Idi Amin alikuwa kiongozi mwenye sifa ya kipekee na aliyetikisa dunia kwa miaka hiyo

Njaa mbaya mkuu pia siku hizi watu hawana itikadi zamani watu walikuwa wakiamini itikadi fulani wako tayari kufa kuitetea
Kwa hiyo haitakuja kutokea tena kupata viongozi kama wale?
 
Alitikisa dunia kwa mauaji ya kutisha tu!!
 
Alitikisa dunia kwa mauaji ya kutisha tu!!
Zile ni stori tu za kumchafua ili aonekane mbaya, ila katika uongozi ni lazima baadhi ya watu waumie, hii ni duniani kote.
 
Niombee mkuu siku nikipata huo wadhifa mafaili lazima yapangwe upya tofauti na mimi hakuna na hatotokea Afrika nzima
Si rahisi kihivyo, labda uingie jeshini na wakukubali kweli kweli kweli.....
 
Si rahisi kihivyo, labda uingie jeshini na wakukubali kweli kweli kweli.....
Asaivi mchawi ni kuwepo chamani tu hiyo ndio njia rahisi ya kuingilia huko ukishapenya inabaki utekelezaji wa ilani yako ya kichwani
 
Asaivi mchawi ni kuwepo chamani tu hiyo ndio njia rahisi ya kuingilia huko ukishapenya inabaki utekelezaji wa ilani yako ya kichwani
Labda miaka 50 ijayo, ambapo na wewe unaweza usiwepo. Kwa sasa wanaoweza kupata upendeleo wa hiyo nafasi unaweza kutabiri.​
 
His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hajj Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.
 
Labda miaka 50 ijayo, ambapo na wewe unaweza usiwepo. Kwa sasa wanaoweza kupata upendeleo wa hiyo nafasi unaweza kutabiri.​
Awaapi mwamba magu hakutabiriwa kabisa kuwa atakuwa namba moja kwenye ule mchakato kuna miti huota kwenye miti mingine that's me wait en see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…