinzi kutokea Syria na Iraq hivyo itakuwa rahisi kuvunja site zote za nuclear nchini Iran.
Wengi tumejiuliza kwanini Israel yupo Syria kushambulia vituo vya kijeshi kumbe jibu ni maandalizi ya kupiga Iran!!
Acha tusubiri mechi nyingine ya mashambulizi tuone Iran watachukua hatua gani
Maandalizi ya Promise 3 yanaendeleaje hapo Iran shekhe? Tumechoka kusubiri sasa tunataka kuona vitendo sasa shekhe!!??Mavi hayo hana,labda kama wanataka kuishi kwenye mapango milele au kurudi kwao ulaya mashariki
Hukumsikia pezeshkian, promise two waliahidiwa waliahidiwa kutolewa vikwazo kama hawatopiga, ayatollah akaamuru vyuma virushwe,sasa hivi patakua na ahadi tu tenaMaandalizi ya Promise 3 yanaendeleaje hapo Iran shekhe? Tumechoka kusubiri sasa tunataka kuona vitendo sasa shekhe!!??
Acha kudhalilisha majina ya Mungu na Mtume wake kijana. Kama huna hoja ni Bora ukae kimya. Upumbavu mwingine karibu kuuficha.Kobazi mwaka huu lazima wamlaumu ala na mudi kwa kuwaingiza chaka,israel mtoa roho sio wa kumwingia hovyo hovyo kisa umelishwa matango pori ya pedophile.
Iran itaendelea kuanguka tuTaarifa za kijasusi zinathibitisha kuwa shambulio lililopita Israel ilipiga vituo kadhaa vya kinuklia, lakini kwa sababu Iran ilikiwa imefanya jitohada kubwa ya kuvificha, na Israel ikatumia huo mwanaya kuvishambulia, ikijua kuwa Iran haitaweza kusema kuwa vituo vyake vya nuklia vimeshambuliwa.
Shambulio lile moja tu, limeinyong'onyesha sana Iran. Iran inatakiwa iwe makini sana na Russia. Russia ina uhusiano usiotetereka na Israel, wa kutopigana wala kushambuliana. Uhusiano huo sijui unaishia wapi!! Isije ikawa Russ ina-passover siri zote za usalama za Iran kwa Israel, halafu yeye anakaa pembeni na kujifanya hajui kinachoendelea.
Wanabweka hivyo hivyo kila siku,, ooh Israel hawezi lolote ila wanopoteza wanaopigwa wanaokufa, wanaovunjiwa majumba ni waarabu.Mavi gani unazungumzia, ni hayo yakutokayo??
Anyway si shabiki wa vita ila huwa mnasema hvyo hvyo tu kwamba ubavu hana! Ila anahistoria ndeefu ya vita vilivyopita na vinavyoendelea kwa kuwakaza wenzie 😁
Akawauliza; ubatizo wa Yohana ulitoka Mbinguni au kwa wanadamu? Wakahojiana wao kwa wao wakasema; tukisema ulitoka Mbinguni atatuuliza mbona hamkumwamini? Tukisema ulitoka kwa wanadamu; waliogopa kusanyiko maaana kila mmoja aliamini Yohana alikuwa nabii.Taarifa za kijasusi zinathibitisha kuwa shambulio lililopita Israel ilipiga vituo kadhaa vya kinuklia, lakini kwa sababu Iran ilikiwa imefanya jitohada kubwa ya kuvificha, na Israel ikatumia huo mwanaya kuvishambulia, ikijua kuwa Iran haitaweza kusema kuwa vituo vyake vya nuklia vimeshambuliwa.
Hahahaha 😆 😂 😂 😂 😂 😂Akawauliza; ubatizo wa Yohana ulitoka Mbinguni au kwa wanadamu? Wakahojiana wao kwa wao wakasema; tukisema ulitoka Mbinguni atatuuliza mbona hamkumwamini? Tukisema ulitoka kwa wanadamu; waliogopa kusanyiko maaana kila mmoja aliamini Yohana alikuwa nabii.
Alichofanya Iran kinasadifu muktadha wa andiko hilo. Akikiri kupigwa kwa vinu vyake vya nuclear, ataulizwa mbona mwanzoni ulikana kutengeneza nuclear? Hana namna zaidi ya kugugumia maumivu!
Sijajua safari wanatumia midege au mashambulizi kama yale ya Walk talk na pagersKwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran.
Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya kuharibu Rada zote Syria pamoja na vituo vyote vya makombora ya Masafa marefu na mafupi pamoja laboratory zote za kutengeneza ballistic missile, IDF wanaamini ANGA la Iran ni halina ulinzi kutokea Syria na Iraq hivyo itakuwa rahisi kuvunja site zote za nuclear nchini Iran.
Wengi tumejiuliza kwanini Israel yupo Syria kushambulia vituo vya kijeshi kumbe jibu ni maandalizi ya kupiga Iran!!
Acha tusubiri mechi nyingine ya mashambulizi tuone Iran watachukua hatua gani