mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Hata wewe unaona hajafanya kosa lolote sababu uko nyuma ya keyboard kwa fake I'dpunguza upunguani jamaa,hata kama ni fake ID. kama huna jibu kaa kimya,usi quote watu na pumba zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe unaona hajafanya kosa lolote sababu uko nyuma ya keyboard kwa fake I'dpunguza upunguani jamaa,hata kama ni fake ID. kama huna jibu kaa kimya,usi quote watu na pumba zako
Huwezi kumdhihaki mtu kwa kisingizio Cha kuchekesha watupunguza upunguani jamaa,hata kama ni fake ID. kama huna jibu kaa kimya,usi quote watu na pumba zako
Kwahiyo kumdhihaki mtu kwa sababu wewe Ni msanii ni haki kisheria na ndio demokrasia?Not really
Artistic freedom ni kitu cha muhimu.....
This is insane bullying little guys by expressing their humor?
Yeye kama leader of a democratic nation ni wajibu wake kumlinda huyu artist atoe maoni yake bila kubugudhiwa hata kama huo usanii unamuudhi yeye binafsi!
Thats free democratic nation!
These are values,we should cherish them!
La sivyo nchi itakua autocratic full of tyrannies miaka ijayo!
Siafiki kabisa huyu msanii kufanyiwa hivi!
Umeongea point mkuuWewe unadhani mimi nikipost picha za wazazi wako nazicheka utafurahi?
Msitafte matatizo, hata mimi ukipost ukimcheka Mzazi wangu kwa kebehi lazima nikuadabishe.
Kuna sheria inasema picha ichekewe kwa kejeli? Hatuwezi kuwa na sheria kwa kila kitu ila ni busara tu.
Narudia, Huyo kijana ni mpumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nani alikwambia kua alimcheka magufuli wakati kwenye picha wako watu watatu?.Na isitoshe unaweza vip kutafsiri kicheko cha mtu nakusema kafanya dhihaka wakati ata ukifurahi pia unaweza kucheka.inawezekana wewe ndo umetafsiri hicho kicheko vibaya kwa mtazamo wako lakini maana ya mchekaji isiwe hiyo uliyowaza wewe.Acha kutetea ujinga! Magufuli hata mimi sielewani nae kwa siasa zake! Kama tunapenda haki tuache chuki, tusiwe na upendeleo na tuwe na utu na tuheshimu watu hata kama tunatofautiana nao kimtazamo.
Alichokifanya Idrisa ni dhihaki! Laiti kama angeliiweka picha ya mzazi wake halafu anaicheka unafikiri jamii ingelimpokeaje? Ingelimwambia hana nidhamu. Hata kama angeliiweka picha ya mzee mwenye umri kama wa Magu halafu anaicheka kwa muonekano unafikiri jamii ingelimchukuliaje? Ingelimwambia hana adabu! Anadharau watu kwa vile masikini! Huko siyo kuchekesha! Wengine wangelimwambia angelikuwa baba yako anafanyiwa hivyo ungejisikiaje?!
Ila kwa vile anafanyiwa Magu mnaona poa! Tuache unafiki. Angechekwa Mbowe hapo mngesema CCM inamtumia, serikali inaruhusu udhalilishaji wa upinzani na mngesema ingelikuwa ya Magu angelichukuliwa hatua!
Tuache unafiki! Kapanda upepo, muache avune kimbunga.
KudhihakiKosa lake hasa lipi ????
Every human being is subject to praise and ridicule!Kwahiyo kumdhihaki mtu kwa sababu wewe Ni msanii ni haki kisheria na ndio demokrasia?
Kwanza andika lugha moja kiswahili au English usipende mkorogo kiswanglish Soma kanuni ya adhabu kifungu Cha 8 (I) (a) kinasemaje na ndio atakacho shitakiwa nachoEvery human being is subject to praise and ridicule!
Wewe unataka praises tu,who are you?God?
Artistic humour ni haki ya msingi ya wanadamu,yeye kama mkuu wa nchi anatakiwa kuilinda hata kama hiyo humour inamuuza yeye binafsi!
Sijui lini tutafikia demokrasia tu hata ya Kenya!
We are all doomed!
Mtafute yule alotengeneza picha ya Rais Kikwete akiwa na umbo la kike umuulize kilomkuta.hawa ndo wale madingi wanoko. mtu kama Kikwete au Kenyata anaweza kuhangaika na mambo ka hizo. kwanza mimi ukiweka picha yangu ya long ndo navimba kichwa,enzi zangu hizo. kama nilikuwa mshamba si ndo ilikuwa!kila mtu ana historia yake alipotoka na alipo sasa
Kuna watu humu wapo nyuma ya kichaka cha uhuru wa maoni na domokrasia.Kwanza andika lugha moja kiswahili au English usipende mkorogo kiswanglish Soma kanuni ya adhabu kifungu Cha 8 (I) (a) kinasemaje na ndio atakacho shitakiwa nacho
Aiseee kweli Magu amewabamba yaani mnashindwa kujibu hoja ndogo tu unakimbilia mabarabara?Acha akili za kijinga Serikali ina mambo mengi ya msingi ya kufanya kuliko kuhangaika na mchekeshaji.
Kuna sehemu hata umeme na maji hakuna, kuhangaika na mchekeshaji ni kupoteza muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umefuatilia kwa undani zaidi uchekeshaji umebeba dhihaka ndani yake, kupitia dhihaka ndipo watu wanacheka baada ya yule anaefanyiwa dhihaka kuonekana kituko I'mma kwa vitendo au kauli zipizotolewa dhidi yake.Huwezi kumdhihaki mtu kwa kisingizio Cha kuchekesha watu
View attachment 1455154
Moderator naombeni sana msiunge huu uzi.
Yule msaani amepelekwa selo kwa sababu ya ile clip yake akionekana kuicheka hii picha? au kuna kingine?
Kama ni kuicheka hii picha,kosa lake ni lipi? amedhalilisha waliopo kwenye picha?kivipi? waliochekwa wameshtaki?wamepata damage gani?
Ukiacha yote hayo,labda pengine kwa sababu kwenye picha kuna rais,lakini ni kweli hicho kicheko kinakuwa big deal mpaka dola kuacha mambo ya msingi na kudeal na jambo kama hili?
Mambo haya tulizoea kuyasikia nchi za madikteta kama Robert Mgabe lakini leo hii tunayahuhudia hapa kwetu Tanzania