Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #21
Tatizo itakuwa ni nini?Wakuu wa umoja wa Afrika wamekuwa machawa wa mabeberu
Tatizo itakuwa ni nini?Wakuu wa umoja wa Afrika wamekuwa machawa wa mabeberu
Njaa mbaya mkuu pia siku hizi watu hawana itikadi zamani watu walikuwa wakiamini itikadi fulani wako tayari kufa kuiteteaTatizo itakuwa ni nini?
Wazungu na wahindi wanamkumbuka
Kwa hiyo haitakuja kutokea tena kupata viongozi kama wale?Njaa mbaya mkuu pia siku hizi watu hawana itikadi zamani watu walikuwa wakiamini itikadi fulani wako tayari kufa kuitetea
Niombee mkuu siku nikipata huo wadhifa mafaili lazima yapangwe upya tofauti na mimi hakuna na hatotokea Afrika nzimaKwa hiyo haitakuja kutokea tena kupata viongozi kama wale?
Nimejaribu kufuatilia mazungumzo ya kipindi cha uongozi wa Idi Amin akiwa kama rais wa nchi ya Uganda, pamoja na mwenyekiti wa umoja wa nchi za kiafrika, nikagundua alikuwa ni mtu mwenye kipaji cha kipekee na aliyeogopeka na nchi za magharibi.
Inawezekana ata vita iliyotokea pamoja na kuwepo na sifa zake mbaya, kuna uwezekano zilitengenezwa na nchi za magharibi katika kudhoofisha uwezo wake.
Sikiliza anavyojibu kwa kujiamini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ka-pAeRmdHQ
Zile ni stori tu za kumchafua ili aonekane mbaya, ila katika uongozi ni lazima baadhi ya watu waumie, hii ni duniani kote.Alitikisa dunia kwa mauaji ya kutisha tu!!
Si rahisi kihivyo, labda uingie jeshini na wakukubali kweli kweli kweli.....Niombee mkuu siku nikipata huo wadhifa mafaili lazima yapangwe upya tofauti na mimi hakuna na hatotokea Afrika nzima
Asaivi mchawi ni kuwepo chamani tu hiyo ndio njia rahisi ya kuingilia huko ukishapenya inabaki utekelezaji wa ilani yako ya kichwaniSi rahisi kihivyo, labda uingie jeshini na wakukubali kweli kweli kweli.....
Mawazo mfu hayo!!Zile ni stori tu za kumchafua ili aonekane mbaya, ila katika uongozi ni lazima baadhi ya watu waumie, hii ni duniani kote.
Asaivi mchawi ni kuwepo chamani tu hiyo ndio njia rahisi ya kuingilia huko ukishapenya inabaki utekelezaji wa ilani yako ya kichwani
Awaapi mwamba magu hakutabiriwa kabisa kuwa atakuwa namba moja kwenye ule mchakato kuna miti huota kwenye miti mingine that's me wait en seeLabda miaka 50 ijayo, ambapo na wewe unaweza usiwepo. Kwa sasa wanaoweza kupata upendeleo wa hiyo nafasi unaweza kutabiri.
Mawazo mfu hayo!!
Ha ha ha haHis Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hajj Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.
Ila mwamba alikuwa ni mnyanyasaji( kwa sauti ya ROMA)
The man himselfLegend
Kila kitu ni mchakatoAwaapi mwamba magu hakutabiriwa kabisa kuwa atakuwa namba moja kwenye ule mchakato kuna miti huota kwenye miti mingine that's me wait en see