Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Amsha amsha kwenye nchi za umoja wa Afrika, unahitaji mtu kama huyu.Very interesting speech
Alikuwa anajiamini sana
Propaganda za mtu mweupe kizuri tunakiona kibaya cha ajabu kupitia sisi wenyewe tunawaua watu wenye maono kama haoAmsha amsha kwenye nchi za umoja wa Afrika, unahitaji mtu kama huyu.
Nyerere alituingiza chaka .watu walisema anakula nyama za watu anaua Sana watu
Alikuwa bora sana, inasikitisha historia yake ikionyesha alikuwa mtu katili, wakati alikuwa mzalendo kwa wazawa.Moja kati ya maraisi bora kuwa kutokea afrika
Propaganda za mtu mweupe kizuri tunakiona kibaya cha ajabu kupitia sisi wenyewe tunawaua watu wenye maono kama hao
Dini zinatugawa sana kilichomtoa madarakani ni kuwasapoti PalestiniansWataalamu wa historia wanasema, ukisifiwa na mzungu juwa kuna sehemu kunaharibik, na wakikuchukia juwa huko sehemu sahihi na unafanya vizuri.
Alipoaribu ni kuivamia kagera
Jamaa anajiamini mno. Itachukua miongo mingi au Karne Afrika kupata kiongozi kama huyu
Alikuwa anaongea ukweliDini zinatugawa sana kilichomtoa madarakani ni kuwasapoti Palestinians
Hii sagga ndio iliyomtoa madarakani akatafutiwa sababu Nyerere akatumika ndio kwaheri ila huyo mwamba kwa nchi zetu za kiafrika bado tunahitaji watu wenye msimamo kama wa kwake ili tutoke kwenye meno ya wakoloni weusi na weupe
Sidhani kama atatokea, ata kwa sasa unaweza kuhisi umoja wa Afrika haupo.Hii sagga ndio iliyomtoa madarakani akatafutiwa sababu Nyerere akatumika ndio kwaheri ila huyo mwamba kwa nchi zetu za kiafrika bado tunahitaji watu wenye msimamo kama wa kwake ili tutoke kwenye meno ya wakoloni weusi na weupe
Wakuu wa umoja wa Afrika wamekuwa machawa wa mabeberuSidhani kama atatokea, ata kwa sasa unaweza kuhisi umoja wa Afrika haupo.