Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Kwahiyo kumdhihaki mtu kwa sababu wewe Ni msanii ni haki kisheria na ndio demokrasia?
 
Umeongea point mkuu
 
Wewe nani alikwambia kua alimcheka magufuli wakati kwenye picha wako watu watatu?.Na isitoshe unaweza vip kutafsiri kicheko cha mtu nakusema kafanya dhihaka wakati ata ukifurahi pia unaweza kucheka.inawezekana wewe ndo umetafsiri hicho kicheko vibaya kwa mtazamo wako lakini maana ya mchekaji isiwe hiyo uliyowaza wewe.
 
Kwahiyo kumdhihaki mtu kwa sababu wewe Ni msanii ni haki kisheria na ndio demokrasia?
Every human being is subject to praise and ridicule!

Wewe unataka praises tu,who are you?God?

Artistic humour ni haki ya msingi ya wanadamu,yeye kama mkuu wa nchi anatakiwa kuilinda hata kama hiyo humour inamuuza yeye binafsi!

Sijui lini tutafikia demokrasia tu hata ya Kenya!

We are all doomed!
 
kama namuona vile, atakabidhiwa kwa nyampala, sijui kama atarudi salama.
 
Kwanza andika lugha moja kiswahili au English usipende mkorogo kiswanglish Soma kanuni ya adhabu kifungu Cha 8 (I) (a) kinasemaje na ndio atakacho shitakiwa nacho
 
Mtafute yule alotengeneza picha ya Rais Kikwete akiwa na umbo la kike umuulize kilomkuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza andika lugha moja kiswahili au English usipende mkorogo kiswanglish Soma kanuni ya adhabu kifungu Cha 8 (I) (a) kinasemaje na ndio atakacho shitakiwa nacho
Kuna watu humu wapo nyuma ya kichaka cha uhuru wa maoni na domokrasia.

Watakuja kuhoji baba zao namna wanavyowafanya mama zao kwa kuwa ni uhuru wa maoni na kisa kifungu cha sheria hawajaona kikikataza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kumdhihaki mtu kwa kisingizio Cha kuchekesha watu
Kama umefuatilia kwa undani zaidi uchekeshaji umebeba dhihaka ndani yake, kupitia dhihaka ndipo watu wanacheka baada ya yule anaefanyiwa dhihaka kuonekana kituko I'mma kwa vitendo au kauli zipizotolewa dhidi yake.

Kwa kesi ya dogo Idris alipogusa si mahala pake. Rais ni kiongozi mkubwa katika nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu. Mfano wangu hivi nikipga picha sijavaa nguo mwilini mwangu ikatoka kwa jamii yangu, Je hapo si lazima kuna sababu ya jamii kuonyesha hisia zao ila sababu ikiwepo ya wao kutoa maoni yao!!!!!!!!
Sasa labda Msanii Idris kuna kitu au sababu iliyomfanya afanye hivyo. Aulizwe tu vizur.
 


Nchi ngumu hiiπŸ™‰
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…