Idi Amin alikuwa kiongozi mwenye sifa ya kipekee na aliyetikisa dunia kwa miaka hiyo

Idi Amin alikuwa kiongozi mwenye sifa ya kipekee na aliyetikisa dunia kwa miaka hiyo

Inanipa tabu na ukakasi siku hizi kuziamini hizi media za magharibi DW, CNN, BBC na nyinginezo nyingi naona ni watu wa propaganada tu
 
Naona wafuasi wa Iddi Amin wamekuja humu. Nilichogundua watu wengi wanaomsifu Iddi Amin ni wale ambao hawakuwepo kipindi akiwa Rais.
 
Mwendazake wa kwanza akammdhurumu kyaka
Walioshika nafasi:-
  1. Sir Edward Mutesa II – 1962 – 1966
  2. Apollo Milton Obote (Obote I) – 1966 – 1971
  3. Idi Amin Dada – 1971 – 1979
  4. Yusuf Kironde Lule – 13 April 1979 – 20 June 1979
  5. Godfrey Lukongwa Binaisa – 1979 – 1980
  6. Paul Muwanga – 12 May 1980 – 22 May 1980
  7. Apollo Milton Obote (Obote II) – 1980 – 1985
  8. Tito Okello Lutwa – 1985 – 1986
  9. Yoweri Kaguta Museveni – 1986 to date
 
Back
Top Bottom