IDF: tunajiandaa kupiga tena Iran kwenye nuclear site zote

Hanu ubavu huo, hizo ni kelele tu, mimi navyo sikia Iran atamfanyia suprise kumpiga hawata sahau Israel maisha yao. Lazima muweke akilini Iran wao hawapigi kelele sana kama Israel.
 
Huwa nashangaa na kucheka mnavyokaza vichwa kutumia nguvu nyingi kuwathibitishai watu shambulizi la Israel nchini Iran lilikuwa kubwa, Israel hana uwezo huo na ukweli mnaufahamu, Iran sio sawa kuilinganisha na Israel kijeshi.

Ukwelini kwamba hadi leo Israel haiamini ingekutana na kilichomkuta, covert ops za Israel kuingia kinyemela kuua wanasayansi na viongozi wa Iran akahisi anaweza kuimudu Iran, Iran ilipojidhihirisha inaweza kuiadhibu Israel dunia haikuamini.

Wengi wenu mnaleta propaganda za uongo uongo kwamba Israel ilifanya mashabulizi ya siri ambayo hayakudhihirika mbele ya vyombo vya habari, Iran ilimpiga Israel na dunia ikashuhudia missiles zikitua Israel kama mvua.

Israel na western kwa wanavyopenda sifa walitaka kuionyesha dunia wana uwezo kuimudu Iran lakini wakafeli, tena walifeli vibaya, hivyo kwa aibu ndipo mmebaki na hizo propaganda kwamba kuna mashambulizi ya siri yaliyoleta hasara kubwa Iran.

Nikuambie tu Israel ingefanya hivyo ingechakazwa vibaya.
 
Hadi raha watoto wao wa Houthi wanalia tu huko Yemen baba yao kubwa la magaidi wanataka kumnyoa nywele za siri kwa nguvu kwa kutumia chupa
 
Vipi yeye Israel Kambi zake kupoteza F35 Zaid ya 18 hivi unajua gharama zake izo ndege ni Zaid ya bajet ya nchi yetu
 
Mpigaji uwa asemi ukiona kelele nyingi kuna vitu Viwili kimoja ndio msingi wake mojawapo 1 uwoga 2 amegundua mwenzie yupo mbioni kumshambulia kwaiyo nayy nikama anasema anania pia kufanya kile mwenzie anajindaa Nacho lkn muIsrael muoga sana . Embu tujiulize wenye Akili kusema nataka kumshambulia frani kunafaida Gani.
 
Kaka hiii milokole ni mzigo kwa Taifa mbaya zaid AIbu awana kabisa.
 
Kwani kipindi cha nyuma kabla ya shambulio la Oktoba 26, 2024 napo si alisema? Au ilikuwa uongo?

Usimpangie, yeye akitaka kupiga anatangaza, ana uhakika huna pa kujificha. Na anakwambia anapiga nini.

Hizbu alikuwa anawaambia hameni hapo nakuja kupiga, na anenda kupiga. Au ilikuwa ni uongo?
 
Hahaha walisema Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ atapigwa na Hisbollah leo viongozi wa Hisbollah wote wamelambishwa udongo na Assad amepinduliwa iran hana mshirika jirani na Israel tena
 
Habari njema hii kwetu wana wa israeli.
 
Yep! Na kwa namna (tabia) hiyo hiyo; safari hii kama lililosemwa ktk mada ni kweli, atapelekwa Golgota (fuvu la kichwa)ikawe ndo mwisho wake kwani makutano watauliza "Aliweza kuwasaidia wenzake a.k.a vikundi vya magaidi, sasa na ajitete mwenyewe nasi tupate kumwamini".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ