Idi Amin alikuwa kiongozi mwenye sifa ya kipekee na aliyetikisa dunia kwa miaka hiyo

Idi Amin alikuwa kiongozi mwenye sifa ya kipekee na aliyetikisa dunia kwa miaka hiyo

Hivi watoto wake wako wapi kwa sasa
Kuna wengine wapo Uganda, Saudia; ila sijawaona kwenye majukwaa ya siasa, inawezekana labda hawajapewa nafasi na sina hakika kama wanakula kiinua mgongo cha mzee.
 
Alikuwa bora sana, inasikitisha historia yake ikionyesha alikuwa mtu katili, wakati alikuwa mzalendo kwa wazawa.
Ugomvi mkubwa wa iddi ulikua kwa wazungu na wahindi (refer picha post #2)
Iddi amejua kuwaenyesha wahindi na wazungu. Sio mchezo mzungu kukubebq hivyo kwenye kiti

Wazungu wakapenyeza propaganda za kumchafua
 
Jamaa yuko vizuri sana, yupo chama gani cha siasa?
Am not sure kuhusu chama kwakweli, ila upstairs yupo vizuri sana

Na huwezi amini, Baba yake pia alikuwa hivyohivyo na ni Mwafrika mzalendo sana, ni vile tu alikuwa karibu na Ghadaffi
 
Back
Top Bottom