Idi Amin alikuwa kiongozi mwenye sifa ya kipekee na aliyetikisa dunia kwa miaka hiyo

Idi Amin alikuwa kiongozi mwenye sifa ya kipekee na aliyetikisa dunia kwa miaka hiyo

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Nimejaribu kufuatilia mazungumzo ya kipindi cha uongozi wa Idi Amin akiwa kama rais wa nchi ya Uganda, pamoja na mwenyekiti wa umoja wa nchi za kiafrika, nikagundua alikuwa ni mtu mwenye kipaji cha kipekee na aliyeogopeka na nchi za magharibi.

Inawezekana ata vita iliyotokea pamoja na kuwepo na sifa zake mbaya, kuna uwezekano zilitengenezwa na nchi za magharibi katika kudhoofisha uwezo wake.

Sikiliza anavyojibu kwa kujiamini.


View: https://www.youtube.com/watch?v=ka-pAeRmdHQ
​
 
Mwamba huyu, alituheshimisha waafrika...

1754080861020.png
 
Nyerere alituingiza chaka .watu walisema anakula nyama za watu anaua Sana watu
 
Nyerere alituingiza chaka .watu walisema anakula nyama za watu anaua Sana watu
Inawezekana kulikuwa na uchochezi kutoka nchi za magharibi, ukisikiliza vizuri katika maswali anayoulizwa, moja wapo ni kuhusu mgogoro wa Uganda vs Tanzania, na akawajibu vizuri tu, hilo tatizo litashughulikiwa na umoja wa nchi za Afrika.
Pia katika maswali, waulizaji walikuwa wakielekeza maswali kama Amin alikuwa akidharau uongozi wa US & UK​
 
Propaganda za mtu mweupe kizuri tunakiona kibaya cha ajabu kupitia sisi wenyewe tunawaua watu wenye maono kama hao
Wataalamu wa historia wanasema, ukisifiwa na mzungu juwa kuna sehemu kunaharibik, na wakikuchukia juwa huko sehemu sahihi na unafanya vizuri.​
 
Wataalamu wa historia wanasema, ukisifiwa na mzungu juwa kuna sehemu kunaharibik, na wakikuchukia juwa huko sehemu sahihi na unafanya vizuri.​
Dini zinatugawa sana kilichomtoa madarakani ni kuwasapoti Palestinians
 
Jamaa anajiamini mno. Itachukua miongo mingi au Karne Afrika kupata kiongozi kama huyu
Nadhani kwa miaka inavyokwenda inaweza isitokee, kila nyakati uongozi huwa una ladha yake; jaribu kuangalia uongozi wa miaka 1960-1980, 1980-1990, 1990-2000, 2000- hadi sasa.
Utaona kuna ladha tofauti.​
 
Hii sagga ndio iliyomtoa madarakani akatafutiwa sababu Nyerere akatumika ndio kwaheri ila huyo mwamba kwa nchi zetu za kiafrika bado tunahitaji watu wenye msimamo kama wa kwake ili tutoke kwenye meno ya wakoloni weusi na weupe
Sidhani kama atatokea, ata kwa sasa unaweza kuhisi umoja wa Afrika haupo.
 
Back
Top Bottom