round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Ukishakua na hela nadra sana kutumia idm, hii ni software ya watu wanaopenda kufanya Piracy.Unaweza kuwaelewa watumiaji kama wanafunzi kutumia matoleo ya kuchakachua ila inakuwa too much mtu anaitumia idm miaka zaidi ya 10 na uwezo anao bado hataki kuinunua anakomaa na matoleo ya crack yenye changamoto nyingi kuanzia virus, ujumbe kutokea mara kwa mara wa kuinunua, ku expire, n.k.
View attachment 3234691
Kwa bongo yetu hata mtu awe na pesa, wengi bado wanadownload moviesUkishakua na hela nadra sana kutumia idm, hii ni software ya watu wanaopenda kufanya Piracy.
Kupanda kwa bei za mabando na kusirishwa kwa bando la usiku kumefanya downloading ionekane anasa 😂Duh miaka imepita sijaitumia hii application.
Bongo unaweza kuwa considered una pesa ila ukawa kwa level za kimataifa bado wa kawaida sana.Kwa bongo yetu hata mtu awe na pesa, wengi bado wanadownload movies
lakini nje ya hapo, hata kudownload vitu vya kawaida ni software nzuri
Inafanya kazi ganiUnaweza kuwaelewa watumiaji kama wanafunzi kutumia matoleo ya kuchakachua ila inakuwa too much mtu anaitumia idm miaka zaidi ya 10 na uwezo anao bado hataki kuinunua anakomaa na matoleo ya crack yenye changamoto nyingi kuanzia virus, ujumbe kutokea mara kwa mara wa kuinunua, ku expire, n.k.
View attachment 3234691
Internet Download ManagerInafanya kazi gani
Asante mkuuIn
Internet Download Manager
Ni program ya kompyuta (IDM - Internet Download Manager) hii inatumika ku download vitu mtandaoni kwa speed sana ukilinganisha na download managers zingine, pia ina capture na ku download contents zingine ambazo sio rahisi (DRM protected content) na kuzi maneuver ili ku downloadika kwa njia ya kawaida...Kwani inafanyaje kazi hiyo application?, wengine hata hatuijui,kama ni ya zamani,ipi mpya kwasasa?
Asante mkuuNi program ya kompyuta (IDM - Internet Download Manager) hii inatumika ku download vitu mtandaoni kwa speed sana ukilinganisha na download managers zingine, pia ina capture na ku download contents zingine ambazo sio rahisi (DRM protected content) na kuzi maneuver ili ku downloadika kwa njia ya kawaida...
Mfano Boomplay au SoundCloud ku download audios sio rahisi kama huna Premium subscriptions za hizo platforms ila ukiwa na hii kwenye PC iko integrated kwenye browser unayotumia basi unashusha tu, vile vile ku download videos za YouTube unatumia hii tu...