IDF: tunajiandaa kupiga tena Iran kwenye nuclear site zote

Hivi mkuu uko serious!!! Hawa ni wahamiaji wa late 1800's na early 1900's kama kina Melinoswky walivyoma toka Poland mkuki ni kwa nguruwe sio? Ha hao waarabu walikimbilia America wengi ni wakristu waliokimbia manyanyaso na ubaguzi wa waislamu
Uwongo,hao waarabu huko latin america waliokimbilia kama unavyodai hata mia hawafiki,kila kitu unakitazama kwa angle ya dini tu,acha ujinga
 
This time Israel walau iwe na heshima, biashara ya kuwatuma mademu kuipiga Iran haikua sawa, ile ni dharau kubwa sana kwa sisi wa msikiti wa Mtambani. Lete wanaume ili walau hata tukipigwa basi isiwe mademu ndio wawe wapigaji, halafu mademu wenyewe sasa, warembo kweli na vibinti ya mwaka 200😏😏
 
Uwongo,hao waarabu huko latin america waliokimbilia kama unavyodai hata mia hawafiki,kila kitu unakitazama kwa angle ya dini tu,acha ujinga
In Spanish America, Argentina has received the most Arab immigrants (about 4.5 million), followed by Mexico, Colombia, and Venezuela (1.5 million each); Chile (800,000); Honduras and Ecuador (a quarter million each), and smaller numbers in Central America and the Caribbean.6 Dec 2019

https://www.tandfonline.com › full

Arabs and the Americas: A Multilingual and Multigenerational Legacy

 
Ni kweli Israel ameua viongozi wengi wa Hezbollah kwa msaada wa US na EU, lakini hadi una compare Hezbolllah na Israel ambapo Hezbollah ni kikundi kinachodhaminiwa na Iran ni dalili tosha kwamba Iran sio levels za Israel.
EU na USA hawakusaidia Israel kuua viongozi wa Hisbollah ukweli Israel ni mafundi wa hizi mission kuliko Hisbollah
 
EU na USA hawakusaidia Israel kuua viongozi wa Hisbollah ukweli Israel ni mafundi wa hizi mission kuliko Hisbollah
Israel inasaidiwa kila kitu, kama Ukraine tu... Bila US na EU Israel si kitu hapo Middle East ..
 
Ukiona anabweka hivyo ujue hakuna mpigaji hapo
 
EU na USA hawakusaidia Israel kuua viongozi wa Hisbollah ukweli Israel ni mafundi wa hizi mission kuliko Hisbollah
Israel hana huo uwezo wa kutisha bila msaada wa US na Ulaya , hawa ndio jeuri na kiburi kinapotokea
 
Iran anajitutumua sana na hana lolote, wenzake wanapigana kisayansi na sio kihovyo kama yeye!
 
Hahaha walisema Israel 🇮🇱 atapigwa na Hisbollah leo viongozi wa Hisbollah wote wamelambishwa udongo na Assad amepinduliwa iran hana mshirika jirani na Israel tena
Mzee This time utaendesha F 35 Kwenda kuipiga Tehran?
 
Wasrabu wamepatikana, allah kawakimbia
 
Nakiri Israel ni mbabe wawababe niliopata kuwashuhudia ,,toka niijue dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…